Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habarini ndugu,ningependa kujua ni njia gani sahihi naweza kuitumia kuongeza ukubwa wa maumbile yangu ya kiume kwani ni madogo na yananiathiri sana kisaikolojia kila ninapoyafikilia
1 Reactions
58 Replies
13K Views
wanajamii ningependa mwenye kujua juu ya wanawake wenye jinsia mbili..ni kweli wapo na je kweli viungo hivyo vyote vinafanya kazi.. nahitaji msaada wenu nipate kujua tu
0 Reactions
18 Replies
10K Views
Habarini wakuu. Naomba kujuzwa kuna hawa watu wanaoshtukashtuka akipigiwa horn ya gari, kupuliza mdomo(mluzi) n.k watakuwa na tatizo gani kiafya? KUMBUKA: Kuna wenye mabusha na wasio na mabusha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mashine iliyotumika kuuhisha moyo uliokufa na kisha kupandikiza kwa mgonjwa Madaktari wa Australia wamefanikiwa kuwarejeshea uhai wagonjwa watatu baada ya kupandikizwa moyo uliokufa katika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajamvi naomba mnisaidie hili, Je, kuna athari yoyote ya kibaiolojia inayoweza kutokea endapo mtoto wa kike atachapwa kwenye makalio yake?.
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari wadau.. Asalaam aleykum.. Bwana yesu asifiwe. mimi ni kijana mwenye miaka 25 nimesoma boys school kwa miaka 6..kiukweli kama mjuavyo maisha ya boys.. Nilikuwa napenda sana kutumia...
0 Reactions
8 Replies
11K Views
Hallow JF DOCTORS nawasalimu wote.., Ahsanten kwan najua mnaenda kunishauri ushauri mzuri au yawezekana nyie ndo mkawa mwisho au ufumbuzi wa tatizo nililo nalo. Jaman mim...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Habarini binadamu.Nina tatizo la sikio la kushoto kuweka vipele vidogo vinakauka na kujirudia nimeshameza dawa za kizungu mpaka nimechoka,naomba mwenye dawa ya kienyeji ajitokeze au mwenye ushauri .
0 Reactions
11 Replies
7K Views
salaam jamani, samahan naomba kujua nini tatizo langu. katika hali ambayo siyo ya kawaida nikienda haja kubwa huwa naona vitu kama uteute mweupe umeambatana na kinyesi. naomba kujuzwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni dada yetu amefikia hali hiyo. Ukimuuliza ana shida gani anasema haelewi. Amepelekwa hospitali hakuma suluhisho.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hii dawa nimeiona kwa page ya mtu nikaona nilete JF Doctor labda kuna mtu atasaidika sijui chochote nimecopy na kupaste namuita babu MziziMkavu ili kama ni sumu akemee mapema aliyepost katumia na...
1 Reactions
8 Replies
46K Views
habari zenu ndugu najua jf kuna watu mbali mbali na pia kuna wale mungu amewajalia kuwa madaktari mbarikiwe kwa kazi mnazo zifanya. mimi tatizo nililo nalo tangu mwezi uliopita usiku ninapo lala...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina tatizo la kuwashwa sehemu za siri takriban mwaka sas kila nikitumia dawa napon then nawashw ten yan najikun mpaka nakosa aman plz msaad
0 Reactions
0 Replies
783 Views
Wakuu, 1. Utafiti uliofanywa nchini Tanzania (http://www.tzonline.org/pdf/femalecircumcisionandHIVinfectionintanzania.pdf) umejikuta ukishindwa kueleza ni vipi kuna maambukizi machache sana ya...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Wadau naomba ushauri maana naelekea kuwa confused. Nina mtoto mwenye umri wa miaka 7. Huyu mtoto amekuwa akisumbuliwa na tatizo la kuumwa tumbo kwa style ya kushtukiza, yaani inamuanza ghafla na...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Habari wakuu, Nina Rafiki yangu nilisoma naye primary na nikamliza naye mwaka 1997 ,2009nimemaliza mimi chuo. Baada ya kumaliza Darasa la saba alipangiwa Tanga School(Tanga Tech), alimaliza...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Nilikuwa natatizwa sana na jambo hili, na sikuwahi kupata daktari aliyenipa jibu la uhakika. Nimesoma article hii hapa chini na nafikiri nimepata mwanga kidooogo. Can you take two antibiotics at...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana jamvi, leo ni siku ya pili kila ninapo vuta mafua/kamasi kupitia matundu ya juu ya kinywa kutokea puani makamasi hayo yanapogusa ulimi huwa na kauchungu mithili ya uchungu wa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Best Sources Of Iron That You'll Actually Want To Eat A Bonanza for Seafood Lovers What it is: A raw-bar feast How much iron you get: Per 3-ounce serving, oysters have 6.2 mg iron and clams...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…