Ikiwa mlengwa ni mnywaji wa vinywaji vikali, km konyagi,na bia ni ipi njia ya kuondoa sumu mwilini itokanayo na vinywaji hivyo km mlengwa ameacha matumizi ya vinywaji hivyo kabisa?
Hi jf members, mke wangu ana mimba ya miezi minne (4), mwa lakn tumbo linamsumbua sana chini ya kitovu muda mwingine pembeni mwa tumbo, je ni hali ya kawaida kwa akina mama?
Je ni dawa gani...
Tatizo Langu Ni Kuwa Na Uvimbe Mdogo Kwenye Koo Ambao Nime Dumu Nao Kwa Muda Mrefu Na Isitoshe Hauja Wahi Kuniletea Matatizo Yoyote Mpaka Sasa Kama Kuuma Nk Naomba Msaada Wa Kujua Kiundani Tatizo...
Wana JF, nina tatizo la kutopata mtoto nimechekiwa kizazi hakina tatizo halafu hedhi yangu inabadilika sana namaanisha tarehe.Tunahisi labda fallopian tubes zimeziba na ninavyosikia kusafishwa...
Where did HIV come from?
Scientists identified a type of chimpanzee in West Africa as the source of HIV infection in humans.
They believe that the chimpanzee version of the immunodeficiency...
Wana jf niokoeni mwenzenu tumbo linajaa sana gesi hadi muhimbili nimefika lakini wapi!imefikia hatua kila chakula nikila tatizo linaanza,tumbo linajaa halafu linaunguruma na kuninyonga.
Niokoeni...
Naomba ushauri kwenu wataalamu wa masuala ya tiba. Nina ndugu yangu mwanamke ambaye amekuwa na matatizo ya kuumwa na miguu (feet) kwa muda mrefu sasa. Tatizo hili lilianza mara baada ya...
Naomba kujuzwa na wanajf sababu za baadhi ya wanawake wanapopatwa na siku zao huugua sana tumbo mpaka kuishiwa nguvu na hata wengine kupelekea kuzimia.
Tatizo nina uvimbe mdogo kwenye kon ambao nime dumu nao takriban miaka minne sasa Lakini haupungui wala hauzidi isitoshe bado hauja wahi kuniletea matatizo yoyote kama vile kuuma Nk. Kwa hiyo...
FAIDA YA KUNYWA MAJI YA HINNA MBICHI TIBA KWA MARADHI MENGI TU
JAMANI TUMIENI FAIDA HIYO MUSIENDE KUTUMIA VIDONGE VYA
KIZUNGU TUMIE DAWA ZA KISUNNA ZINA FAIDA NYINGI TU JAMANI.
ukinywa maji ya...
Habari zenu wapenwa mi nna ujauzito wa miezi minne tatizo nilonalo ni kwamba naenda haja ndogo mara kwa mara hasa usiku na nikiuhisi tu mkojo nakua navimba chini ya kitovu na kuuma kidogo ila...
habarini za leo wakuu,
Kuna mtoto wa dada yangu ameumia akiwa anacheza na wenzake, hajaumia ndani ya jicho lakini damu zimevilia kwa ndani, anaona vizuri lakina tatizo ni macho yote mekundu...