wadau mke wangu ana tatizo hilo la pcos ametumia dawa mpaka basi toka kariuki,hindul mandal,regency .naomba aliye na udhoefu na hili tatizo na anayemjua Dr mzuri atupe msaada na je operation ndio...
Ndugu zangu,niliumwaga ugonjwa wa DVT miaka kama 3 iliyopita.
Nilitibiwa KCMC nikapona kwa maana kipimo kinaonyesha INR ipo vizuri+blood picture.
Sasa shida nikwamba toka nigundulike na kupata...
Habari za Asubuhi Wadau "Please nahitaji msaada wenu madaktari kwani nataka kufaulu mitihani yangu ya chuo lakini mambo ni mengi ya kusoma " Nahitaji kuongeza uwezo wa kuelewa na Cremming...
wakuu nimekuwa nasumbuliwa na mafindo findo kwa takriban wiki je? ni dawa gani ambayo ni sahihi kwa ajili ya kunitibu yaishe kabsa msaada!!!!!!!!!!!!!1
Wakuu naombeni msaada wenu, mke wangu alijifungua mtoto mwaka mmoja uliopita kwa njia ya operation lakini hadi sasa haoni siku zake.
Hii imemletea hofu kubwa sana ingawaje hataki kunieleza...
Hellow members&drs! Poleni na majukumu ya kifamilia,binafs,serikali,chama nk.
Am single lady of 30's najua wengine watashangaa but ndio hivyo.. by the way sicho nachotaka kukiombea msaada laah...
Wazima humu. Jamani mimi twins wangu uzito wao hata nashindwa kuuelewa, wanakula vizuri tu, wako active lakini kwenye uzito napata mawazo sana. Binti amerudi kwenye kijivu, kijana nae anarudi...
Naimani mungu amewatangulia kwa cku ya leo, mimi nina swali eti n kwanini watu wengine mimba zao huwa znakua haraka na wengine hata huwa hazionekan, je ni sababu gani inakuwa hvo na n vitu gan...
Wadau, sikuambiwa na mtu yeyote lakini nilijikuta natumia mafuta ya zeituni yanaitwa Spanish oil kama dawa ya meno. Nilikuwa na jino lililooza haps reception nikawa natumia kama dawa ya meno...
Naomba kuuliza swali hili kwa nia ya rafiki yangu mmoja. Ana tatizo la maji maji kwenye uchi wake, yaani jamaa Yake akiingiza hâta kabla ya kukojoa kunajaa maji.
Je hili ni tatizo? Dawa yake ni...
Ladies, while thongs may appear very sexy and fitting, research has proven that wearing them can do you more harm than good because they expose you to some health hazards. Here's a few of...
Now if this picture doesn't make u wanna throw your cigarettes out of the Window, I don't know what will!!!
Non Smoker Mapafu ya asie vuta Sigara. Smoker Mapafu ya Mvutaji Sigara. ​Kazi...
Naombeni kufahamishwa kama kuna matibabu ya kuachanisha nyama zilizoshikana kwa kumkarisha mgonjwa kwenye kiti na kumfunga jiwe la kilo 2 miguuni akiwa ananing'niza miguu?hospitali moja madaktari...
KITAALAM TATIZO HILI LINAITWA (ATTENTION DEFICIT HYPERACTIVITY DISORDER (ADHD)
Watoto wenye tatizo hili ni wale ambao wana shida ya kukosa utulivu, kukurupuka na kua na utundu uliopitiliza
Dalili...
By definition(What is orthodontics? - Medical News Today).
Wapi hawa watu wanapatikana, kuna mtu ana child/ milk tooth na ana miaka 30 so Hospital gani au Dr gani special wa hizi mambo...
Wakuu heshima yenu na itifaki izingatiwe!!!!!
Ninalo tatizo ambalo limekuwa likinisumbua kwa muda mrefu, zaidi ya miaka mitano sasa. Nimetafuta namna ya kulidhibiti bila mafanikio. Naomba...