Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wadau nina rafiki yangu wa kike, ana tatizo ambalo nashindwa kulielewa ni kwamba huwa anapatwa na maumivu makali usawa wa kitovu upande wa kushoto ambapo anadai anapata maumivu makali sana kwa...
0 Reactions
0 Replies
855 Views
Nimekuwa napendelea sana kula udongo ule waliojenga mchwa kwenye miti. Nauona unanoga sana. Kuna madhara yeyote nikiula?
0 Reactions
5 Replies
4K Views
JITIBU KWA KUTUMIA MAJI mp3 Jifunze kwa kusikiliza audio hii namna ya kujikinga na kujitibu na maradhi au magonjwa mengi mwilini kwa kutumia maji tu. Hii ni isehemu ya kitabu kiitwacho...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu habari. Naona meno yangu kama yanasagika hivi. Vichembe vidogo vidogo vinatoka kwenye meno. Tatizo laweza kuwa nini?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamvii. Me nina swali jamani, nikinywa kilevi wakati ninataka kusex na shemu wenu ute unakata na papuchi inakuwa kavu zaidi. Je ni ugonjwa?
1 Reactions
211 Replies
33K Views
DHA ni kifupi cha docosahexaenoic acid, hii ipo kwenye group la fatty acids ina Omega 3 chain kwa wale waliosoma biology. DHA inapatikana katika cell zote za mwili, na ni muhimu katika...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
CALL 0657 088 003 Suggested Supplements Combinations from FOREVER LIVING PRODUCTS For Managing Normal and Special Disease States such as .High Blood Pressure/Cholesterol ,Diabetes/High Blood...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Naomben Ushaur Wadau, Nimeolewa Nimebarikiwa Kupata Mtoto Mmoja Mwaka 2003, Tatizo Langu Ni Kwamba Tangu Mwaka Juz Najaribu Kutafuta Ujauzito Bila Mafanikio, Nimesafishwa Mirija Ya Kizaz Mara Mbil...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu, Nna tatizo la weusi kwenye Makalio na bikini line (katikati) pamoja na vipele vigumu chini ya makalio. Anaejua namna ya kuondoa hili tatizo naomba anisaidie, nakosa raha haswa nkiwa...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Wadau tupeane elimu juu ya hili swala! kuna uwezekano wowote wa mimba kutungwa hapo!?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
dokta, kaka yanga anasema akikutana na wa ubavu wake akitoa yale maji meupe mazito ili kutafuta mtoto anaona zinarudi, je?afanyeje ili ziende ndani kwa mamusapo
0 Reactions
4 Replies
2K Views
habar yenu natumain nyote wazima wa afya,mimi nina swali naombeni ufafanuzi kuhusu hizi dawa(bramestone) anayejua anifafanulie coz nimeckia ni dawa za homoni nataka kujua kazi yake natanguliza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mke wangu ananyonyesha mtoto mdogo wa miezi mitatu sasa! Lakini amekuwa akipatwa natatizo ambolo hata sielewi ndo ugonjwa gani! Amekuwa akiumwa na matiti yani yanavimba halafu yanauma ukigusa tu...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari wanaforum. Naipenda sana jf doctor nikaona nisiishie kusoma tu Bali niweze kuchangia mada au kuuliza yanayonitatiza. Mimi ni mwanamke. Nawatakia weekend njema.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wadau habari za asubuhi naombeni kwa anayefahamu dozi ya mebendazole dawa ya minyoo anijuze maana kuna mtu kapewa kaambiwa dozi ni vidonge viwili ila nakumbuka nshapewa hospitali na nilitumia...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wanajf nisiwapotezee muda,nasumbuliwa na hivyo vitu tajwa hapo juu,mwenye kujua chanzo cha matatizo kama hayo aje aeleze hapa,mbarikiwe wote.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
jaman wana jf mm ni kijana mwenye umri 25 ninasumbuliwa na wingi Wa nguvu za kiume kiukweli nachelewa saana kumaliza pindi nifanyapo mapenzi naweza chukua saa nzima hata chakwanza bado kutoka...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Kama habari inavyojieleza mimi ni muhanga wa mmba wa kichwani ingawa napunguza nywele kila wiki,napenda kufahamu chanzo cha mmba kichwani na nini tiba yake kwani nimeshajaribu shampoo,sabuni za...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimekunywa dawa za malaria ekelifn jana asbh kufika jioni naskia muwasho kwenye uume wangu na hadi leo tatizo ni nini?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
The chip injected under the skin. Thousands of Americans already have implanted medical devices, including pacemakers, which are inserted into the chest to treat abnormal heart rhythms, and...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…