Ni miezi miwili sasa tangu Mke wangu ajifungue kwa njia ya upasuaji.Baada ya wiki 2 hiv kikawa kimepona kabsa kwa juu,la kushangaza ni kuwa ile sehemu baada ya mwezi na wiki 1 kunatokea na vitobo...
Habari waungwana,
Mimi ni mdada am in my 30's. miaka ya hivi karibuni nimekua na tabia ambazo ni za ajabu sana sasa sijui ni nini kimenipata
i)sipendi kuvaa nguo na hivi naishi pekeangu...
Wanajamvi, tunaambiwa kuwa chanzo cha ugonjwa wa Ebola ni muingiliano wa binadamu na wanyama wanaobeba virusi vya ugonjwa huo, hasa kwa kula nyama ya nyani na aina fulani ya popo. Mimi binafsi...
Naomba kufahamu,
Nina kijana wangu wa shamba aliumia kidole last week kwa kuangukiwa na pipa,sasa leo nimekwenda shamba nakuta bado kidole hakijapona vizuri nikaonelea nimpeleke hospitali...
Jana nimemwona waziri fulani kwenye tv anaongea kuhusu kisukari na hari inavyozidi kuwa mbaya ukizingatia na gharama ya matibabu lakini kidogo wakati anataka kuongea juu ya sababu ghafla akasita...
I have just been moved by this, and hope to read books on the practice of indigenous medicine in African context, cause we have every chance of building on our indigenous medical industry just...
KWA UFUPI
Jambo hili linafanywa sehemu mbalimbali kama vile nyumbani, migahawani, hotelini, shuleni na zaidi mitaani kwa wakaanga shipsi, mihogo, mandazi, samaki na kitimoto
Kama moja ya njia...
Habari zenu jaman! Naomba mnisaidie njia za kupunguza unene ikiwezakan hata anae jua dawa za kuondoa hamu ya kula plz wadau nisaidien najichukia sana.mazoez Na diet nimeshindwa kbs
KWA UFUPI
Ubongo una mfumo wa mawasiliano ya kustajabisha kama makala haya yanavyochambua.
Ubongo ni kiungo cha aina yake katika mwili wa binadamu. Ubongo hutoa kila fikira, tendo...
Mtoto ana homa nimempa panadol lkn baada ya dakika kama moja ametapika. vipi natakiwa kumpa tena dawa au kwa kipindi cha dakika hizo dawa inakua tayari imeanza kutumika mwilini haina haja ya kumpa...
Napenda kuuliza mme wangu anatatizo la kuvimba kwa kichwa cha uboo ambalo hutokea tukimaliza kusex.
Halina mda mrefu tangu limuanze, mwenye kujua shida ni ninI karibu kwa mchango wako.
Hbr zenu wana jf polen na majukumu naomba msaada wenu mwenzenu tangu juz usiku natema mate mpaka imekuwa kero kwa weozangu sasa naomba mnijuze kama ni dalili za ujauzito au la!sihisi kichefuchefu...
I am suffering from fecal incontinence for more than three months now!!
I had formely been experiencing serious constipation!! I tried to improve the diet and the constipation went away!
Then I...
Wakuu me nataman kupima HIV but uwoga umentawala kwenda hosptal japo mwenzangu kla siku anang'ang'ania tukapme .kla tarehe ikipangwa mie natafuta 7bu ya kutoenda .ikabid nianze kuomba ushaur kwa...
Kama moja ya njia ya kupunguza gharama za matumizi, watu wengi wanatumia mafuta yaleyale zaidi ya mara moja kukaangia vyakula mbalimbali.
Jambo hili linafanywa sehemu mbalimbali kama vile...
Dawa mseto ya malaria yenye dawa mbili; Artemether na Lumefantrine (ALU), kwa hapa nchini bado inaonekana kuwa na ufanisi mkubwa wa kutibu malaria.
KWA UFUPI
Hii ni kama kuwasha taa...
Nimengo'a meno zaidi ya 5 now. Kuna mengine(magego) 3 yalitoboka, nikaziba. Kwa sasa yamezibuka, yaani yanauma na siwezi tafuna chochote kwa kutumia meno ya mbele. Nilitumia dawa Fulani ya asili...
Wakuu naomba mnisaidie maana miguu inaniuma sana sijui tatizo ni nini, je kuna dawa au msaada wowote naweza kupata ili niweze kupona!!
Msaada wenu wakuu!