Wakuu habari zenu!
Kuna dent mmoja ambaye nimedate naye ila alinisumbua sana wakati wa ku do nasidhani kama nilifanikiwa kuvunja bikra yake kwa kuwa alikuwa akijibana...
habarini wana JF.ni kwa muda sasa huwa huwa nafatilia ni nini hasa chanzo cha gonjwa hili la ukimwi ambalo halikuwepo miaka kama 1960 na,iliyo pita na kwa nini limekaa sehemu ya pili kwa utamu...
habari wakuu!!
jamani naitaji ushauri kidogo! hapa karibuni mwili wangu umeongezeka kwa kiasi flani kwaiyo nimeamua kuupunguza lakini kulingana na shughuli zangu za kila siku nakosa muda wa...
Hivi karibuni, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imeangaza vigezo na masharti mapya ya kujiunga na kozi mbalimbali za afya gazi ya cheti na stashahada. Kwa mujibu wa taarifa ya katibu mkuu wa...
Wakuu huwa najiuliza kwa nini baadhi ya watu wakinywa pombe hata kidogo hulewa wengine hata wanywe kreti moja hubakia strong.
Kuna dawa ama namna ya kufanya mtu ukinywa pombe kali usilewe? Na...
Wadau, habari za leo.
Mimi niko mikoani, nina shemeji yangu (dada wa mke wangu) ana binti yake kule Lushoto. Huyo binti imefikia hatua ya kuachishwa shule kwa sababu ya upofu. Mwanzoni alikuwa...
habar wana jf, naomben ushauri juu ya kumaliza au kupunguza tatizo la majimaji mengi uken wakati wa tendo la ndoa tatizo hili linapelekea mm kumkosea ham mwenzangu kwan kuna wakati mashne inagoma...
Naomba wanajf mnisaidie juu ya haya. 1. je mgonjwa anayetibiwa kwenye hospitali za wilaya mfano ngara akipewa referal aende bugando ni lazima aende na nurse? 2. naomba kujua kwa kutumia land...
Habari zenu jaman natumai wazima na afya nzur naomben mnisaidie tatzo langu linanisumbua hii ni wiki ya pili sasa mm silali usiku wala mchana na nakua ninabusingiz sana kias ambacho naumwa na...
nimekuwa na tatizo moja sasa nimekuwa naumwa maralia mara kwa mara.Yani kupita mwezi bila kuumwa inakuwa ni ajabu sana,na cha zaidi ni malaria nshapima vyote vipimo muhimui nipo sawa. dawa ya...
Ndugu JF Dokta,
Naomba kuelimishwa juu ya hili kitu kwa sisi tuishio vijijini ambapo kupata huduma ya kupima ua kufanya medical check-up kila baada ya mwizi inakuwa ngumu.
Je tunaweza kupima afya...
Wadau,mm na mama watoto tumekuwa tukigombana mara kwa mara ,eti kisa ni tabia yangu ya kupakata computer( laptop)mama anadai ipo siku atakosa chakula yake!je kuna sababu zozote za kisayansi zenye...
habari wadau?mi nina tatizo kwani kende moja ya kulia inavimba siku hadi siku na inauma pindi inapopata mtikisiko au kubonyezwa.naomba mnisaidie kuhusu hili kwani rafiki zangu wanasema ni enia...
Habari zenu wadau! Hiv kunaukweli wowote kuwa nyama ya mbuzi inaharibu magoti? Wataalam tunaomba mtiririke ni sababu zipi zinazosababisha ugonjwa wa miguu.