Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Jamani wadau nina ndugu yangu anauoga ulipitiliza, ni kijana ambae naona akiendelea hivi kwa miaka hii anaweza akaliwa 0713 kabisa kwan hajiamini kabisa anaweza hata akakusalia hata mara tano kwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habarin wan JF, Mke wangu akifanya kazi yoyote ya kuinama anableed sana, amekuwa akichoma sindano za kukausha lakini ni mwaka sasa hakuna matumaini. tafadhali mwenye kujua/Kuexperience tatizo...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Heshima zenu wakuu lengo langu langu la kuanzisha huu uzi ni kuku sanya tiba mbadala za magonjwa mbalimbali .Kama unafahamu gongwa lolote na tiba yake ya asili karibu utueleze ili baadae kila...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habarini za usiku wapendwa. Nimekuwa muhanga wa hili tatizo sana hasa nikiwa natembea umbali mrefu kwa haraka najikuta nasweat sana. Unaweza ukawa ni ugonjwa gani? Dawa ya kutibu ni nini?
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Habari zenu wana JF. Mimi ni msichana nashindwa kuelewa haswa mzunguko wa siku zangu mana hua unabadilika sn na nahitaji mtoto kwa sasa nashindwa kujua tarehe za hatari za kushika mimba,mwezi wa...
0 Reactions
3 Replies
927 Views
Naombeni mnishauri, mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 29; napenda sana kufanya mapenzi bila kupumzika karibu kila siku napata hamu. Je ina madhara kiafya.
0 Reactions
24 Replies
11K Views
Ndugu zangu kadri miaka inavyo zidi kusogea nahisi kupungukiwa na nguvu za kiume. Nifanyenini ili niwezekuwa imara kama mwanzoni?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Photo Credit cheeseburger and fries image by sumos from Fotolia.com Cancer is a disease that can be caused by hereditary and environmental factors. While some people develop cancer regardless of...
0 Reactions
30 Replies
12K Views
Utafiti unaonesha kuwa kuchutama ni njia sahihi ya kwenda haja kutokana na faida zifuatazo: Inafanya uchafu kutoka kirahisi na kwa ukamilifu. Hii huzuia kinyesi kubaki ndani kitu ambacho hutajwa...
6 Reactions
11 Replies
44K Views
Habari zenu jamani. Nahitaji kujua daktari mzur wa ngozi naweza mpata wapi kwa dsm. Maana nimechoka na mba! Akhsanteni
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari wadau, Ni utafiti usio rasmi na pengine usiokuwa wa kisayansi nilioufanya binafsi, Ni hivi, Asilimia kubwa ya Wanaume ambao ni Walevi kupindukia, Si wote. Wanazaa zaidi watoto wenye...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Hodii wanajamvi , Mi ni kiijana mwenye umri wa miaka 26 nimekuwa mfatiliaji mkubwa wa jamii forum katika majukwaa yote hasa hasa hili la JF doctor nimekuwa nikijifunza mambo mengi sana hadi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Honey is one of the oldest natural sweeteners people have been consuming, which has a lot of great health benefits that you might not be aware of. Honey has actually a lot to offer, from skin...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natanguliza shukrani kwenu..ninamtoto wangu wadau,alipofikisha mwaka mmoja na miezi miwili aliugua ghafla nakulazwa rufaa mbeya,alipokuwa hapo alipumulia mashine kwa siku 26. Na mwezi wa nne...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Heshima kwenu wakuu wote humu jamvini. tatizo langu ni kwamba,nina mdogo wangu yuko kidato cha tatu.na maendeleo yake sio mazuri kiukwel ukilinganisha na alipokuw kidato cha kwanza.siku hizi...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Ni live kabisa bila chenga siku hizi ukiweka tangazo tu la dawa ambazo hazipo za nguvu za kiume basi wanaume wengi wababa kwa vijana watakusaka kila anga, hii ina prove kwamba vijana na wababa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ni matumaini yangu kuwa ni wazima wa Afya.Nakuja kwa mara nyingine kuomba ushauri nikiamini hapa ndio sehemu pekee ambapo huwa napata majibu ya matatizo yangu.Leo ningependa kujua wakati wa...
0 Reactions
49 Replies
7K Views
Jamani anayejua dawa ya kulainisha miguu anisaidie.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna stage tatu ambazo mwanamke ambaye anajitayarisha kujifungua anapitia wakati wa labor. Hizi ni: Stage ya kwanza ya Labor (Dalili za kuingia labor na mwanzo wa maumivu na kupanuka kwa njia...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…