Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Nina mtoto ana miaka mitatu sasa bado hajajua kuongea vizuri nishampeleka hospitali kwa uchunguzi hakuonekana na tatizo ila matamshi yake yananipa utata sana anapotaka kusema bye anasema tai...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Mimi ni kijana wa miaka 32,nina mke,Tatizo nililonalo nashindwa kuacha haka kamchezo kwan hata nikilala na mke wangu hua haitoshi,kila siku lazima nipige mara mbili yaan asubuhi pia na mda wa...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari zenu wanajukwaa. Naomba kujuzwa jinsi ya kutumia kalenda kupanga uzazi. Kwa mwanamke mwenye mzunguko wa siku 28 usiobadilika badilika. NAWASILISHA MADA
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Kila ikifika mwezi wa 5 na 6 midomo hupasuka na hua mikavu. Sijui tatizo ni nini? Nitazuiaje?
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Madokta hili tatizo linamsumbua huyu dada kwa mda mrefu sasa umri wake ni miaka 20 mara kwa mara hupatwa na maumivu makali chini ya kitovu, hasa anpokaribia hedhi katumia dawa nyingi za hospitali...
1 Reactions
41 Replies
14K Views
Habari za leo? Wadau nependa kushare nanyi hili tatizo ninalopata mwenzenu la kunyimwa UNYUMBA na mwandani wangu kisa homa ya Dengue.Mke wangu ni mama wa nyumbani lakini yeye muda wote hufaa...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Naombeni msaada wenu nina tatizo la upungufu wa mbegu za kiume na nilikwenda hospitali ya rufaa mbeya nilifanya vipimo na ningependa kuweka hapa ili kama naweza kupata msaada toka kwa watalaam...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wanabodi natumain kuwa hamjambo na weekend imeanza vyema. ni muda mrefu sana toa mada hapa jamvini lakin leo naona nimesukumwa sana tuzungumze zaid juu ya ugonjwa wa Kisukari ama Diabetes...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau naomba kujuzwa hasa na wataalamu wa afya za binadamu, kuna bia aina mbili ambazo vizibo vyake vimefungashwa na makaratasi kuzunguka mdomo wa chupa. Je, karatasi hizo hazina madhara kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mara baada ya kujamiana na mtu mwenye v.v.u je ni kipindi gani dalili huanza kujionyesha
0 Reactions
22 Replies
77K Views
Iwapo itatokea una kila dalili za homa ya dengue, dawa ya kukimbilia kwanza ni Panadol; inashauriwa usimeze KABISA Diclopar wala Diclofenac. Iwapo utameza dawa hizi, utakuwa kwenye uwezekano...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Niwasalim kwa heshima zote.. Nina karibu miaka mitano (5) nimekua na tatzo la koo kuwasha na kunifanya nikohoe kila wakat... Kikohoz hua kinazid nnapokua kwenye maeneo ya barid (kwa mfano sehem...
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Habari madaktari wa jf.. nina mdogo wangu (miaka 10) anapenda sana kutafuna mchele ambao haujapikwa,nikimkataza anarudia tabia yake tena kwa siri,naona kashakuwa addicted na hii kitu, je madhara...
0 Reactions
14 Replies
20K Views
Habari ndugu zangu watanzania! Kwa muda sasa nimechunguza na kugundua kwamba wengi wetu tunatumia vibaya dawa kwa ajili ya matumizi mbalimbali kwa afya zetu. Taarifa ni kwamba hii tabia ni hatari...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni kuusu hizi machine za ceragem zinazo tibu magonjwa mengi kwa mtu kuingia kwenye mashine na kukaa dakika chache eti zina madhara gani kwa binadamu, na pia azina mionzi yoyote kama madhara...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kunywa mvinyo haisaidii afya yako Je umekuwa ukibugia mvinyo ukikusudia kufaidi afya yako? Watafiti wanadai kuwa mvinyo mwekundu (Red wine) hauna manufaa kama ilivyodhaniwa kuwa nayo kwa moyo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Sabuni pia zinasemekana kuwa na kemikali zinazoathiri mbegu za wanaume Kemikali zinazopatikana katika baadhi ya bidhaa ambazo hutumiwa kila siku kama vile dawa ya kusugua meno, sabuni na mafuta ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna uwezekano matiti ya wanamke mwenye miaka 20 , yakaendelea kukua au ndo mwisho hapo? Jaman huyu mtu chuchu zake ndogo sana mpaka avae nguo nyepesi ndo utajua nae ana matiti. Nauliza hivi kwa...
0 Reactions
35 Replies
7K Views
Utangulizi Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inapenda kutoa taarifa kwa Umma juu ya mwenendo wa ugonjwa wa homa ya dengue yaani “dengue fever” hapa nchini.Ugonjwa huu umethibitishwa baada ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kemikali zinazopatikana katika baadhi ya bidhaa ambazo hutumiwa kila siku kama vile dawa ya kusugua meno, sabuni na mafuta ya kujikinga kutokana na miale hatari ya jua zinaweza kuharibu mbegu za...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…