Wana jamvi,
Kuna mgonjwa kaanzishiwa dosage ya Amlodipne kwa muda wa siku 14 baada ya kuonekana pressure yake iko juu sana (178/109) wakati akisubiria vipimo vya damu ambavyo vingetoka siku 3...
mimi ni kijana wa miaka 21, tatizo langu uume wangu ni mkubwa kiasi kwamba kila nikikutana na demu wangu anashindwa kufurahia tendo hilo, huyu ni demu wa 5, ambao wanne tumeachana nao kutokana na...
Natakuliza shuklan za dhati naomba kuuliza kitaalam mwanamke bikira anaweza kupata mimba iwapo amefanya mapenzi lakini mwanaume akamwaga mbegu kwenye uke bila kumtoa ile bikira yake? Naomba...
Je wajua majina ya wale madaktari sita muhimu katika maisha yako?
Kama huwajui basi fungua macho na akili zako :-
1. hewa (Air)
2. Maji (Water)
3.Usingizi ( Sleep)
4. Mazoezi ( Exercise)...
Habari wana jamvi. Natumaini nyote mu wazima, mwenzenu mambo si shwari
Mimi tangu utotoni nilikuwa naota napaa angani karibu kila siku. Wakat mwingine niliota nimepaa ili kuvuka mito mikubwa...
Waungwana salamu kwenu!
Hebu niambieni wenye kuyajua haya mambo...leo nimechomwa sindano ya tetenasi ya kwanza,baada ya kuchomwa na msumari mguuni...nimeambiwa nirudi tena kwa ya pili Jan 10...
Wana jf naomba ushaur wenu.ninasumbuliwa na maumivu ya jino.limetoboka hvyo natakiwa nikajaze risasi.vp inauma kujaza risasi?oa itanichukua muda gan kupona.asanten wakuu
Habari Wadau. Nna tatzo toka nmezaliwa lips zangu zinakauka na kutoa magamba hivyo inabidi niyatoe kwa kukwangua na mkono au kung'ata lips. Je kuna dawa ya kutibu hii kitu coz inanikera kwa kweli.
Habari wana jf wenzangu
kumekuwa na uhusiano mkubwa sana wa mtu anaependa sana ngono kupoteza umakini kwenye mambo ya msingi wa maisha kama vile ufanisi kazini,kushuka kimasomo n.k.
Ninaombaa...
The vagina is designed to keep itself clean with the help of natural secretions (discharge). Find out how to help your vagina keep clean and healthy and why you dont need douches or vaginal...
Habari wana JF...
dhumuni hasa ni kupata kampan kwa ajili ya kupunguza uzito pamoja..natumaini kwa wale wenye uhitaji basi tutaweza kulitatua hili tatizo. njoo tujumuike
1-tujue ni vyakula gani...
Foods That Increase Hunger !!!
1.Salty foods- These increase your cravings by dehydrating you. Now you know why Ruffles Lays have their jingle saying No one can eat just one.
2.Fatty foods-...
ni mara ya 2 sasa tangu mwezi wa kumi mwaka huu kutokewa na tatizo la moyo kwenda mbio na kuishiwa nguvu mwili mzima wakati wa tendo la ndoa hasa napokua katka harakat za kufunga goli la pili...
Hi pipooo wa JF,kwema?
Mwanamke kupata discharge nyepesi ya rangi ya brown kutoka kwenye K inamaanisha nini au ni dalili ya nin,haina harufu,haiwashi,inatokea kila mwezi walau kw wiki moja unusu...
Ndugu wataalamu wa JF naomba mtazame hii picha (snapshot) kisha msaidie kufafanua huo ni ugonjwa gani, vipele hivyo vimejitokeza katika sehemu za siri na haviwashi zaidi ya kutoa maji maji
WHO: Uzito uliopindukia ni hatari kwa afya, dunia yatakiwa kuchukua hatua
Unene uliopindukia ni chanzo cha magonjwa mengine kama ya moyo na saratani Reuters
Na Emmanuel Richard Makundi...