Asalaam wana Jf, tafadhali naomba mnisaidie kufaham vyakula, matunda au vinywaji vinavyoweza kusaidia kusafisha figo kwani mara kwa mara nikipima mkojo naambiwa kuna protini nyingi hivyo kuashiria...
habarini wanajamvi...wandugu naomba msaada kwa anayejua psychologist wa kuaminika hapa dar anayeweza kunisaidia tatizo langu...tatizo langu ni kwamba siku hizi nawahi sana kukojoa ktk kujamiiana...
tatizo limeanza kama wiki moja na siku tano zilizopita, nilikua nikikojoa naskia maumivu kwa mbali, nikajua hii ni UTI tu, nikaenda kupima nikaambiwa sina UTI.... kesho yake asubuhi nikiwa...
Habari zenu,
Kutokana na huu upepo kuvuma kwa kasi sana hili swali likanijia kichwani, HIVI KUNA KIPIMO CHA KUJUA KAMA MWANAUME ALISHAWAI KUFANYA AU KUFANYIWA KINYUME NA MAUMBILE? ili wapenzi...
Nina matatizo ya kiafya ya mifupa ya uti wa mgongo na sehemu za mabega. Tangu mwezi wa 12/2013, mara baada ya kupata ajari.
Mwezi wa 8/2014 nimeomba uhamisho ili kuwa karibu na huduma za...
Wadau habari zenu,
Mimi nilikuwa na mpenzi wangu sasa baada ya kuwa na kwa takriban mwezi mmoja tukiwa wapenzi tukaamua kwenda kupima bahati mbaya mwenzangu alikutwa ana maambukizi na tayari...
Habari zenu wana JF!
Kuna kitu kinanitatiza mpaka nashindwa kuelewa nini hasa kinanisibu! kwa kawaida ninavojua mimi mwanaume yeyote akiamka asubuhi uume huwa unasimama, sasa mimi hata nikiwa...
Wote tunajua malaria ni hatari na ni moja ya magonjwa yanayoongoza kwa kusababisha vifo hasa kwa watoto wadogo na mama wajawazito.-
Na pia unajua njia kuu ya maambukizi ya ugonjwa huu ni kwa...
Habari wadau , mke wangu anasumbuliwa na maumivu ya mishipa ya kinena tangu alipojifungua je tatizo ni nini wadau manake kila Mara asubuhi ya alfajiri inamsumbua
Sent from my BlackBerry 8520...
Habari waugwana.
Hivi karibuni nimepata tatizo la kiafya kuna ugonjwa unaitwa ALOPECIA AREATA ambao umenikumba na ugonjwa huu unasababisha baadhi ya sehemu kichwani kutoota Nywele.
Baada ya...
The re-arranged skeleton of a foetus believed to have been inside a woman for 36 years is pictured at the hospital in Nagpur. Doctors in India have removed the skeleton of a foetus that had...
Jamani wanajamvi ,Kwa yeyote anayejua ukweli kuhusu hawa wataalam wa mtaani waliozagaa Masokoni na kila mahali mitaani anijuze .Wanapima kwa utaratibu ufuatao:
(1) Kipimo kinawekwa kwenye kidole...
Dada yangu anatatizo la macho kuvimba hadi kufunga macho pindi aamkapo asubuhi ikiambatana na kichwa kuuma, na shingo akinawa na maji ya chai au vuguvugu na chumv kidogo yana poa hili ni tatizo...
Nimeuliza kutaka kujua tu wapendwa.
Hivi ni kwaninii mtu anajikuna kuna mechanism gani mwilini ama imechafuka inaitaji kukunwa ama .....
Na kuna kitu ama msemo sikuhizi mtu akikukasirisha...