Kama umeshika vicks ,essential balm au dawa ya kuchua misuli vidoleni mwako epuka kabisa kushika macho au sehemu za siri kama hujanawa mikono yako kwa sabuni
na kama kwa bahati mbaya imekutokea...
A few times a year it is always a smart idea to cleanse the body. Many people swear by laxatives and colonics; others prefer teas and fasting. But one method that anyone can wrap their head around...
New Study Find Monsanto's Round Up Weedkiller To Be A Brain-Damaging Neurotoxin
A new study reveals a hitherto unknown mechanism behind how the world's most popular GMO herbicide harms the...
Mi nnatatizo la nguvu za kiume tatzo hili nimedumu nalo kwa muda murefu sasa.
Yaani kwa kifupi huwa napata shida sana pale napokuwa nataka kusex, kila ninapokuwa na mwanamke mashine yangu...
Habari wana JF! Poleni na majukumu ya kila siku,
Naombeni msaada tafdhali, ni wiki na nusu sasa sijapata choo, tumbo haliumi ila nina wasiwasi maana hali imetokea gafla sijawahi kuptiliza hata...
Habari wanajamii. Wapendwa, naombeni kwa yeyote yule mwenye ufahamu na uhakika juu ya tiba zifuatazo atujuze na kutupa ukweli wa mambo, ni kuhusu kutibu/kuponya kabisa tatizo la upungufu wa nguvu...
Ni kama mwaka sasa nimekeua sipati usingizi kabisa kwa muda mwafaka ninao takiwa kupumzika iwe usiku au mchana matokeo yake usingizi kwangu imekua kama ni jambo la bahati mbaya sababu naweza panda...
WanaJF naomba yeyote anaefahamu tiba mbadala ya ugonjwa wa kutokwa na vipele vidogo vyeusi mgongoni anisaidie vinanikera sana sababu mgongo wangu uko kama mpira uliochorwa dot nyeusi haviwashi...
Habari zenu waungwana..naombeni ushauri wa kiafya!nilikutana na mpenz wangu mpya kimwili nikiwa nimemaliza tu period..na baada ya hapo analalamika anawashwa pia anahisi maumivu makari.kwaiyo...
Naomba kuuliza kwa wataalam wa saikolojia; hofu na moyo kwenda kwa kasi kabla ya kukutana kimwili ambayo hupelekea hata penis kutosimama imara yaan kawaida yake.
Jaman wadau polen na majukumu ya siku ya leo wengine wanahitaji kupumzika walau akili itulie,
Kwa muda kama huu wapendwa wakati mmepumzika naomba mnitatulie tatizo hili.
Takriban wiki moja sasa...
Kama unatatizo kama la watu hao hapo kwenye picha la kulala kweny vikao, kanisani, mikutano, msikitini na hata darasani na pia kweny bus
wasiliana nami nikupatia virutubisho bomba vya afya...
TIBA YA Mba kichwani, lakini nimeona ni vema nikaongelea pia na ngozi nyingine mwilini.
Yeyote mwenye kusumbuliwa na mba, ukiweza kupata ALOE VERA PLANT (pichani), ondoa miba, menya ganda kisha...
Habari wana JF
Naombeni ushauri uso wangu umekua na mafuta sana hasa wakati wa jua kali, kuna njia,dawa au mafuta gani ya kutumia?
Natanguliza shukrani!
Ndugu wote natumaini hamjambo.
Naombe tuchangie hili kuna tatizo nimeliona kwangu baada ya kutumia cell phone kwa mda, Paja lina tetemeka (vibrate) kama kwamba kuna simu mfukoni.
Je, wenzangu...