Siku hizi umezuka mtindo wa wengi wa vijana kugeuza simu wakati wa kupiga au kupokea. Imekuwa kama fasheni. Kwamba akipokea kwa njia ya kawaida eti hasikii vyema. Tunaelewa kuwa yapo madhara...
NESI ALIENIANGALIA ANASEMA SIJASHONWA VIZURI KWA NDANI NA NJE
Nimejifungua kwa njia ya kawaida na niliongezewa njia mtoto wa kwanza.
je ni tatizo kubwa sana la kupelekwa thieter na kupigwa nusu...
Cucumbers are number four most cultivated vegetable in the world and known to be one of the best foods for your overall health, often referred to as a super food. Pick a handful of firm, dark...
Habari zenu wakuu,na poleni na majukumu ya wiki nzima.
Naombeni msaada,jamaa yangu anawashwa sana anapooga au hata kufulia maji ya mvua.
mwili unatoa vijiupele utadhani kawashwa na kiwavi,hii...
Habarini wana Jamvi.
Ninaomba msaada juu ya hili.
Nina mpenzi wangu uke wake huwa mkavu sanaa hata umfanye nini hatokwi na ule ute ute.
Na mkitaka kufanya mapenzi uume hauingii mpaka utumie...
Wadau,
Mimi na mwenza wangu tunatarajia kupata mtoto wetu wa kwanza mwishoni wa April, au mwanzoni nwa May Mungu akijalia.
Kwa sasa mama anafanyia clinics pale Marie Stopes, Mwenge. Hatuna...
Nimekua nikisumbuliwa na masikio huu mwiaka 8 sasa kila nikienda hospitali naambiwa nina uvimbe sitokwi na usaha ila kila nikisafisha masikio yanauna sana na hata nikiweka dawa hata nikae masaa...
Jana nikiwa njiani kutoka kazini. Nilipanda bus pale magomeni.
Tulipofika kinondoni mkwajuni aliingia mdada mtanashati kwenye bus na kuketi nami.
Kwa kuwa nilikuwa nikila korosho sikuwa na...
Wana jamvi wasalaam
.
Nina mdogo wangu umri miaka 12
.
tatizo lake ni kung'ata ng'ata meno yaani na sauti yanoyotoa ni hatari sio ya kawida anakuwa kama ana ya sigina hv
.
na hali hii...
Tumbo likiuma sana kupita maelezo wakati unanjaa...lakini pale tu unapokula, haliumi tena. Hii hali inasabaishwa na nini?
Naombeni msaada wenu sababu inanitesa sana.
Wadau hivi mtu anapaswa kupata choo Mara ngapi kwa siku? Maana mid kwa siku najisaidia Mara 2 mpaka 3 nashangaa watu wengine wanasema eti naptia siku mbili hawajapata choo. Je naweza kuwa na matatizo
Wana jamii,
Mimi ni kijana wa miaka 24, nina tatizo la kujamba mara kwa mara na harufu yake ni balaa na huwa haitoki sauti, yaani najamba kimyakimya, hebu nisaidieni jamani tafadhali
Vyakula 7 vyenye Faida kwa Ubongo na Akili yako!
Zabibu:
Husaidia kulinda ubongo dhidi ya kupungua uwezo wa kumbukumbu.
Samaki
Husaidia kuongeza uwezo wa Ubongo katika mawasiliano...