Hi!
Kuna mtu ameambukizwa Gonorea kwa mara ya pili sasa. Kwa mara ya kwanza alitibiwa mwezi April mwaka huu na kupona.
Sasa ameambukizwa tena na anahitaji ushauri wa kitabibu kama anaweza...
Wanabodi, nipo kwenye masononeko makubwa kutafuta ufumbuzi wa tatizo la miguu la mama yangu, leo almost nilie mama amaenguka mbele yangu anasema mguu mmoja ndo unakataa hata kunyanyuka.
Mama...
Polen na majukumu! Nna ujauzito nmeingia mwezi wa 9 sasa ila nna tatizo linanisumbua huwa nikila tu ile asbh tumbo linaniuma kwa hapa juu! Litaniumaaaa km dk 2 hv then litaacha! Karbia kila siku...
Hodi hodi hapa uwanjani..!
Hivi kwanini huwaga naugua vidinda vya limi mara Baada ya kuingia CHUMVINI.
But i cant stop kuingia chumvini...cause my girl likes it a lot.
Tarehe moja mwezi wa kumi na mbili ilikua tunaadhimisha siku ya Ukimwi Dunian,Kutokana na madhara yake kwa jamii kwakweli Ukimwi bado ni tishio na mbaya zaidi ni pale panapokua na matumaini F ya...
Hbr wakuu, naomba fahamishwa sababu zinazoweza pelekea ujauzito kutoka wenyewe (automatic abortion ) na nini kifanyike kulinda afya ya mama baada ya kukutwa na tatizo hilo?
Kondomu ni kifaa/ zana iliyotengenezwa mahususi kuvalisha uuume au ukeni wakati wa kujamiiana. dk. condom alifahamika kama mgunduzi wa kwanza wa kondomu
ambaye alikuwa ni daktari wa mfalme...
HIV is evolving to become less deadly and less infectious, according to a major scientific study.
The team at the University of Oxford shows the virus is being "watered down" as it adapts to our...
Wanajf naombeni msaada,nilijifungua tar26 mwezi wa 9 tena kwa bahati mbaya mtoto alifia tumboni kutokana na chupa kukauka japo pia sijajua hilo tatizo lilitokana na nini maake utrasound tar19...
Naomba kwa wanaojua mini dalili za Kansas Nina mdogowangu analibongebonge kwenye titi LA kulia na li bonge bonge ukilishika linatembea haliko fixed he hiyo inaeza ikawa mass au canser
Utafiti mpya uliotolewa nchini Marekani, umebainisha kuwa watu wanaopenda kulala bila nguo wanapata faida nyingi ikiwamo ya kuwa na uwezekano mdogo wa kupata ugonjwa wa kisukari.
Ripoti hiyo ya...
Paracetamol link to asthma risk 'has been overstated': Experts say evidence is not strong enough to warrant warnings
Previous studies claimed exposure to paracetamol in the womb or during early...
So which foods really ARE good for you? Interactive tool reveals the truth about chia seeds, acai berries, wheatgrass and green tea
Data journalist David McCandless began research for the...
Utafiti mpya uliotolewa nchini Marekani, umebainisha kuwa watu wanaopenda kulala bila nguo wanapata faida nyingi ikiwamo ya kuwa na uwezekano mdogo wa kupata ugonjwa wa kisukari.
Ripoti hiyo ya...
Wadau naomba kuuliza kuhusu hii magic shaving powder ambayo watu mbalimbali wanaitumia kunyoa ndevu iwapo ina madhara ya kiafya kama vile kuweza kupata ugonjwa wa kansa hapo baadaye?