Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari zenu. Bradha wangu kazaa na mwanamke fulani lakini mtoto hafanani hata kidogo na wazazi wake. Au tumelizwa?
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Nilipata period tarehe1 august hapo kat nilikutana na mwenzangu,kwenye tarehe17 nilimeza dawa za malaria tarehe20 nikatokwa na damu ya hedh,kwenye tarehe25 na 26 niliduu..sasa mpaka leo sijapata...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Tafadhali nahitaji maelezo ama contacts za daktari anayefanya shughuli za meno bandia kwa Dar ama Morogoro. Tafadhali kama huna jibu basi waachie nafasi wanaojua waandike! Itanisaidia zaidi kama...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wadau ebu nisaidieni, nilikua nimesi mama mazoezi kama wiki tatu hivi kwakua nilikua naumwa sa leo nimeaza kukimbia kama kilometa tatu hv naona mapaja na miguu vina washa niki simama kidogo yana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Aisee wataalamu wa afya habari za saa hizi. Nimeenda zahanati kupima malaria leo lakini wamenitoboa mara nne damu inakataa kurun kwenye hicho kipimo hadi ikabidi nikapime kwenye kipimo cha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Raisi Kaenda leo kufungua wodi ya kupokea wagonjwa wa ebola TEMEKE ! Ugonjwa kwa sasa uko wapi, ukisoma distribution pattern yake, where is the most likely place kwa huu ugonjwa ku attack kwanza...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
ELEWA JINSI YA KUTOA TAKA MWLI NA KUPUNGUZA STRESS KWA AFYA BORA. (BODY DETOXIFICATION) Unatambua kuwa miili yetu imezungukwa na sumu nyingi?? (A person’s body can become overburdened and...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari wanajamvi, Nina mpwa wangu wa kike anatatizo la kushindwa kuzuia mkojo pale unapombana jambo ambalo limekuwa likimletea aibu mbele ya wasichana wenzake shuleni. Pia anatatizo la kuumwa...
1 Reactions
12 Replies
20K Views
Naomba mnisaidie dawa hiyo.
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Habari wana jf,natumaini mu wazima wa afya. Mimi ninasumbuliwa na tatizo la kukosa hamu ya kula chakula kila ninapotaka kula matokeo yake nazidi kupungua tu. NOTE: siumwi ugonjwa wowote...
1 Reactions
10 Replies
9K Views
Binti angu ana miaka 3.2 tatizo ni kunyonya kidole mpk kinaweka kidonda. Je ni tatizo la setting ya ubongo (aliwekewa kidole mdomoni na nurse just after birth). Hata umkataze vip kuna time ataweka...
2 Reactions
32 Replies
8K Views
Habarini wana jf,ndugu zangu napenda kufahamu kama mtu mwenye certificate ya nursing anaweza kujiendeleza na kuwa chrinical officer ama chrinical medicine na kama ndio je itamchukua mtu miaka...
0 Reactions
16 Replies
12K Views
Wadau kuna Binti mmoja ananisisitiza nimnyonye sasa mimi naogopa labda naweza pata magonjwa hatarishi. kuna anayejua madhara ya oral sex atueleze ili wote tuelimike.
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Ili mboo iweze kusimama, inahitajika damu nyingi isafirishwe kwenda huko,na ili kufanya hivi moyo inabidi ufanye kazi ya ziada kusukuma kiasi kikubwa sana cha damu. Ndiyo maana wakati wa...
2 Reactions
13 Replies
12K Views
Click hapa kupata njia za kuongeza uwezo wa kufikiri.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
.
0 Reactions
55 Replies
13K Views
Wadua naomba kujuzwa juu ya hili shem wenu mjamzito kila ikifika asubuhi tumbo linamkata nini inasababishwa na nini na inaweza leta shida yoyote.
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Ndugu yangu anaumwa sana alipoenda hospital muhimbili wamesema figo imejaa maji wakati hindu mandal wamesema moyo ndio tatizo haufanyi kazi vizuri. Mwili mzima umevimba na upumuaji umekuwa wa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu mwenzenu ,kila inapo itwa ucku huwa napata taabu sana kuhema, na pia muda mwingne kwenye koo kunakuwa kama kuna k2.nilisha ingizaga kdole kooni ,nina hic kama ---- vipele vdogo sana.Pia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari na poleni na majukumu ya kulijenga taifa, Kama kichwa cha habari kilivyojieleza hapo juu naombeni msaada wenu wa kunijuza hiki kitu kinanitatiza nashindwa kuujua mzunguko wangu kwa ujumla...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…