Wana JF,
Salaam,
Nimelazimika kuileta makala hii ambayo ilichapishwa ukurasa wa 10 wa Gazeti la Mwananchi la Septemba 5 baada ya kupokea simu na meseji nyingi zikiniuliza ni aina gani ya Dawa ya...
Wakuu hili tatizo niko nalo kwa muda mrefu sana nasikia maumivu kama ya kiungulia kwenye moyo na nilifanya kipimo cha ECG pale Lugalo wakaniambia ni kutokana na vidonda vya tumbo,but these days...
Wakati tukipata chakula cha jioni ghafla mke wangu niliona anaishiwa nguvu na kunilalia nikajiuliza sina cha kufanya. Kutoka na kuzimia niliamua kuanza kumpepea na baadaye amepata nafuu japo si...
Wana jf wanaojua nina rafiki yangu ana ka ujauzito ka wiki 3 hata mwezi hakana, ila ana u.t.i sasa doctor kamwandikua powercef 1 gram od. Yan kila siku achome sindano ya gram moja kwa siku tano...
Jamani naomba kuuliza kuna athali kwa uvutaji bangi wa mara chache tu..mimi huwa navutaga bangi nikiwa na metch adimu sana..sasa vipi naweza pata madhara gani?
Habar zenu wanandugu mimi mwenzenu nina tatizo moja la kulala kupitiliza yan bila break mfano siku za weekend ambazo sina kazi huwa nazitumia kulala tu mpaka najiuliza naumw ama vp? Nkilala saa 6...
Kidonda kwenye mwili wa binadamu huchukua muda mrefu kupona kwa sababu hakuna kitu cha kuondoa nyama iliyooza kwenye kidonda hicho. Kwa kawaida daktari wa kidonda husafisha/hukwangua kidonda hicho...
Ukifuata hii menu ninafikiri hutoweza tena kuumwa maradhi yoyote yale.
Kitunguusaumu.
Asali
Na kila siku kula punje moja ya kitunguusaumu kabla ya kula kitu na uwe unakunywa asali kijiko...
Garlic is often a very common addition to a number of dishes. Right from adding a zing to bread to being a major flavouring agent in biriyanis, those pungent, white blubs of flavour lend a very...
Habari za asubuhi wapendwa,
Jana nimeamka vzuri nkaenda kazini, nilivyorudi nikapata msosi wa mchana alafu nikaenda sehemu kusafisha nyumba kuna mtu anataka kuhamia, so kule nilikutana na vumbi...
Juzi mchana ameanza kuona damu kama zinabeep ilitoka mara moja ikatoka tena jana hasubuhi. Je inawezeka mimba imeharibika??
Pia anasikia maumivu ya makali ya kiuno, tumbo pamoja na matiti...
Wakuu,
Kama unasumbuliwa au una ndugu au rafiki anasumbuliwa na ugonjwa wa Moyo na matatizo mengine katika Moyo kama vile moyo kuwa mkubwa, moyo kuwa mdogo, moyo kuwa mpana, mafuta mengi katika...
Habari. Mi ni mkazi wa Dar es salaam. Nina meno mawili ya juu mabovu (moja incisor na lingine linalofuata kwenda ndani baada ya hilo incisor), yametoboka. Nimewahi kuwa na meno mengine mawili...
Salamaleko?
Kama kichwa cha thread kinavyouliza; kifua cha mwanaume kina nyonyo mbili ambazo kwangu naona kama ni kiungo redundant.
Kwani nyonyo zina kazi gani ktk chest ya dume?
I 'm...
KULINGANA na Hazina ya Umoja wa Mataifa ya Idadi ya Watu, zaidi ya wanawake nusu milioni hufa kila mwaka kutokana na matatizo yanayohusiana na mimba. Isitoshe, Shirika la Umoja wa Mataifa la...