Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Low-grade liquid silicone injections as a penile enhancement procedure: Is bigger better? Introduction Penis size has been a source of anxiety for men throughout history, and still...
0 Reactions
20 Replies
12K Views
Na Gladness Mallya Msanii bonge wa filamu Bongo ambaye hivi karibuni alieleza kusumbuliwa na tumbo chini ya kitovu (chango), Efrancyia Mangii ameshauriwa kufanya jitihada za kuzaa ili kuepukana...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Za asubuhi jamani. Please nahitaji gyno. Kama kuna mtu anafahamu tafadhali naomba ni pm. Nimeshindwa kuweka tatizo hapa.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimekua na tatizo la kutokua na hamu ya kula chakula kwa miaka mingi. Mbali na ushauri wa kutumia dawa mbalimbali (za hospitali na za kienyeji) tatizo bado limeendelea! Kwa kuwa nina uwezo wa...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Wakuu nilileta post hapa jana ya mtoto mzazi alikosea akaoverdose amoxylin capsule. Ana miaka 8. Walimchemshia maziwa na alipokunywa ghafla shingo ikaanza kukakamaa na ikawa inafanya hivyo kila...
0 Reactions
47 Replies
7K Views
Yote ni Matokeo ya tabia yangu ya kupenda rambaramba..mwishowe nikaangukia balaa... koo langu likawa ambushed hata kuarestiwa na wale wadudu lakini nikaamua kumwambia Dk wangu MziziMkavu, nae...
4 Reactions
25 Replies
8K Views
Habari wana jamii,ninamtoto wa ndugu yangu yupo nyumbani ambaye mama yake alifariki wiki mbili baada ya kujfungua sasa amitmiza mwaka na nusu tatizo ni kwamba shingo haikazi mpaka sasa,hatembei...
0 Reactions
22 Replies
17K Views
Ni aina ya vitu vinavyomtokea anaeashiria kunenepa kama mamchirizi flani nayoyaulizia mimi ni meusi je yana dawa?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimejaribu kugoogle,kusoma articles tofauti nimeona kuna maelezo tofauti kuhusu window period kati ya wiki 8 hadi miezi 3 na kati ya wiki 8 hadi miezi 6. Wataalam ipi ndo sahihi nataka kufunga...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Niliamka na kujisikia mwili wote kama umekakamaa na maumivu ya kichwa kwa mbaali. Nikajishauri niende hospitali haraka. Daktari akataka nipimwe damu na mkojo. Damu ilipatikana isipokuwa mkojo...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari! Naamini wote mu wazima wa afya mimi kuna kitu kinanitatiza sana ya Uume wangu unatabia ya kusimasima ovyo hata sometime njiani jogoo linaweza wika kwa kwel ni muda kidogo sijala ile kitu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WAHENGA wetu walitufundisha msemo unaosema; "Kila kizuri hakikosi kasoro". Ndiyo kusema kila jambo lina pande mbili, faida na hasara. Kwa watu wenye akili timamu wanachokifanya ni kujua hasara...
0 Reactions
2 Replies
37K Views
Wadau,mtoto wangu ana miezi 6 kasoro hvi,week iliyopta tulienda kumpima kliniki,ana kilo 9.5....nesi akasema uzito huo ni mkubwa sana ulilinganisha na umri wake. naomba mniambie inasababishwa...
0 Reactions
2 Replies
18K Views
Habari wana JF Sijui kama hili litakuwa jukwaa husika naomba mniwie radhi kama itakuwa vinginevyo. Wanajamii ningeomba msaada kwa wale wenye uzoefu au ambao wanauelewa juu ya watoto, mwanangu wa...
0 Reactions
31 Replies
15K Views
Habari zenu wanajf wote!Maumivu chini ya kitovu/tumbo la chini ni tatzo linalowasumbua wanawake wengisana,chanzo cha maumivu hayo ni pamoja na maambuki ya magonjwambalimbili kama vile UTI...
0 Reactions
0 Replies
8K Views
Ndugu zanguni naombeni msaada,mke Wang kanizalia mtoto wa kiume sasa and siku 28; mtoto anasumbuliwa na tumbo mpaka anashindwa kunyonya. Analia mpaka namuonea huruma , nimempeleka kcmc wakampa...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Za week end ndugu zangu, Nitatizo lililomtokea rafiki yangu wa kike jana mbaka hivi sasa kwa kupata na maumivu makari chini ya kitovu baada ya week kama moja tangu kujifungua.Msaada anijuze kwa...
0 Reactions
5 Replies
18K Views
Wakuu toeni msaada wa haraka. Mtoto wa miaka 8 aliandikiwa amoxyline (spelling) capsule moja kila masaa 8. mzazi wake amempa saa 8 leo na ilikuwa apewe tena saa nne usiku. Kwa bahati mbaya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wandugu eti mwanamke wangu anaugonjwa wa kuwa ba harufu kali huku chini,nimevumulia sana kuwa naye,first time nilijua hakujisafi lakini kumbe ni kawaida kwake,je kuna dawa yoyote ambayo naweza...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…