Habari,
Ndugu zangu nina mtoto wa kiume wa miezi 3 ananyonya sana mpaka mama yake anachoka na hashibi, ukimtoa analia.
Na clinic wameshaur mtoto anyonye tu maziwa ya mama hadi afikishe miezi 6...
Sasa kama kawaida yangu mimi huwa sina tabia ya kutisha watu au kuwakataza bali najaribu kueleza ukweli kisha wewe kama mtu mzima utaamua nini cha kufanya kwani naamini kabisa kuwa sote ni watu...
Chati ya kinyesi ya Bristol ilitengenezwa mnamo 1997 kama zana ya tathmini ya kliniki. Kuna aina saba za kinyesi kulingana na Chati ya hiyo.
Chati ya kinyesi ya Bristol ni msaada wa matibabu...
Utafiti mpya uliofanyika nchini Marekani umegundua kuwa kuvuta au kula bidhaa zozote zenye bangi husababisha athari kubwa kwenye moyo wa Binadamu kama vile kupata mshtuko wa moyo pamoja na...
Kuna aina tano za makundi ya chakula, aina hizi 5 za makundi ya chakula humwongoza mtu kupata afya njema ya mwili na kiakili pia. Vyakula vimewekwa kwenye makundi ma 5 kwa sababu kila kundi huwa...
Habari wanajamiicheck imekuwa ikisikika kwamba matango ni kichocheo cha uimara wa afya kwa wanawake. Tumekuwa tukishuhudia masokoni wadada walio wengi wakishupalia bidhaa hii na kuifanya hata iwe...
Wajuzi wa mambo naomba mnisaidie kabla sijaenda kwa wataalam, sijui ni matatizo ya nguvu za kiume au nini, jana nilimwita bibie geto basi akaniambia saa 12 jion hivi anakuja, sasa ilikuwa mida ya...
Acha Hofu na Wenge kapime ujue afya yako...
Kwa kipindi Cha miaka miwili nimekuwa nikiishi kwa Hofu na kujichukulia kama mwathirika HIV aka ukimwi aka Ngoma aka umeme utaongeza aka nyingine
Basi...
Habari wanaJf wote,
Story hii inahusu safari yangu kutokea Zanzibar kurudi Moshi, Kilimanjaro.
Ee bana dah nakumbuka ilikuwa ni sa 12 asubuhi makunduchi kwa mwenyeji wangu nikapewa chai ya...
Habari wataalamu wa tiba katika forums hii.
Nimekwenda kituo cha afya ikigunduliwa ni pressure iliyojuu sana ambapo iko kwa kiwango cha 180/117 kutokana na kiwango hicho nimeshauriwa nianze...
Habari JF Member ! Nina sumbuliwa na muwasho mkali kwenye sehem za siri {pumbu}. Je, naweza nikatumia Mycota Powder kunyunyizia nyeti kwaajili ya kupambana na fangas ?
Salam wadau wa afya,
Nimepata tatizo kwa muda wa week tatu sasa, nikikaa muda mrefu mfano choo cha kukalia nikikaa kwa muda napata kusikia ganzi miguuni.
Inaeza kuwa inasababishwa na nn?
Habari wakuu...
Kuna mpwa wangu anamiaka miwili. Tangu ajifunze kutembea naona mguu mmoja anaunyanyua kwa tabu tofauti na mguu wa kushoto.
Tulienda naye ccbrt ili kumcheck, majibu yakaja ni kwa...
Salaamu wakuu.
Naomba ushauri wa kiafya JF doctor.
Ni muda wa siku tatu sasa najisikia hali ya mgongo kuchoka, kichwa kuuma, mkojo unauuma napokojoa, halafu usaha mweupe kutoka Kwenye Penis.
Nipo...