Wakuu ni hospitali gani ambayo wanaweza kunifanyia operation ndogo ili nitoe hizi herufi mbili (tatoo) mkononi mwangu ambazo nilijichorwa nikiwa mdogo. na ni shillingi ngapi?
Au kama kuna dawa...
Salam ndugu zangu.
Mke wangu ni mjamzito wa miezi minne japo unaenda mwezi wa tano. Mimba alinasa january, wkt bado hajaconferm, akapatwa na malaria, alipima akaamua kumeza malafin/metacafrine...
Habari wana jamvi, mimi ni mama nimejifungua kwa upasuaji jumatatu ya tarehe 5 mwezi huu wa 5. Baada ya upasuaj niliruhusiwa kurudi nyumbani lakni naona kidonda kinatoa majimaji upande wa kulia...
Katika vituo binafsi, wagonjwa wamekuwa wakipimwa kwa gharama inayofikia Sh50,000 hadi 60,000 kwa kila mtu.PICHA|MAKTABA
KWA UFUPI
Katika vituo binafsi, wagonjwa wamekuwa wakipimwa kwa gharama...
Nina ndugu yangu ana HIV, amejaribu kuanzishiwa hizi dawa za kuvubaza lakini zote zimemkataa, anavimba mwili na nnyingine inamtoa mapunye baadaye yanakuwa vidonda vikubwa na nyingine anakuwa kama...
What Are the Health Risks of Overweight and Obesity?
Being overweight or obese isn't a cosmetic problem. These conditions greatly raise your risk for other health problems.
Overweight and...
Nilikuwa na infection ambayo niliandikiwa matibabu ya Cipro kwa wiki tatu. Matokeo yake hiyo dawa imenisababishia side effect mbaya sana ijulikanayo kama C. Dificile na pia kuwashwa na ngozi kama...
Habari zenu wanajamvi
Kuna rafiki yangu ana tatizo la kansa anatakiwa achome mionzi, na mpaka dakika hii yupo Ocean Road. Kwa sasa ana na bado hajaanza tiba.
Kwani mtu anayechoma mionzi inabidi...
Mboga za majani ndizo nzuri zaidi katika afya ya mtu
Watafiti nchini Uingereza wanasema kula matunda na mboga za majani mara saba kwa siku inakuwezesha kuwa na afya zaidi kuliko mara tano...
A diet rich in whole, natural foods is not only excellent for overall health, but also for prostate health. Research shows that certain nutrients and foods that have an abundance of these...
Wanaume wasio na ajira wako katika hatari ya kuathirika zaidi kutokana na ugomvi
Ugomvi wa mara kwa mara baina ya wapenzi, marafiki ama hata jamii unaongeza hatari ya kufa kwa watu wenye umri wa...
Habari zenu wana JF,
Mimi tatizo langu ni hili nasumbuliwa sana na tumbo kushoto na kulia chini ya kitovu, then nina miaka mitatu ndani ya ndoa sijapata hata baby jamani.
Nilicheki utra sound...
Toka nipo tailiwa nikimaliza kujisaidia aja dogo mwisho kabisa mkojo utoka na damu baada ya muda ikapotea .
Sasa naona imerudi tena ile hali naomba msaada wenu jf;
Hi JF Doctor
Ni takribani miezi miwili sasa nasumbuliwa na maumivu ya miguu na mikono. Naweza kuhisi maumivu katika mguu wa kulia mara yanahamia wa kushoto na mikononi vivyo hivyo.
Nilienda...