Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

niliugua magonjwa ya ngozi hapo nyuma nimepon a BT makovu yananisumbua je nitumie Dana gani
0 Reactions
0 Replies
864 Views
Habar wadau hapa jamvini mimi niliwahi kung'oa jino la mbele miaka mitano iliopita nikawa natumia jino la bandia ila hivi karibuni nilisikia habar ya dental implant nikaona pengine ni nzur zaid...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama nilivyoandika kwenye heading ni kuwa mwenye uelewa juu ya dawa za macho za hospitali aje hapa kuna mambo nataka anijuze.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za jion bandugu Kwanza nashukru kuniunganisha hapa, mie ndo kwanza naanza, kwahiyo km kutakuwa na makosa yoyote tusameheane. jaman nataka kueleweshwa kwa walio na ufahamu juu ya hizi...
0 Reactions
17 Replies
17K Views
Jana nilipokea mgeni toka mkoani ambaye toka nikutane nae muda wa saa kumi jioni alikuwa akinywa pombe aina ya konyagi iliyo ndani ya pakiti na alikunywa za kutosha mpaka akalewa kabisa. Tulipo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jaman naomba msaada ziwa la kushoto linawasha sana kuzunguka chuchu. Nn tatizo
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Habari! Nna Mdogo wangu wa kiume ambae amekuwa akisumbuliwa na ameoba muda mrefu sasa! Amekuwa akienda hospital na kuandikiwa dawa ambazo zimekuwa zikimsaidia Kwa muda mfupi then tatizo...
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Habar wana jf, ninaomba kuuliza unapotumia kondomu wakati wa kufanya mapenz na mwenza wako jee unapunguza uwezekano wa kupata ukimwi au kama msichana ana ukimwi na ww pia waweza kuupata hata kama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna rafiki Yangu Ameshauliwa Na Dk Atumie Vidonge Hivi Ili Kuregurate Homon Zake Baada Ya Kutoziona Siku Zake Kwa Kipindi Cha Miezi 2 Na Wiki 2 Baada Ya Kujifungua. Je Vidonge Hivi Vina Weza Kuwa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
A newborn baby has died after being kissed by a mystery person with cold sores. Nancy Shayo born healthily on November 1 via caesarean but died just 24 days later after becoming infected with the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
This Is What Happens When You Drink 10 Cans Of Soda Per Day for One Month The before and after pictures say it all: It’s not news that soda is bad for us. But it is jarring to witness the...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Hospitali ya Misheni Wilayani Sengerema mkoani Mwanza imepata lawama kutokana na kitendo chake cha kumuongezea damu ambayo siyo kundi lake mtoto aliyeafahamika kwa jina la Salome Pastory...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari zenu jamani! Mtoto wangu fizi zake sizielewi zimejikata kata kama ana meno yaani zimejigawa alama za meno yaan cjui nielezeje, ngoja nitume na picha mnisaidie
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari wana JF. Mimi ni binti mwenye unene wa kawaida ila tatizo langu lipo kwenye shingo yaan ikitokea nimeongeza uzito kidogo ninakuwa na mafuta mengi shingoni kiasi cha kwamba hta...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Msaada: Dada yangu ni mjamzito miezi tisa sasa, juzi kafanya utra sound wanasema mtoto amevingirisha kitovu shingoni kwa hiyo uwezekano wa kujifungua kawaida haupo ila kwa operation mapema bila...
0 Reactions
11 Replies
9K Views
Watu wengi wamekuwa na mazoea ya kula nyama ya ndani (pulp) ya chungwa na kudhani kwamba maganda hayana faida.maganda yanatupatia ,vitamin a ,c na virutubisho vingine vingi. Faida za maganda ni...
3 Reactions
2 Replies
16K Views
Naitwa Afredy, ni mtanzania nampenda Mungu. Natambua wapo watu wenye matatizo ya figo na wapo katika hali mbaya ya kupoteza maisha yao. Nipo tayari kutoa figo langu moja ili kuokoa maisha kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana jf polen kwa majukum na nashukur kwa ushaur wa bure tunaopeana. Nina mwanangu wa kike mwenye umri wa miez minana na wiki mbili...mwanangu hapendi kula chakula chochote hususan uji na...
0 Reactions
40 Replies
7K Views
Msaada wana jamvi,, naomba anaejua dawa ya kupunguza kuwashwa baada ya kunyoa.
0 Reactions
19 Replies
16K Views
Za leo ndugu wapendwa, jamani na shoga angu ametoka kujifungua j,pili hii iliyopita na ametokwa na michubuko kwenye chuchu zake mpaka anashindwa kunyonyesha mtoto kwa maumivu anayoyapata. Dr...
0 Reactions
12 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…