Habari!
ndugu zangu mimi nipo Dodoma nina tatizo moja nasumbuliwa na vidonda vya tumbo nimekata tamaa kabisa, hivyo naomba mwenye maelezo anipe njia elekezi namna ya kupata tiba au nifanyeje...
Wana jamvi naomba mnipeni ushauli kwa siku ya leo hii,nilikuwa najilinda sana kuhusu mademu kutoka kipindi kirefu sana sasa naona jinsi siku zinavyo zidi kusonga mbele wanawake naona kama watu wa...
Wakuu cjui nina bahati mbaya au ni nini.katika mademu watano nliyokutana nao kimwili miezi ya hivi karibuni watatu kati yao wana hivyo vinyama kama si kimoja basi ni vitatu.kwa kweli vinaondoa...
naomba mnifahamishe eti mtoto kutokwa na udenda kwa mtoto ambae hakuwahi kutokwa na udenda wakati akiwa na umri wa miezi ni tatizo ? nakama ni tatizo linasababishwa na ninii?
Habari za kwenu wakuu,,! Siku kumia zilizopita nimetoka kumfanyia tohara kijana wangu wa miaka kumi na nane,,, shida ipo hivi yeye anafanya kazi ya kuuza duka la jumla nilimpuzisha kwa siku...
Nimeenda hosp nikaambiwa Nina dalili za cataract maana sioni vizuri naona kama Kuna utando hivi,sasa nimepewa predinisolene na eye drop,wataalamu je nitaponaje kwa haraka?
Habari za kwenu wakuu,,! Siku kumia zilizopita nimetoka kumfanyia tohara kijana wangu wa miaka kumi na nane,,, shida ipo hivi yeye anafanya kazi ya kuuza duka la jumla nilimpuzisha kwa siku...
NZI wa kijani anayefahamika kwa jina la kitalaamu kama Lucilia Sericata (green bottle fly) ni kati ya wadudu wanaoogopwa na binadamu kwa sababu ni chanzo cha ugonjwa wa kipindupindu na magonjwa...
mm naishi mwnyw chumba kimoja, but kama week mbili ivi kaja Uncle na anaumwa kifua kikuuuu so anapata matibabu kwa sasa, bt uck anakohoa kweliiii kias kwamba napata was was kwa kuwa ugonjwa huuu...
WATANZANIA wametakiwa kujiepusha na vitendo vinavyochangia kueneza Ugonjwa wa Ukimwi kufuatia matokeo ya utafiti wa kibiolojia na kitabia uliofanywa na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kupitia...
Nasikia maumivu makali sana kwenye kibofu cha mkojo,na pia nakojoa mkojo wa njano,nimejalibu kupima mala kadhaa,lakini vipimo vinaonyesha sina tatizo lolote,sasa cjajua kwakweli tatizo...
habari!
naomba kujuzwa vidonda kama vipere ndan ya kolomeo ni tatizo gani naona vinanitoka mara kwa mara na vinatibikaje! vinanitesa nikila hata sipati radha yachakula nisaidien kunijuza tafadhari
WANAUME wengi humu JF wanapoamua kuzungumzia kuhusu matatizo yao wanazungumzia sana kuhusu nguvu za kiume, lakini kuna tatizo la wanaume ambao wanashindwa kuwapa wake zao mimba pamoja na kwamba...
Habarini,
jamani najua kwenye jukwaa kuna
watu wenye fani mbali mbali humu
ndani. Mimi nina wazo la kufungua
Duka la Dawa mkoani Singida.
Nahitaji anaye fahamu utaratibu WA
kufungua duka...
Wanajamvi salaam!
Ninaomba kusaidiwa mtu anayemfahamu mtaalamu anayetibu kwa kutumia mimea kwenye tatizo la mifupa au nerves. Nina case ya mtu ambaye discs zake tatu za kwenye spinal cord...
Jamani naombeni maelezo kidogo kuhusiana na hili, kuna rafiki yangu ni mjamzito ila baada ya kujikuta akisumbuliwa na maumivu ya tumbo alienda hospitali na kupigwa ultra sound walimwambia kuwa...