Kipindi gani unaweza ukafanya mapenz alafu mwanamke asipate mimba ....ebu niambie mzunguko wa siku unakuwaje.....na je kuhesabu siku unaanza kipind gani...
Habari za jioni,
Nina ndugu yangu amelazwa Kibasila tokea juzi akitokea Temeke kwa ajili ya operation ya haraka lakin tokeo tumehamia muhimbili hamna kilichofanyika.
Hamna vipimo, wala hiyo...
Ndugu wataalam naomba msaada mtoto wangu anasumbuliwa na macho yaani nimetumia dawa hasa ya maji lakini hamna kitu.
Msaada jamani maana mtoto anateseka.
Ndugu naomba ushauri wa kitaalamu nimemaliza dozi ya amoxlyn siku tatu zmepita na Leo Luna harusi vp naweza kunywa pombe Leo? Dozi iliisha j5, msaada jamani
Harvard scientists have announced a breakthrough that could eventually allow millions of diabetics to shed the yoke of daily insulin injections.
It took over 15 years of trial and error, but...
KIRUSI CHA EBOLA
KWA UFUPI
Miongoni mwa magonjwa mabaya zaidi duniani ni yale yanayoenezwa na virusi, hebu tumchunguze huyu ni kiumbe wa namna gani.
Virusi ni vijidudu vidogo sana kiasi...
Wataaramu was afya naomba msaada
Me ni mjamzito wa miezi tisa lakin nasumbuliwa na maumivu ya kiuno,mgongo na tumbo kalibia inafika wiki na nusu lakn cyo ya moja kwa moja kina muda yanaacha na...
It is 5:41 pm in Monrovia on Friday, October 10, 2014
Calling all citizen journalists: If it has happened, is happening or is about to happen in your community, let us know. Find our...
Yaani kuna kitu kinapekecha hasa niamkapo asubuhi ndo balaa.
Cha ajabu ni kwamba niamkapo asubuhi nikiwa nimebanwa sana na mkojo ndio bega linauma ile mbaya, nikienda kukojoa linaachia pole...
A new scientific study has shown that sleeping with your phone on can result in obesity.
Scientists in Spain have found that the artificial light emitted from the screens of phones, tablets...
Habari wapendwa.
Nahitaji msaada au ushauri wa kimatibabu kwa yeyote aliwahi kuugua OVARIAN CYST, hata kama hujawahi kupata tatizo hilo ila kuna mtu unaemfahamu aliwahi kusumbuliwa na tatizo hilo...
Habari wana JF.
Juzi kati dadangu na mumewe walienda kwa docta na mtoto wao wakiume, umri miez 8 kutaka kumpatia sunna (kumtahiri). Docta akawaambia si vema kufanya tendo hilo katika umri huo...
Habari wana jf, tafadhalini naomba msaada kwa yoyote anaejua hili tatizo.
Siku zangu za hedhi zimekua chache sana, naenda siku moja tu basi. Haikua hivi mwanzo, kabla sijapata miscarriage nilikua...
Mke wangu ana ujauzito,ameenda hospitali amepimwa kama ilvyoada,amepewa majibu yote,isipokua ya vvu,ameambiwa paka mimi niwepo.je ni sawa yeye kunyimwa majibu paka mimi ni wepo?mimi npo mbali...