Nimegundua kwamba wasichana wengi huwa tunaogopa mimba kuliko UKIMWI, jaribu na wewe kuchunguza sababu itakayotolewa na msichana akikushinikiza mtumie Kondomu
Habari wanajf
Nina Kyoto wa miaka miwili ambaye tangu amezaliwa kichwa chake hakijakaa vizuri(round),nimejaribu kumrekebisha kwa kumlaza upande ambao nataka ukae saws nimeshindwa,naomba ushauri...
Habari za majukum ma thinkes,nina best frend wangu mke wake anatatizo la kutokoma kwa hedhi,anadai tatizo limeanza tangu tarehe 5 mwez huu,hajawah tumia sindano wala dawa za aina yoyote za kuzuia...
Hi kwa dadaz na kakaz.
Maumivu kwenye unyayo hasa ninapokanyaga mguu.
yameanza kama wiki mbili sasa hasa baada ya kukaa muda mrefu au nikitoka kulala (ninapoamka)
Naomba kujuzwa na wataalam...
Habari wana JF wenzangu,
Kwanza samahani kwa kutumia jukwaa ambalo sio sahihi lakini naona litanisaidia zaidi maana watembeleaji wake ni wengi.
Naomba msaada nimekuwa na tatizo la kutokwa na damu...
Nimekuwa nikitafakari juu ya jambo hilo. Nimejaribu kusoma Biblia n.k na kugundua hali hii ilikuwa tangu zamani. Mfano, tabia chafu ya wanaume kulipia tendo la ndoa kwa machangudoa ilikuwa tangu...
Habari jamiiforums.
Katika pita pita zangu na kati ya mitaa ninayoishi, Nimekutana na hoja ambayo katika hali ya kawaida, sikuweza kusubiri na kupata undani wake,
Wakaaji wa eneo hilo...
Habar, naomba kuelimishwa utofaut uliopo ktk vpmo vya HIV kat ya kile knachopimwa kwa kuchukua damu kwnye mshipa kwnye maungio ya mkono na kile knachopima kwa kuchukua damu kdolen..
habari njema kwa wote wenye matatizo ya presha viungo kupooza matatizo ya uzazi matatizo ya nguvu za kiume vidonda vya tumbo na unene kupitiliza(kitambi) tanga tradtion clinic ni suluhisho...
Wakuu habari zenu humu ndani,
Leo ni siku ya kisukari duniani, jana wakati nikitazama kipindi cha Hot Mix cha EATV nilimsikia daktari akisema mpaka sasa hakuna dawa ya kisukari na akaongeza hata...
Hili ju kwaa saivi limepoa sna,au magonjwa yamekwisha!?au washauri wamechoka?sio siri hili jukwaa mm nalipenda sana nalinanisaidia sana katika maisha ukizingatia myaka yetu hii Afya ndo kila...
Damu salama ikiwa imehifadhiwa kwenye mfuko maalumu wa kutunza damu. Picha na Maktaba
KWA UFUPI
Mbali ya watu kuuza damu zao, majimaji hayo mekundu muhimu mwilini yamegeuka bidhaa adimu baada...
Habari wakuu! Nina mtoto wa miezi 11 ana afya nzuri tu lkn alichelewa kuota meno ila yalipoanza kuota ya chini nimeshangaa ameota jino moja kwa upande wa chini na ya juu yanatokea yote mawili...
Watu wengi sana wamewahi kutapeliwa kwa kuuziwa dawa feki za kienyeji kwa gharama kubwa lakini wanalalamikia chini-chini. Kwa kuwa huwa tunajifunza kwa makosa, naomba mtu yeyote aliyewahi...
Habari wana JF wenzangu,
Naomba msaada nimekuwa na tatizo la kutokwa na damu sehemu ya haja kubwa ( Unyeo/ ------) kila ninapoenda kujisaidia ila hapaumi wala nini..!! Nimeenda hospital Burhan na...
poleni na mahangaiko.,swali langu ni kwamba, mtu kama ana breed wakati hayupo kwenye hezi na anatumia vidonge vya majira tatizo huwa ni nini? na je kwanini kama akienda kukojoa anapatwa na maumivu...
Wapendwa jaman nina maumivu upande huu wa kushoto hadi mgongoni kwenye bega na kifua kinauma sana pia na cheua kama tumbo limejaa gesi hata nikimeza nasikia kama kuna kitu kimekaa kwenye koo