Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Jamani wana jamvi naomba msaada wa dawa ya kuondoa rangi nyekundu ya macho maana kuna mkoa mmoja amabao ukitembelea na macho mekundu unauwawa kama mchawi sasa naomba kama kuna mtaalam anayejua...
1 Reactions
1 Replies
9K Views
Jaman wanajamvi yan mi nikilala nakua kama nimekufa vile sasa huwa jambo hili linaniharibia mipango yng coz mi ni mwanafunzi nikisema cku nilale hlfu nishtuke ucku nijisomee hata nikitegesha alarm...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jaman naombeni kufahamu tatizo la kuumwa na mbavu mana huu mwaka wa 15 mbavu zaniuma. Hosptal walinipga Xry hakuna tatizo wakawa wananipa pain killer tu miaka inaenda naumwa bado hiki ni nn cjui
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Madaktari naomba niwaulize,mimba inaweza kugunduliwa imetungwa baada ya siku ngapi? Nimeuliza maana kuna binti nilikutana nae alhamisi,jana akaniambia ana mimba,tena anadai yangu,hili sio...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna mtaalamu wa kufunga mikono na miguu iliyovunjika kienyeji, mkono/mguu haupindi na unapona haraka na ukikosewa kufungwa hosptali ukienda kwake anakuvuja na kukufunga upya....
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wana wa MMU "Ndoa inakaribia kunishinda kwani sioni maana ya kuowa nikiowa nijistiri kwa kila kitu ila wapi naona ndoa imeanza kulegalega na usaliti unaingia ndani" Tatizo ni mke...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, samahani naomba kujuzwa juu ya hili. Dalili za mtu aliyeambukizwa virusi vya ukimwi vinaanza kujitokeza baada ya mda gani baada ya maambukizi?? Na je inawezekana ukatembea na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Heshima mbele wakuu.. Nina mwezi wa tatu sasa nikiamka tu alfajiri wakati naenda haja ndogo lazima nigonge mag moja ya maji then narudi kulala. _hii nafanya kabla hata sijaswaki na baada ya hapo...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Cha 1 kikaonyesha mstari mmoja na kama kwambali mstari wa pili akachukua cha pili ukaonyesha mstari 1 tu akasema ni salama.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ninaomba msaada na ushauri wa kushusha Bp ambayo imepanda na kufika 160 kwa 100 na nitumie tiba gani ili niweze kupona kabisa.
1 Reactions
8 Replies
17K Views
Kwa walio na matatzo ya kukojoa mara kwa mara(urine encontinence),nina dawa ya asili inayotibu tatzo hilo kwa mda wa wiki tatu(3)tu,ni dawa nzuri sana ya mitishamba,kama unasumbuka na kuhangaika...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Habari zenu waungwana. Naomba tumsaidie huyu binti alieniuliza swali hili, anasema mp yake kila mwezi inabadilika, yaani kama mwezi huu imekuja tarehe 20 mwezi unaofata inaweza kutokea tarehe 10...
0 Reactions
5 Replies
875 Views
Habari zenu wakuu! Mimi ni kijana wa miaka 24 kuna mabadiliko yalitokea katika maisha yangu japo sio makubwa saana ila yamenifanya nijiulize maswali mengi ya kibiolojia sasa naomba madaktari na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanaJf katika jukwaa hili, nahitaji msaada wenu tafadhali; nasikia maumivu sehemu palipo na nywele za siri. maumivu hayo nayaskia zaidi nikiwa nimekaa nimetulia au nikiwa nimelala. Hili...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nisiku ya 8 leo nasumbuliwa na tatizo la tumbo pamoja na kupata haja kubwa kidogo iliyo changanyikana na damu damu au kama asali fulani ivi pamoja na maumivu wakati wa kujisaidia.....nilikwenda...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa walio na ugonjwa wa homa ya manjano,ninadawa inayotibu ugonjwa huo kwa siku saba(7)tu,nidawa ya asili(mitishamba) nzuri sana inayosaidia watu wengisana,Ukianzaa kutumia dawa hii ndani ya siku...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kila siku naamka asubuhi uume wangu umesimama(imedinda) na kukuta uute umetoka umelowanisha nguo kiasi je hili nitatizo? niwekeni sawa najua humu madoctor wengi
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wapendwa, nina tatizo ambalo mwanzoni lilikuwa dogo lakini sasa naweza kusema limekuwa sugu. Niliwahi kufanya sexual intercourse ambayo result yake ni kuumia na kujeruhiwa kwa kojoleo. Yaan...
1 Reactions
29 Replies
10K Views
Happy easter jaman.....! Kulingana na maneno ya watu wanasema pilipili inapunguza nguvu za kiume, imani yangu inanifanya niamini maana ukila pilipili halafu kama ni mwana riadha ni lazima...
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…