hallow wana jf doctor! nimekua nikitamani kupata mtoto lakini sioni mafanikio na jaribu kuvizia zile siku lakini wapi mda mrefu kila akimalza cku zake na hesabu zile siku14 lakini wapi . je kuna...
Mdogo wangu ni mjamzito anakaribia 7month nw..juzi kaenda clinic akacheki ultrasound dr akamuambia mtoto hajageuka amelala kiupande ...akamuambbia arudi after 6 wks amcheki tena kama atakuwa...
Ndugu daktari na Wadau wengine wenye ufahamu wa jambo hili, ama mambo mengine ya afya ya uzazi naomba kufahamu, Ugumba kwa wanaume hasa ni kitu gani kwa kuzingatia yafuatayo:
utajuaje kuwa ni...
Nasumbuliwa na sikio ambalo linanifanya nijisikie vibaya pia linapelekea kuuma kwa kichwa kutokana na kuvutika kwa misuli ya sikio hlo. Isitoshe limeziba kabisa (halisikii chochote).
Je nitumie...
Kuna mtanzania analalamika sana,anadai anakiupele (kama jipu) kwenye uume wake,eneo la katikati kati ya Korodani na kichwa,in between.
utakua ni ugonjwa gani kwa wataalamu wa afya.
Habari wana jf nawaombeni ushauri ndugu yangu amepata ajali ya pikipiki na bahati mbaya kwenye goti amepasuka vipande viwili vya ndani (knel cap) kwa mujibu wa x-ray, yaani kwenye ajali alipiga...
Jambo wana Jf
Kuna matatizo ya tumbo na hali ya sintofaham yanisumbua. Kuna mtu amenishauri niende Samaritan Neutracetical ambao wana kipimo unakishika tu na kinafanya body checkup ya mwili...
Jamani kama kuna mtu mzoefu wa watoto naomba anipe ushauri japo nipunguze mawazo. Ma son ana miaka kama 1.5 michezo anacheza na mchangamfu kweli ila kwenye kula ni shuguli nyingine hali hata...
Ndugu zangu hebu nisaidieni nina changamoto za ki afya sa kuna mdau kanishauri nikapime Samaritan Neutracetical ambapo kuna kipimo unashikika kinafanya body chekup.Kuna mtu humu ameshawah fanya...
Wasalaam wakuu...naomba kuuliza kuwa kati ya hospitali ya temeke, amana na mwananyamala ipi ina nafuu kwenye utoaji huduma ya afya kwa upande wa vipimo na huduma nyingine kwa wagonjwa.....kwani...
MATUMIZI KATIKA NCHIMBALIMBALI:
kitunguu ni kiambatanisho muhimu kidishi kimaendeleo katika sehemu nyingi ulimwenguni.
Zamani Egpta iliheshimiwa kuwa ya hadhi ya kimungu.
MAANDALIZI YA KITUNGUU...
Kuna connction gani kati ya uzito na ulaji wa mayai?maana nimekuwa na uzito wa ajabu na nilipouliza nini sababu nikaulizwa kama nakula sana mayai,na nikaambiwa kuwa ndio sababu ya kuongezeka kwa...
Jamani naomba msaada wa hospitali au dakatari bingwa wa urology,prostate inanisumbua sana,maana miaka mitano iliyopita nilifanyiwa TURP lakini sasa nakojoa frequently,retention ya mkojo ni kubwa