Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Natafuna sana ulimi jamani je nimekosa madini flani mwilini ama ni nini? ......nifanyeje ili niache?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Warts Removing Solvent Au Warts Removing Paint.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
natokwa na majimaji ya mataminio mara kwa mara hata bila kufikiria kwa muda mrefu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Namna ya kupata mtoto wa kiume au wa kike tukiweka mambo ya imani za kidini pembeni
0 Reactions
0 Replies
781 Views
According to studies that were published in an issue of Life Sciences, artemesinin – a derivative of the wormwood plant used in Chinese Medicine - can kill 98% of breast cancer cells in less...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana jamii forum. Mim Nina ujauzito wa miezi 6 na juz nilipiga utra sound nikaambiwa kondo limetangulia Mbele. Sasa nauliza je kuna madhara gan kondo kutangulia Mbele?au natakiwa nifanye...
0 Reactions
20 Replies
17K Views
Habari wana Jf . Nina mimba ya miezi minne naona siku zangu kama kawaida. Kwa sababu siku zangu nilikuwa naziona ilinichukua miezi mitatu kujua ninayo kwa sababu tumbo lilikuwa linazidi kuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ninalo swali...Je kwa mfano nimefanyiwa transplant ya moyo kutoka kwa mtu alaiyekua jambazi...Je kuna uwezekano wa mimi kuwa jambazi? Kuna stori nimeisoma hapo chini ime probe kuuliza swali...
0 Reactions
0 Replies
968 Views
Imepita kama wiki moja jicho langu linaona ukungu tu...sioni vizuri... naombeni msaada kwa mtu anayejua tiba au dawa yoyote ile...au ushauri
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hi Guys. Advice please. I started my period tarehe 6 Jan-10jan. Mzunguko wangu ni 28 days, then tarehe17 nikafanya unprotected sex [(with a pull out method,;((big thigh)] then tarehe 25jan. i...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Wadau habari, Kama hapo juu panavyojieleza napenda kujuzwa hospitali nzuri mwanza ambapo naweza kumpatia huduma kijana wangu! Kama ipo sehemu wanayotoa huduma hiyo kwa njia ya kuvisha kimpira...
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Nina Kama mwaka mmoja sasa hivi naumwa sana miguu(makanyagio). Iko hivi, kila ninapoamka asubuhi nikikanyaga chini makanyagio yanauma sana na ili nitembee lazima nishike ukuta. Pia nikikaa muda...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wana Jf. Mke wangu ni mjamzito kwa sasa. Ajabu ni kuwa ana tatizo la kutokwa damu sehemu zake za uzazi, tatizo ni nini? Anatakiwa kufanya nini? Tafadhali naombeni ushauri wadau. Asanteni.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
nina tatizo la kupiga sana miayo hasa mida ya asubuhi na jioni hadi machozi yananitoka.........is that a problem?how can i help myslef
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Dating a doctor definitely has some major benefits. Let’s look at a few of the reasons to date a doctor! 1. They’re smart- They went through A LOT of schooling to get where they’re at. They had...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
ni vyema tukaelewa namna gani hisia zetu zinaweza kuwa na matokeo chanya au hai katika sehemu za miilii yetu ili kujitahidi kuwa na hisia sahihi kila wakti. tafadhali pitia kwa makini ambatanisho...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Mdogo wangu ni mjamzito anakaribia 7month now,juzi kaenda clinic akacheki ultra sound na dr akamuambia mtoto hajageuka amelala kiupande. Dokta akamuambia arudi after 6 weeks amcheki tena kama...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Tatizo langu me ninapolala tu usiku huwa nikaamka asubuhi huwa najikuta nimetokwa na nyege sasa ila tendo me silipendi sasa nilikua naomba ushauri nifanye nini ili kisinitokee tena hicho kitu
0 Reactions
81 Replies
28K Views
Jamani ndugu zangu wanajamvi nilikuwa naombeni msaada wenu. mimi bwana nikivaa viatu hata kwa nusu saa nikivua huwa kunakuwa na harufu kali sana, sasa nashindwa kuelewa tatizo nini na ni vipi...
0 Reactions
0 Replies
963 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…