Mimi nina ujauzito wa week 38 nasumbuliwa sana na maumivu ya chini ya kitovu kama period vile, kiuno na mgongo pia na kutokwa na ute mweupe mara kwa mara! Pia naomba kujua ni mazoezi ya aina gani...
Wana JF naomba kujuzwa juu ya ukweli wa mashine za kupimia magonjwa mbali katika clinic za tiba za jadi,maana nimekua nikijiuliza juu ya ufanisi wake na kama kweli zina faa kwanini serikali...
Jaman habarini...naombeni msaada juu ya gharama za matibabu pale hindu mandal hospital including gharama ya kufungua file na vipimo maana kuna mgonjwa wangu nampeleka pale kesho ili...
Habari yenu wana jf doctor, mimi nahitaji dawa ya kunitibu tatizo la kutosikia vizuri,
Tatizo langu sio kubwa sana, kwani naweza kukaa na watu kwa muda mrefu na wasijue kama nina tatizo hilo...
Za jumapili waungwana?
Toka usiku leo nateswa na jino balaa,sijalala.asubuhi na maprma nimezunguka hospitals Agakhan, TMJ, Mhimbili, Regency ,Hindu mandal na Palestina.kote nimeambiwa dentist...
7 March 2014 Last updated at 03:26 GMT Share this page
Warning over hospital superbug linked to 16 deaths
By Michele Paduano BBC Midlands health correspondent Nationwide research is being...
Wakuu samahani ninaitaji kitabu tajwa hapo juu kwa atakayekipata cash ipo nalipa, hasa manurse na gynecologist nadhani mtakuwa msaada zaidi namba 0686692555 au 0757620622
Ni mategemeo yangu muwazima wa afya!..naombeni mnisaidie maana kama limeshakuwa tatizo,hli tatizo la kupata maumivu makali hasa chini ya tumbo na ubavuni upande wa kushoto mara tu baada ya...
Habarizenu wadau wote wa JF.
Najua muu wazima wa afya njema na kwa ambao afyazenu haziko sawa nawapeni pole!Kuna magonjwa mengi yamekuwa yakisumbuasana kwa sasa katika duniahii tuliyonayo,Matatzo...
Tatizo hili kwa kifupi linaitwa ISD.
Ni tatizo linalowapata wanawake na wanaume. Tatizo huanza taratibu kwa mtu kutojihisi kama anapatwa na hali hii. Tatizo linapozidi kukua mwanamke huathirika...
Maji hukinga na kuponya Saratani ya matiti/Kansa
Hakuna kitu kingine kizuri kama mwili wa mwanamke kwakuwa unaweza kuleta kiumbe binadamu kingine.
Mwili wa mwanamke unazo ovari ambazo...
Niliwahi kusoma mada mojawapo kuhusu dawa zinaweza kutibu warts za mwilini.
Kuna wachangiaji wakaorodhesha sawa mbali mbali kama vile,
Podosal point
Silver nitrate
Wart removing paint na...
Habar zen wapendwa, naomba kujuzwa ni muda gan hasa mtoto hugeuka akiwa tumbon,i min miez, na ni dalili zip mama atakazoziona akiwa anageuka? Nijuzen jaman
Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la UTI kurudi mara kwa mara pamoja na kutumia dawa bila mafanikio.
Ni muda mrefu sasa.
Nimefanya vipimo vyote bila mafanikio. Imefikia kipindi hata nguvu za...
Ninaimani mu wazima kwa ulinzi wa mungu, Jaman nina uvimbe umenitokea mkononi,uvimbe ambao hauumi kabisa na ni mgumu na sio kubwa sana ukiangalia utasema tezi, ila kuna baadh ya cku inachoma kama...
Kuna
rafki yangu ana mimba ya miez 3 amenambia km anapofanya tendo la ndoa
na mme wake anaskia raha, lakin akimaliza tu hua anaskia maumiv makali
ya tumbo kama dk5 tu, halaf yanaisha . Je...
Natanguliza salaam! Ninapenda kuuliza, inagharimu kiasi gani cha pesa kutengeneza test tube baby,kwa wazazi ambao hawawezi kupata mtoto kwa njia ya kawaida!
Jioni kareem!
Natanguliza salaam! Ninapenda kuuliza, inagharimu kiasi gani cha pesa kutengeneza test tube baby,kwa wazazi ambao hawawezi kupata mtoto kwa njia ya kawaida!
Jioni kareem!
Mambo vipi wana jf mpenzi wangu katokewa na vipele maeneo ya shingoni na mkono wa kushoto vipele vidogovidogo sana na anadai vinawasha sana naombi msaada dawa gani atumie?
Nimejaribu kuattach...