Alipata ujauzito wa kwanza bila kufahamu kuwa yeye negative group akafanyiwa operation na mtoto ikawa bahati mbaya, baada ya hapo tatzo likafahamika ikatakiwa achomwe sindano eti inaitwa AntD...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, ila nimekuwa nina uzito mkubwa sana mpaka najiogopa, nina uzito wa kilo 98.5 kitu ambacho nahisi sio kizuri kwangu.
Kwa mara kadhaa nimekuwa nikikaribu...
.natumain mumeamka salama,..... Nna rafiki yangu ameolewa na anamtoto mmoja mdogo.Tatzo alilonalo,yeye na mumewake wanatumia condom kama njia kujikinga.lakini bahati mbaya wamejikuta wamefanya...
Wana jf mwenzenu ninatatizo kidonda kwenye mdomo wa juu kimetokea gafla siokikubwa sana ila naona kama hakiponi alafu kutokana na yale majimaji yake kinataka kuambukiza na kwenye mdomo wa chini...
Habari wana JF.
Nina mdogo wangu anahili wacha niliite tatizo, yaani chakula anachokula kama unakiona unaweza kusema ni kwaajili ya watu watatu hivi. Kama utamkuta anakula wali na maharage hapo...
Wakuu salaam.
Naomba kufahamishwa tiba ya kufanya presha iwe normal. Mgonjwa ana tatizo la kupanda presha..na kapewa dawa mbalimbali hadi sasa analalamika zinamuumiza tumbo.
wataalam naomba ushauri wenu,mkewangu hataki kushiriki tendo la ndoa eti anaogopa kutoka kwa mimba, kwani nihivikaribuni alipata tatizo kama hilo ikalazimika kumpeleka hosptali ndipo ilipo...
Jamani nisaidieni ninatatzo la nguvu za kiume,.kuwai kumaliza,.kuwa na misuli lege lege ya uume,.nimewai kuomba ushauri hapa nikapewa mbinu za kurudisha nguvu hzo kwa njia ya asili nimejarbu bila...
15 health benefits of eating applesMany of us forget that sometimes, the simplest answers are the best. Better health could be as easy as reaching for the fruit bowl for some apples next time you...
Naombeni msaada wa haraka sindano za uzazi wa mpango zimeniharibu nikiwa nafanya mapenzi natoka maji mengi sana hata nikiwa naandaliwa kwa ajil ya tendo!!! Hali ambayo sikua nayo kabla nifanyeje...
Wadau kuna kipimo cha kujua kama mwanamke amefanya mapenzi na kugundua kuwa amefanya saa ngapi na amefanya na nani?Yaani naulizia after sexual intercourse medical checkup. Inawezekana?
Hi wanajamvi, hope mpo biyeee. Pls kwa doctors na wataalamu wa tiba naomba kujuzwa hivi PH kwenye mwili wa binadamu inapokuwa pungufu (below normal} hii inasababshwa na nini? na mwenye tatizo hili...
Ndugu wanajamii hope mmeshinda salama.....mm natatizo naomba mnisaidie ni tarehe gan naeweza pata ujauzito?????tar zang za period ni 19 or 18 or 20....ila mwezi uliopita nimepata hedhi tar...
Ninaye binti yangu mwenye umri wa miaka 13 ambaye anasoma kidato cha kwanza.tatizo la huyu binti ni kushindwa kufanya vizuri katika mitihani yake.Anapofundishwa anaelewa vizuri lakini tatizo ni...
Watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI
wamekuwa wakitafuta taarifa zaidi kuhusu
ulaji wa vyakula mbalimbali siku hadi siku.
Baadhi ya taarifa wanazozipata, zimeonyesha
kuwa na utata...
Wanajamvi nina rafiki yangu kanijia na hii suala nimekosa jibu la kumpa: Anadai mumewake huwa anamwingilia kipindi akiwa kwenye siku zake za mwezi na kila mkatazapo ugomvi wake ni balsa sasa...