Eating raw garlic can reduce risk of lung cancer by nearly half, says study.
Habari njema Kwa Wale Wanaovuta Sigara Kwa wale wavutani wa sigara ili kuepushwa na ugonjwa Saratani ya Mapafu...
Sasa takribani mwezi mmja nawashwa mwili mzima sasa, na nilianza tu baada ya kumgegeda dem mmoja siku ya 3 ndo ikawa hivi ,nilifanya kavu sasa nawasiwasi kaniachia ngoma au ugonjwa gani huu...
Msaada wanaJF,
Nahitaji dawa ya kutibia ugonjwa wa pua kuziba ila nikipenga kamasi hazitoki. Mara nyingine pia husababisha maumivu ya kichwa hasa katika paji la uso. Wenzetu wa Tanga ugonjwa...
Wanajf nina tatizo la kubanwa na mkojo lakini nikienda kukojoa nakojoa mkojo kidogo sana tofauti na jinsi mtu unavyotegemea kwa kuwa umebanwa.
Sijui ni tatizo na kama ni tatizo nini tiba yake.
Salaam zenu wanaJF ,namshukuru mungu kwa kupata mtoto wa kiume last month ila tatizo ni kwamba hajapata choo tangu jumapili ,tukashauriwa tumpe mafuta ya samaki ,tumempa lakini wapi amekuwa...
VERVE ni kinywaji bora kutoka kampuni ya kimataifa iitwayo VEMMA NUTRITION COMPANY ambacho kinasaidia sana kukupa nguvu mwilini, kukupatia vitamini, madini pamoja na kusaidia kuondoa maradhi...
Habari
Nina tatizo la matiti {yote mawili} kuhisi yamekuwa mazito na yanauma kwa kuvuta na kuacha..nikivua braa nahisi yanadondoka kwa maumivu ninayopata. Nilidhani ni kawaida ila mbona...
Swali langu ni kwamba baada ya mama kujifungua hutokwa na damu ya uzazi kwa muda wa siku ngapi?
Na je anapomaliza damu ya uzazi anaanza mzunguko wake wa hedhi ama hukaa muda gan kabla mzunguko...
Southern Africa: SADC Considers Universal HIV Testing
Agência de Informaçao de Moçambique
19/08/2013
Lilongwe Several leaders of the Southern African Development Community (SADC), speaking at...
Magonjwa yatokanayo na STDs sio mapya na yameendelea kuwepo. Kwa elimu nahitaji kufahamu dalili za haya magonjwa na effective medicine ya kutibu.
Hii itakuwa faida kwa wengi..
Kwa kipindi cha takribani miaka mitano au zaidi sasa,kumekuwa na uhamasishaji wa Voluntary male medical circumcision katika bara la Africa huku katika inchi yetu ya Tanzania kampeni ya Dondosha...
Nina kijana wangu sasa ana miaka 15, akiwa naumri wa miaka 9 akapatwa na tatizo ambalo hapo mwanzo hakuwa nalo juu ya kuoga.akioga anawashwa mwili mzima anajikuna sana.
Tena anajikuna sana akioga...
habari wanaJF!
Kuna tatizo hili inawezekana linakutokea au limemtokea mtu wa karibu yako. Unakuta mtu akila tu nyama au baadhi ya samaki basi anatokwa na damu puani,je tatizo hili linasababishwa...
Chemotherapy can damage healthy cells? Say it isn't so? You don't need a degree to figure this one out. Poison kills indiscriminately– always has and always will. While damaging healthy...