Na.Elimu ya Afya Kwa Umma.
Imeelezwa kuwa upatikanaji miundombinu ya maji safi iliyounganishwa na miundombinu ya umeme katika vijiji vya Nyanguge na Bunamhala Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu...
Mchunga ( Dandelion) ni mmea wenye faida nyingi sana Binadam. Hapa Tanzania unapatikana porini na majumbani kama maua.
MCHUNGA ni mmea unafaha na kutibu maradhi mbalimbali kama vile;
Matatizo ya...
Faida za limao au ndimu zinajumuisha matumizi kama tiba kwa ajili ya vidonda vya kooni, matatizo katika mmeng’enyo wa chakula, matatizo ya meno, homa, kuvuja damu ndani ya mwili, baridi yabisi...
Mambo muhimu juu ya udhibiti wa Mbu waenezao Malaria kwa njia za Utangamano;
Matumizi sahihi ya Vyandarua vyenye dawa kwa kila mwanajamii kila siku
Upulizaji viuatilifu ukoko kwenye kuta ndani ya...
Wazazi,walezi tuwakumbushe binti zetu jambo hili.
Kwa sasa ndoa nyingi sana zinapitia changamoto ya uzazi,hii ni kutokana mabinti wengi walitumia njia za uzazi wa mpango ama p2 kwa muda mrefu...
Wakati Atheists wanakiri hadharani kwamba akili zao zimeshindwa kuielewa dhana ambayo wao wameibatiza jina na ku iita " The problem or Evil" , Watu wanao amini kuhusu uwepo wa Mungu nao wana...
Ugonjwa redeyes ni ugonjwa hatari hatari hatari sana
Yaani umenishika ndani ya wiki moja hakuna rangi nimeacha kuona.
Nimenawa mikono mpaka nikawa mzungu ghafla
Nauliza swali moja tu
Serikali...
Wakuu habari, naombeni msaada kwa hospital inayofanya mazoezi kwa kutumia mashine kwa watoto umri chini ya miaka mitatu.
Naomba pia kujuzwa gharama maana mwangu ana bima NHIF.
MBARIKIWE.
Kuna jamaa angu amekua akiniambia kua anatumia vidonge vikali vya UTI nikawa namuuliza ni ipi Ciprofloxacin au Azythromycine?? Akawa anashindwa kuvitaja. But leo nimeenda kuncheki kwenye shughuli...
Wakuu,
Huwa najiuliza sana ile harufu ya mtu aliyevimbiwa akibeuwa huwa ni mbaya sana! Ni harufu isiyoelewaka.
Si ya kitu kilichooza wala ya mdomo au kinyesi bali ni harufu mbaya sana. Unaweza...
Habarini wadau.
Kuna maambukizi ya ule ugonjwa wa macho mekundu almaarufu kama red eyes, ambao husababisha macho kuwasha, kuuma, kuwa mekundu sana, kuvimba na kutoa uchafu mwingi sana wa tongo...
Habari, kwa maumivu niliyonayo sijui hata kama naandika sahihi
Jana nlienda hospitali nikiwa na complication kadhaa, walinipima fbp,hpyrori, uti, maralia vyote nikawa neg ila najua nina historia...
Nasumbuliwa na jino linauma balaa sitaki kulin'goa maana mapengo niliyonayo yanatosha, alafu Kuna mtu kanitisha kaniambia ukienda kun'goa jino umri huu 30+ unaweza kupata shida kwenye macho.
Kama...
Kuna mtu anauliza, Kama alishiiriki sex mwezi December , na mtu kwakutumia condom ambayo ilikuwa expired mwezi huohuo yaan mwezi December
Je Kama huyo MTU Ana maambukizi anaweza kuambukizwa??
Habari za wakati huu wakuu, wakuu naombeni jibu hivi ukifanya mapenzi siku ya 11 kuna uwezekano wa kupata mimba??
Maana ni wiki mbili sasa toka nimefanya mapenzi lakini nina wasiwasi maana tumbo...
Niliwahi ambiwa na wataalamu wa hospital DOCTORS AND NURSES..Kuwa ukipima HIV/AIDS
kwa kutumia kipimo cha Bioline ukikosa maji yake..unaweza kutumia hata water for injection na majibu yakatoka...
Wataalamu naombeni kuuliza
Je madhara yapi ? anayopata mama mjamzito anapokutana kimwili na mtu ambae si mhusika wa huo ujauzito wake mtu huyu anapata madhara gani hasa wakati wa kujifungua...