Ni miti mifupi sana inayojulikana na watu wa Tunduru kwaajili tiba nyingi toka enzi na enzi za wakazi wa Tunduru Ruvuma. Ni ngumu kupata jina lake kisayansi au katika kiswahili fasaha lakini kwa...
Ishara za mwanzo kabisa za asidi kuunguzwa ndani katikati ya seli au kwa maneno mengine asidi kuzidi kwenye seli za mwili na madhara ya kijenetiki ambayo yanaweza kujionesha, ni maumivu...
Habari zenu wandugu. Mimi ni binti nina miaka 24.
Huwa inapofika siku zangu jaman huwa nakosa raha kabisaa na huwa sitamanii kwenda sehemu. Kwanza huwa nina blid siku 5-6, ninaweza nikaumwa...
Nilipata fungus ya sehemu ya tumbo usawa wa kitovu lakini kwa pembeni, kama miezi 6 iliyopita. Baada ya kutibu na kupona, na hiyo sehemu kukauka, pamebaki rangi nyeusi. Nafikiri ni kitu cha...
Nimekuwa nikijiuliza nikitu gani kinachofanya mwili wa binadam kuwa na joto Kali kupita kiwango chake cha kawaida pindi anapoumwa malaria.
ni nini kinachosababisha na Kama ni vijidudu vinapata...
Habarini wakuu!
Njia gan naweza kuzitumia kuongeza kiasi cha sperm?,nini kina sababisha sperm kutoka kwa kiasi kidogo?na je kuna madhara yoyote yanayo weza kujitokeza kutokana na hari hii...
Habari za hapa wanaJF!
Hivi kuna madhara yoyote ktk mwili iwapo utaamua kunyoa vinyweleo kwa kutumia wembe au hair remover?
Pia kuna gene yoyote ambayo inahusika katika urithi wa vinyweleo kuwa...
Habari wadau,
for ladies ambao mnatumia au mshawahi tumia PAds au pantliner za Human Cherish mtakubaliana na mimi kuwa huwa zina leta a high level of comfort na dryness mtu ukiwa kwenye siku...
Jambo wadau.
Shemeji enu ana umri wa miaka 26 na ana mzunguko wa siku 30 ila kwa kawaida anableed siku 4 tu.
Tatizo ni kuwa akikaribia ku bleed kiuno seem ya chini ya mgongo panachemka sana...
Kuna jambo la sura kuonekana ina umri mkubwa zaidi ya umri halisi. Mmoja kati ya watu hao ni rafiki yangu wa karibu na baadhi ya watu wa humuhumu JF.
Haya wataalamu na wenye mawazo ya jambo...
Wana - jamiiforums kuna tetesi kwamba bia haina ya safari lager inapunguza nguvu za kiume.Rafiki yangu amekuwa akitumia kwa muda sasa.
Ananieleza kuwa uume wake umelegea sana.Akiwa na mpenzi wake...
OVULATION ni hali ya kutoka kwa yai la kike baada ya kukomaa kutoka kwenye follicle baada ya kukua na kukomaa katika ovary. Hali hii hutokea katika hali ya kawaida katika siku ya 14 katika...
Rejea kichwa cha habari hapo juu....nina mgonjwa anaesumbuliwa na hayo maumivu....anahisi kuungua on her right breast kiasi cha kupandwa na homa iyo hali inapotokea, Ilimuanza kama miezi mitatu...
Katika pita pita zangu kwenye internet nimeona matangazo mengi ya kuongeza urefu au unene wa dushe(penis) na hata mitaani kuna za asilia kama za kimasai zinauzwa kwa kufanya kazi hii.
Ni kweli...
Wana Jf Habari Za J2 Week End Ndo Hyo Ina End Ila Kwa Wengine Kesho Bd Ni Week End (off) Back To Topic Me Nna 22 Yrs Ila Ni Mmene Zaid Ya Kilo Sabini Ila Huwa Cpendi Nikiona...
Habari zenu wana jamiiforums,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 ninaishi Ushirombo Geita Tanzania, Tatizo langu ni kwamba nikivuta pumzi ndani nahisi kuna kitu kinabana na nikirudisha pumzi...