Habari wataalamu,
Naomba niende moja kwa moja kwenye tatizo, imewahi kunitokea kama miaka miwili iliyopita, uume uligoma kusimama wakati wa tendo la ndoa, hali hiyo ikadumu kwa wiki mbili...
niliwahi kusikia kuna dawa au sindano unaweza kutumia ili usiwe na hamu ya kufanya ngono,nilikuwa naomben maelezo kama kuna huduma hii ya kuzuia kufanya ngono labda kwa kipindi fulani hivi,na ni...
Ndugu madokta naombeni msaada wenu...
Mimi ni kijana wakiume mwenye umri wa miaka 22, urefu cm 176, kiuno inch 32 kilo 55
Mimi ni mwembamba sana kiasi cha jamii kunishangaa hata kudai mm ni...
ananiomba ushauri afanye nini juu ya tatizo hilo, wachache aliowaomba ushauri wamemwambia sababu yeye ni bonge hvyo inabidi apunguze mwili, lakini process hii matokeo yake si leo wala kesho, mimi...
Wakuu habar zenu natumai mko poa..naomba kueleweshwa km hii kitu inafanya kazi katika kupata mimba pindi ufanyapo mapenzi siku ya 3 au ya 4 kabla ya kupata period na ikiwa umeshaona dalili zote za...
Wakuu habar zenu natumai mko poa..naomba kueleweshwa km hii kitu inafanya kazi katika kupata mimba pindi ufanyapo mapenzi siku ya 3 au ya 4 kabla ya kupata period na ikiwa umeshaona dalili zote za...
Habari wandugu, ni miezi 7 tu iliyopita nilipata mtoto wa kiume na ndio mtoto wangu wa kwanza, sasa tatizo ni kuwa ana toa sana jasho, yan ukimlaza sehemu, baada ya muda unakuta ameshapalowesha...
Habar zenu wanaJF, mi ninatatizo linanisumbua sana tokea zamani kama miaka minne iliyopita japo liliacha lakini sasa limeanza kurudi tena mala 1 moja, ni tatizo la kukosa nguvu mwili mzima usiku...
Habari waungwana.....ni hivi nina mtoto wa dada yangu ama umri wa mwaka na nusu,lkn ana uzito wa kilo kumi na nusu.Leo nimpeleka kliniki wanasema aongezewe lishe.lakini mtoto anakula...
Wadau wenzangu kwa muda mrefu sasa nimekuwa najiuliza mbona sijawahi kusikia kama kuna ugunduzi wowote uliofanyika wa Tiba au Kinga ya Maradhi fulani hapa nchini kwetu!? Kama yupo Dr aliyegundua...
Katika hali ya kushangaza, Leo katika story na washikaji kuhusiana na maswala ya mahusiano, mapenzi na ngono kuna mshikaji ametuambia kuwa kuna njia mbadala ya kuzuia mimba na ameshauri kuwa pindi...
Madaktari bingwa wa JF.Naishi dar ila baridi ya siku mbili zilizopita hizi goroli zangu zilikuwa zinaniuma mpaka nikawa napata tabu kuendesha gari,ila leo joto niko safi tu!! Wakuu tatizo ni...
Mara nyingi nimesikia mtu anaumwa ugonjwa WA kidole kuvimba na watu huita mdudu ambao wanasema hauna tiba.ningependa kujua mengi ya zaidi kuhusu huu ugonjwa
As it is currently Breast Cancer Awareness month we have created a quiz relevant to promoting breast cancer awareness. The quiz provides shocking facts on breast cancer that many people are not...