Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

habari za majukumu wanajamii poleni na kazi. leo nataka tujulishane kuhusu faida ya hiki kinywaji,guiness kiafya..kutokana na tafti mbalimbali zilizofanyika mojawapo ni ile ya wisconsin...
1 Reactions
6 Replies
6K Views
wanajamii kuna tatizo linanisumbua sana hapa,ni hili suala la mimi kufananishwa sana nkikutana na watu mbalimbali,yani kwa siku inaeza tokea nafananishwa hata mara tano...napenda jua hii...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari wana jf. Yani nina tatizo la kukosa kujiamini. Hata kwenye mazungumzo yangu hasa kwa watu ambao siwafahamu.Hata shuleni kama natakiwa kufanya presentation inakuwa ni shida. unakuta kitu...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
KAMA UNASUMBULIWA NA MATATIZO HAPO CHINI NINGEPENDA NIKUSHAURI UTUMIE KIRUTUBISHO HICHI KINACHOTENGENEZWA NA KAMPUNI YA FOREVER LIVING KIMEWASAIDIA WENGI SANA DUNIANI UNAWEZA PIA UKA GOOGLE FOR...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana jamvii.....nina shemeji yangu alianza kuongea vitu visivyoeleweka (maluweluwe) ijumaa iliyopita na kulamimika kuwa ana uchovu sana. Dada yangu (mkewe) alihisi ni gea tu yakukwepa...
1 Reactions
2 Replies
11K Views
AFYA YA MWANAMKE NA UKE Utafiti wa shirika la Afya Duniani (WHO) umebaini kwamba matatizo ya afya ya ndani ya mwanamke na maambukizi ya maradhi ya sehemu za siri kwa wanawake (gynocological...
2 Reactions
29 Replies
10K Views
Habarin ndugu zangu......... Nataka kujua hii iko vip, inasababishwa na nini, na nin madhara yake bila kusahau tiba yake. Nina jirani yangu ana mtoto wa mwaka mmoja na miez tisa anasumbuliwa...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Mdogo wangu ni mjamzito 5 month ila kila siku analalamika tumbo linajaa gesi na anaweza kukaa week au na nusu hapati choo. Anakula vizuri bila shida ila hizo gesi ndio zinamsumbua na choo ,Naomba...
0 Reactions
13 Replies
102K Views
Ugonjwa wa Ebola umekuwa chanzo cha wasiwasi na uvumi. Vipi mtu huweza kuepuka kuambukizwa na ugonjwa huo? Na hatua gani aichukue akikutana na mgonjwa? DW imetafuta majibu ya maswali haya na...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni hivi nina umri wa miaka 23 lakini uzito wangu ni kilogram 86 uwiano wake ni mkubwa kupita na naogopa usije kuniletea madhara Na nilikuwa nakuombeni mnitajie vyakula vya kuacha ili nipungue...
0 Reactions
25 Replies
19K Views
Niko ninafanya online research kwa nini watu hawaelewi darasani. Kumbe kuna ugonjwa unaitwa 'attention deficit hyperactivity disorder (ADHD)' Kama umechoka kuburuza mkia, au una mtoto haelewi...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Poleni na shughuli wote kama mtaguswa na tatizo langu mie sina raha hata kidogo tangu nilipotairiwa mwaka jana tarehe 26 .10 badaye nikapona ila nikambiwa nifanye mapenzi baada ya miezi 3 kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Increase seen in people with certain abnormal heart rhythms, study finds. Digoxin is made from extracts of the foxglove plant, also called digitalis, and has long been a standard treatment for...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu heshima kwenu.Naomba kusaidiwa,kuota nyama puani inayosonga kutoka nje ya pua ni ugonjwa gani na nini tiba yake?
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Naomba msaada jamani, Mtoto wangu ana mwaka 1 na wiki3 anaumwa U.T.I doctor akamuandikia CHROLOCIDE CHROLAPHENICAL siku ya tatu Leo toka aanze dozi amepata nafuu kidogo ila Analia sana na tumbo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu nimekumbana na hii post sehemu flani nikaona niiweke hapa pia. Binafsi sijui kama uke unatofautiana na kuwanyima mabinti amani kiasi hiki! Huyu dada hapa anatiririka, "Hi dada dinah...
0 Reactions
183 Replies
72K Views
wanajamvi naomben mnielekeze vyakula ama dawa ambazo zitaweza kunisaidia kupunguza mafuta ktk mwili wangu, maana nmeambiwa na mafuta mengi sababu ya kutokwa na vitu vyeupe kwenye matundu ya...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Kijana mmoja amefariki kwa sababu ya kumeza dawa aina ya panadol. Baada ya kumeza dawa hiyo ya panadol tu alikunywa soda aina ya 7up, na akafa hapohapo. Baada ya kuchunguzwa na wataam kifo chake...
2 Reactions
33 Replies
9K Views
ninaujauzito miez 7. tatizo nililonalo sipati usingizi hata kidogo si usiku wala mchana nifanyeje wadau.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani mwenzenu ninatabia ya kutafuna midimo kwa maana ya lips hasa ya chini! Tabia hii siipendi ata kidogo inafanya midomo yangu inakuwa miekundu kama najunywa pombe. Huku ata pombe sijui radha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…