Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Mm ni kijana wa miaka 20.ndug zang yani kunakitu kama nyam au pip kina nikaba shingoni afu kina vuta apa kwenye chembe
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu hii habari si mpya hapa jamvini na serikali inatambua kuwapo na ugonjwa huu lakini kinachosikitisha hakuna hatua zozote za kujihami zilizochukuliwa hususani mipakani na viwanja vya ndege...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mtoto wa miezi 3 1/2 anakohowaa....nimpe dawa gani
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana jf habar zenu natumai mmeamka salama, Jaman me nilianza period tarehe1 mwezi huu nikaenda siku 4 around tarehe13,15 na 16 i had sex tarehe17 nikameza dawa za malaria. Sasa jana trh 20...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jambo la kwanza nina mtoto wa miez 3,huyu mtoto anacheua utadhan anatapika sijui tatizo ni nini...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mtoto wa miaka miwili na nusu anatatizo la allergy ya protein hasa maziwa, mwili unavimba na matokeo yake anajikuna na kusababisha vidonda. Madaktari wameshaonwa lakini bado tatizo lipo.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hii ni aina ya saratani inayokumba tezi ya thyroid. Ikumbukwe kuwa tezi ya thyroid ipo sehemu ya mbele ya shingo ya mwanadamu ikiwa na sehemu mbili (lobes) moja kila upande wa shingo. Visababishi...
1 Reactions
1 Replies
11K Views
Heshima wakuu; Nina mzee jirani yangu mwenye umri karibu miaka 70 sasa. Amepata tatizo la kutoka damu wakati wa haja ndogo hasa anapomaliza. Vipimo vya mkojo na hata kichocho vimeonyesha negative...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Samahani wadau. Kuna dawa inaitwa bromocriptine tab 2.5mg mwenye kujua inapatikana pharmacy ipi anijulishe maana nimeulizia kwenye pharmacy nyingi bila mafunikio. Asanteni.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tahadhari Dawa ya Mswaki ya aina ya Colgate ni mbaya kimatumizi inaweza kukuletea Maradhi ya Saratani kwenye mdomo wako ukitumia. The toothpaste you're using may be linked to cancer-cell...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari za asubuhi wakubwa? Wiki iliyopita nilileta dawa ya mtu aliyeathirika na punyeto ambayo nilifundishwa na marehemu babu vile vile aliniambia tena mjukuu wangu kama imetokea kwa bahati mbaya...
0 Reactions
12 Replies
10K Views
Bamia Na Maimuna Kubegeya, Mwananchi KWA UFUPI Mtandao wa healthandcure.com unawanukuu wataalamu wa afya wakieleza kuwa watu wanaosumbuliwa na maradhi kadha wa kadha ya mfumo wa chakula kama...
1 Reactions
0 Replies
6K Views
Mimi ni mtumiaji wa vinywaji vya aina nyingi vinavyolewesha kama bia, wine, whisk nk japo siko addicted, ila swali nalojiuliza ni kwamba how does this alcoholism work kwenye ubongo wa binadamu...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Kuna watu wamekuwa wakipotosha ukweli kwamba ngono inachosha mwili na pia inafupisha siku za kuwepo duniani. Watu ambao ni mabikira wana furaha zaidi hapa duniani kuliko mtu yeyote yule na huishi...
6 Reactions
20 Replies
8K Views
Wanajamvi! Kuna tatizo naomba mnisaidie. Kuna tatizo lilianza tangu mwaka 2010, miguu ilikuwa inasumbua. Kwenda Hospitali ya Peramiho wakasema Muhimbili ndo wakafanye utafiti zaidi. Nilipuuza kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habari zenu wapendwa, n kwa muda mrefu sana nimekuwa nikisumbuliwa na matatizo ya kichwa kuuma sana yan haiwezi kupita siku mbili pasipo kuumwa kichwa na dawa za maumivu zimekuwa ni kama chakula...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani Kwa Mtu Kutokwa Na Vijipu Ni Dalili Ya Ugonjwa Gani Wa Zinaa?
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Jamani hii ni dalili ya ugonjwa gani?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Madaktari wawili raia wa marekani waliokuwa wakitoa huduma katika nchi za africa magharibi na kuambukizwa ebola...sasa wapona baada ya kutumia dawa ya majaribio na kuua virusi vyote vya homa ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana Jf habari za jumapili? Kwanza kabisa naanza kwa kutoa pongezi kwa Jamiiforum Doctors kwa kazi nzuri za ushauri na msaada wa kitalaam mnaoutoa kwenye hili jukwaa. Mimi nina sumbuliwa na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…