Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari jf,,,,,, naombeni msaada wenu,,, nina tatizo la kubanwa na mkojo kila wakati n dan nikikojoa naumia,,, bt nilijaribu kunywa maji mengi ikaacha kuuma bt kutwa mkojo unanishika,,,,,,,
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu wanajf naomba msaada wenu nasumbuliwa sana na amoeba tumboni nimetumia dawa za hospital naona bado.Naombeni ushauriwenu wapi ntapata dawa za asili I mean miti shamba tumbo langu any time...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
-There's no cure for Ebola. So why have some patients walked away healthy in westen countries while all contracted patients in Africa are dying ? Dr. Kent Brantly, Nancy Writebol, Dr. Rick Sacra...
0 Reactions
2 Replies
963 Views
Habari ndg zangu, Napenda kujulishwa ni dalili ya ugonjwa gani hiyo hapo juu. Asante
0 Reactions
7 Replies
9K Views
Habari. Eti wakuu chanzo cha kunyonyoka nywele kwenye utosi ni nini? au utakutana na mtu hana nywele kwenye utosi kwa jina lingine mtu mwenye kipara, mbona sijaona mwanamke mwenye upara? chanzo...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
habar wana jf nimekuwa nikisumbuliwa na meno mwaka sasa ila ucku wa leo ndo limezd maumivu hadi kukosa usingiz je kuna dawa yoyote nitakayoweza tumia ili kuondoa maumivu hayo nashukurun kwa...
0 Reactions
22 Replies
9K Views
wanaoitwa wataalamu a.k.a wanabaiolijia kama chi wanatuoya kuwa kuna aina kibao sijui za kupumua. nizifahamuzo ni pamoja na kupitia puani, vinyweleo na hata kujamba sasa leo tuogelee umuhimu wa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Hali zenu wadau wa JF Doctor..... Jamani mwenzenu mieeee, nimechoka sasa. Mtoto huyu hana hamu ya kula kabisaaaa, hakuna chakula kitamu ambacho anapenda, akitamani chipsi ukimpatia anakula robo...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
nilikuwa nakula papai nikajaribu kutafuna mbegu zake, aisee zinawasha hizoo, sijajua kama zina madhara au la!, kwa wenye ufaham naomba wanijuze. Nawasilisha.
0 Reactions
2 Replies
7K Views
naomba kujibiwa swali langu nakupewa maelezo yaliyokamili, Je kuna dawa yakumfanya mtu afike kileleni kwa haraka? upungufu wa hormone za kike kunaeza msababisha mtu kutofika kileleni? NOTE: Mawazo...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hi doctors.... Hili swali huwa najiuliza nakosa jibu. Nilipokuwa mdogo (shule ya msingi na sekondari) fangasi nilikuwa nazisikia tu na kuzisoma kwenye vipeperushi....nimekuja kukutana na fangas...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Jaman Wanajf-bachelor Of Science With Biology Naombeni Msaada Wenu Nina Tatizo La Nguvu La Kiume Natowa Bao Moja Afu Crudii Ume Wangu Unacnya Na Atatendo Lenyewe Huwa Cjickii Kufanya Nitumiye Dawa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mdogo wangu ambae ananisaidia kazi zangu,miezi miwili iliyopita aligundulika ana TB. Iligundulika baada ya kuwa na kikohozi kwa muda mrefu bila kupona. Alipoenda kupima kweli ikawa ni TB na sasa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
jamani naomba mnisaidie kuna rafiki yangu kaja kuniuliza kuhusu hii dalili,,,, ya mapigo ya moyo kudunda fasta kwa muda wa siku tatu sasa,,,, alafu katoka kudate na mwenza wake wiki mbili...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau, Nimejiuliza Swali Hilo Bila Majibu, Ikitokea Mtu Anaumwa Labda Kichocho,kaswende, Gono, N.K, Je Akimpa Mimba Msichana,mtoto Atakaezaliwa Atakuwa Na Afya Kweli?Au Hatakuwa Na Tatizo Lolote...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nina umri wa 29, sijaoa bado. Wadau,naona kila kukicha nashindwa kufikiri,pia uwezo wangu wa kaz unapungua. Hata kuongea naona kaz kwel! Nashndwa hata kuweka nyumba yangu safi kama kjana...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jaman wapendwa mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26, mara nyingi huwa napata maumivu ya tumbo chini ya kitovu, hili linaweza kuwa tatizo gan?
0 Reactions
14 Replies
8K Views
Ndg, wanajamvi nahitaji kufahamu ukweli huu Wa kuwa kinyesi cha mnyama tembo kinaweza kutumika kwa kutibu kifafa na je, dozi yake inatumikaje? Naomba nipate faida kutoka kwenu wataalam ili...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Jaman tuwasaidie hawa watu hata kwa mawazo, kuna rfk yangu ana mpenzi wake kuna siku walifanya mapenzi na baada ya siku mbili mwanaume alianza kutokwa na kitu kama usaha sehemu za siri na alienda...
0 Reactions
0 Replies
8K Views
Nimetumia dawa nyingi sasa naona sina jinsi! Mzizi mkavu aliwahi kusema humu kwamba ukinywa mkojo wako mwenyewe mara mbili kwa siku kwa siku7 madonda yanapona! Nimeanza kunywa mkojo wangu leo...
1 Reactions
54 Replies
20K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…