Uvula ni sehemu ndogo inayoning'inia nyuma la Koo ambayo inajulikana kwa jina maarufu zaidi kama Kidaka tonge au Kilimi. Kiungo hiki hakipatikani kwa Wanyama wengine zaidi ya Binadamu (Mammals)...
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA KUHUSU TATIZO HILI
Kwenu madoctor wa JF
Nomba minisaidie, nina tatizo moja, nina kula sana udongo (huku kwetu kanda ya ziwa zinaitwa pemba) nahitaji kujua zaidi ya...
Jamani niliugua kitu kinafanana na red eyes,, mishipa ikion jua ikawa inauma sana. Nikaenda hapa Bugando polyclini near Mwanza nikapimwa nikapewa daw ya maji..nimetumia ika wa unafuu ikawa hakuna...
Ikitokea nimeigusa pua tu basi zinaanza kumiminika chafya nyiiingi hadi kero,
Nikipisha na mtu aliyejipulizia unyunyu tu, chafya zinanitoka si za nchi hii,
Shemeji yenu akiwa anakarangiza na ile...
Habar wakuu Leo nimean, tengeneza juis inayotokana namboga mboga za majani...yaan kama mchicha na kisamvu nachukua Kisha naweka ktk heavy duty juicer inakamua zile mboga mboga napata kimiminika...
Wakuu,
Tunaomba ushauri wenu, wapi kwa Dar anapatikana Daktari ambaye ni specialist wa magonjwa ya ngozi.
Tunauliza hivi kwa niaba ya watu wengi sana ambao wamekuwa wanatupigia simu wakitaka...
Salaam!
Nauliza nini kinasababisha mwanamke kupata kizunguzungu kikali wakati anapokuwa period au baada ya kumaliza period?( mpaka anashindwa kufanya chochote ni kupumzika tu).
Hali hii inaweza...
Wakuu habari za leo ! Poleni na mihangaiko ya hapa na pale katika kutafuta riziki.
Nimekaa na kufikiri ni jinsi gani wazee wetu walikuwa wataalamu Wa tiba asilia lakini walikuwa wagumu sana...
Habarini za jioni ya pasaka ndugu wana jamvi.
Si mwandishi sana humu jamvini japo ni msomaji wa muda kidogo. Leo nimependa ku share jambo lilionipa msaada baada ya kuona watu wengi wamekuwa...
Msaa nina mdogo wangu amabaye kwa muda sasa anasumbuliwa na maumivu kifuani na maumivu haya huja maraa baada ya kufanya mazoezi au muda mwingine huibuka tu.Tulijaribu kwenda hospitali moja...
Habar wakuu Nina juicer machine yenye uwezo wakukamua mboga zamajani kuwa juice na makapi yake yanakua pembeni na nabakia na juice ..wakuu nauliza Kuna madhara yakukamua mboga za majani bila...
Wakuu mimi nasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume kwa muda mrefu. Nimejaribu kutumia dawa nyingi sana za kienyeji pamoja na vyakula bila ya mafanikio.
NImejaribu kutumia vumbi la congo pia...
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 22 mpaka sasa nasumbuliwa na maumivu ya nyonga.
Tatizo hili halikuanza muda mrefu na wala sijawahi kutumia dawa ya aina yoyote.
Nawaombeni msaada nitumie dawa...
🥕1. Awali ya yote, ukichukua majani ya bamia ukayachoma kwenye moto na ukachukua yale majivu ukayapaka kwenye ngozi au kidonda ni tiba ya vipele na allergy kwenye ngozi.
🥕2. Halikadhalika...
Msaada. Mtoto wangu ana mwezi 1 amekosa choo siku 4 Nimeenda duka la dawa wamenipa mafuta ya OLIVE OIL
Naomba ushauri je yanafaa kuponya hili tatizo la kukosa choo msaada wenu kabra hajatumia
Habari wakuu. mimi naomba niulize kwani maana nmekuwa nikifatilia kalenda za ninaokuwa nao kwenye mahisiano ili wasipate mimba zisizo tarajia.
ila kwa huyu sasa wa sasahivi ndio sielewi elewi...
Nina mtoto wa kiume wa sister wangu.
Ana miaka 21
Mwakajuzi alisumbuliwaa na macho kaambiwa anaupungufu wa Vitamn
Akapewa madawa ya kuongeza vitamin
Safari hii amekua akihisi ganzi miguuni...
Wadau kwema? Tofauti na NSK, naomba kufahamu hospitali nyingine nzuri Arusha ambayo wanapokea kadi ya NHIF, lakini yenye huduma safi..
Natanguliza shukurani
Naombeni msaada nimekuwa nikihangaika sana na macho yangu kwa miaka 10 sasa lakini sioni nafuu.
Naomba kuuliza kama kuna mtu ameshawahi kutibiwa macho hospitali hizo mbili nataka nitibiwe moja...
Ni tatizo la matamshi linalomfanya mtu asiwe na uwezo wa kutengeneza mpangilio wa moja kwa moja wa maneno na sauti anazotoa.
Watu wenye kigugumizi hufahamu maneno wanayotaka kutamka lakini...