Pamoja na kusoma ushauri wa tiba ya kupata haja kubwa kawaida lakini mimi bado nina tatizo hilo na linazidi. Nakunywa maji mengi ya uvuguvugu, matunda na mbogamboga, vyote hivyo havinisaidii...
Madaktari wakianza kumfanyia Operesheni ya tumbo kwa ajili ya kuondoa mfuko wa nyongo, mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya Kairuki jijini Dar es Salaam kwa kutumia vifaa vya kisasa...
Habari zenu ndugu wana JF wa jukwaa hili..
Nimejifungua watoto mapacha mnamo tarehe 15/4/2014 mpaka leo bado damu inatoka ingawaje ni vimatonematone.nauliza jamani kwani ni uzao wangu wa...
Habarini marafiki
Niko serious jamani anahitajika nurse ambaye atamhudumia mgonjwa nyumbani kwake, na
kumpangia dawa za kunywa, kumpikia chakula maalum chake anachokula, na kufanyia massage...
Dr. Nimekaa wiki mbili bila kupa choo, hii isha nitokea zaidi ya mara nne, nikipiga ulabu tumbo linafungunga. Je hii hali ni ya kawaida? Pombe ina nini kinachonifanya nipate choo?
Poleni na majukumu,
Nilifanyiwa operation mwaka 2004 na 2007 za uzazi, kunakipindi tumbo langu linakuwa na vichomi pamoja na kujaa ges, nilionana na Daktari na kumuelezea shida yangu aliniambia...
Hivi utajuaje una low sperm count? Nimetokea kufuatwa na mdogo wangu wa kiume na kunieleza swala moja, ya kuwa siku mojamoja akiamka asubuhi na anapokojoa anakojoa kitu cheupe kwanza, then mkojo...
Yeyote anaejua tiba ya kuuma nyonga/kiuno ( maumivu makali ya kiuno) ama amewahi kuugua na kutibiwa ugonjwa huu naomba msaada maana nasumbuliwa kwa takribani miaka miwili. Nimetibiwa kwenye...
Please help.
Nina appointment na mtoto wa Kinyarwanda weekend hii. Je wapi naweza pata dawa VIAGRA au yoyote inayofanana na viagra ili kusaidia wakati wa penzi.
Kwani huwa napata tabu sana...
Mmbu wanaosababisha Malaria
Aina mpya ya viini sugu vinavyosababisha Malaria na ambavyo havisikii dawa vimegunduliwa na wanasayansi.
Watafiti wamevigundua viini hivyo Magharibi mwa Cambodia na...
Habarini ndugu zangu,
Bila kupoteza muda ngoja niende kwa point;
Nilikua najiskia hali ya mvurugo wa tumbo na kichefuchefu mimi ni ME umri ni 28.
Nimeenda kwenye ka dispensary flani hapa...
Za kazi penyewe hapo!Jamani tangu nimeamka sijaoga na naendelea na kazi kama kawaida. Tatizo ni kwamba kila ukifika wakati wa kuoga nagombana sana na nafsi na mwili wangu. Hadi nafikia uamuzi wa...
Ndugu zangu nisaidieni, nina rafiki wangu ana hasira sana, japokuwa hapendi hiyo hali, ni mwepesi sana wa hasira na amekuwa akireact mno na kukasirishwa na mambo madogo madogo.
Kwa ujumla...
Habari wapendwa,
Naomba kujua tatizo la kuumwa kwa kichwa kwa siku nyingi husababishwa na nini?
Kichwa changu kinauma sasa kwa takribani wiki mbili sasa. Nimetumia pain killers for long time ila...
Wapendwa wadau heshima kwenu. Kuna wengine ndani ya jukwaa chili ndo mwanzo mwisho wa matatizo mbalimbali kiafya. Naombeni kujuzwa dawa ya kichomi upande wa kushoto jamani, inanisumbua kwa siku...