Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habarini wanaume wenzangu Huu uzi ni muhimu sana kwako wewe mwanaume ambaye uimara wako umepungua kunako 6x6. Kunazoezi moja tu yaani moja tu linaleta suluhu ya kudumu na haraka isiyo na madhara...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
NA: WAF, Dodoma Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu, amesema katika kuendelea kuboresha huduma za afya nchini Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa fedha zenye thamani ya shilingi bilioni 1 kwa...
0 Reactions
1 Replies
412 Views
LAUGHTER, BREATH AND WATER By Sananda (Lord Jesus the Christ Ascended) Through the body of Debbie Wright There are three things that the people that come here are told to do.... laugh...
4 Reactions
2 Replies
919 Views
Hospitali ya Taifa Muhimbili imewafanyia upasuaji wa mfumo wa mkojo na haja kubwa kwa watoto 31 na kati ya hao sita walizaliwa na jinsia tata, ambapo upasuji huo umefanywa na Madaktari Bingwa wa...
0 Reactions
1 Replies
636 Views
Jamani nina ndugu yangu ana tatzo la kukosa usingizi, ametumia dawa za usingizi hadi basi. Msaada please
1 Reactions
7 Replies
690 Views
Anaandika, Robert Heriel Kuhani katika Hekalu Jeusi. Angalizo: Andiko hili linawahusu watu wote wenye umri kuanzia miaka 18 waliyokwenye ndoa. Iwe ndoa ya kimila, kidini au kiserikali...
35 Reactions
97 Replies
16K Views
Binafsi nimekuwa siwezi kufanya mapenzi na mwanamke ambaye muda mchache anatarajia kuanza hedhi au baada kumaliza hedhi. nahisi kinyaa sana hasa nikitafakari kua ni damu chafu imepita au...
8 Reactions
90 Replies
4K Views
Na. WAF - Dar Es Salaam Serikali imetoa rai kwa jamii kuchukua hatua za mapema kupima ugonjwa wa Saratani kwa kuwa takwimu zinaonesha kuwa kati ya wanawake 100, 25 wana Ugonjwa wa Saratani huku...
0 Reactions
5 Replies
658 Views
Kifafa ni hali ya mshtuko wa ghafla au matokeo yasiyo ya kawaida katika Ubongo wa Binadamu ambayo inaweza kusababisha Mtu kuzimia, kukamaa kwa misuli na mabadiliko ya hisia au fahamu Hali hii...
0 Reactions
0 Replies
626 Views
Mratibu wa Huduma za Msingi za Macho kutoka Wizara ya Afya Visiwani Zanzibar, Dkt. Rajabu Mohamed Hilali amesema hadi kufikia Februari 1, 2024 watu 7 walikuwa wamepata upofu wa macho kutokana na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hbarin wakuu. Leo nataka nitoe elimi jins ya kujitibu nguvu za kiume nyumban kwako mwenyewe bureeeee kabisa.kwanza nianze na chanzo cha nguvu za kiume kupungua na mtu aliepungukiwa anakuaje ili...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
wakuu habari za muda huu, kuna mtu anaomba kusaidiwa direct phone number ya muuguzi yeyote alieko bugando au mawasiliano ya simu sababu kuna jambo anahitaji ufafanuzi na usaidizi, cas cd yake ya...
0 Reactions
0 Replies
334 Views
Habar wakuu msaada wenu tafadhali. Nna ndugu yangu wa kike umri miaka 45 amepatwa na ukichaa ghafla jioni ya Jana, January 28, 2024. Sasa huyu ndugu yangu nasikia muda mrefu kuwa huwa...
11 Reactions
129 Replies
5K Views
Baraza la Famasi imesema limekuwa likifuatilia mwenendo wa utoaji wa dawa za macho kwenye baadhi ya maduka ya dawa Nchini ambapo limebaini utoaji holela wa dawa za matone za macho zenye viambata...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Naombeni kuuliza, kuwa kuna mahusiano gani Kati ya maumivu ya kiuno na kufanya tendo la ndoa? Kwakuwa kuna mahali nlisikia mtu Kasema kiuno kinaniuma mwingine akamuambia ni ham ya tendo la ndoa...
0 Reactions
1 Replies
659 Views
Toka nimeoa nina miezi sita. Huwa tunahesabu siku ya 11 hadi 14 lakini hatujabahatika. Nini inaweza kuwa sababu ya hili? Tiba yake ikoje? Msaada wa mawazo kwenu wataalamu. === Pia soma: Njia...
6 Reactions
64 Replies
4K Views
Siku ya Kimataifa ya Kutokomeza Ukeketaji inayoadhimishwa kila Mwaka tarehe 6 Februari, hutoa fursa ya Wadau kuongeza Uelewa kwa Jamii kuhusu madhara ya vitendo hivyo pamoja na kusherekea...
0 Reactions
0 Replies
706 Views
Baltazari Thobias ( 18) kutoka kijiji cha mtoni wilaya ya Ukerewe Mkoani Mwanza afikishwa katika hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando kwa ajili ya uchunguzi na matibabu ya uvimbe ambao amekua nao...
1 Reactions
1 Replies
430 Views
Na WAF - DAR ES SALAAM Waratibu wa Afya ngazi zote wametakiwa kuhakikisha wanasimamia fedha za chanjo na lishe zinazotolewa na Wadau pamoja na Serikali zinafika zinapokusudiwa kwa wakati ili...
0 Reactions
0 Replies
249 Views
Watoto wawili wa miaka saba na mitano wakazi wa Makole mkoani Dodoma wenye uzito uliopitiliza wamefikishwa Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa ajili ya uchunguzi na matibabu ya maradhi...
0 Reactions
0 Replies
329 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…