Vifo vinavyotokana na Malaria huripotiwa zaidi Barani Afrika
Mbu wanaoambukiza Malaria huvutiwa zaidi na harufu ya mwili wa binadamu kuliko wadudu wengine, kwa mujibu wa utafiti.
Watafiti...
Watafiti wanaonya kuwa bado kuna changamoto nyingi za utafiti huu
Wanasayansi wamekuza jino kutoka kwa mkojo wa binadamu
Matokeo haya yaliyochapishwa kwenye jarida la utafiti wa kisayansi la...
Hi Jamii
ninahitaji food suppliments kwa maana ya vidonge ambavyo vitanipa nguvu kidogo........si kwmba sina nguvu..it happened cd4 zinashuka kwa kasi japo siumwi...nahitaji kuzipandisha.nakula...
Kwanza nianze kwa kutanguliza heshima mbele yenu, nina mdogo wangu ambaye huwa anasumbuliwa sana na kifua tangu akiwa na 2age mpaka sasa ana 12 age na bado tatizo linaonekana bado kuwa sugu kwani...
Wakuu huwa nasumbuliwa na malaria kila mwezi.Naomba anayejua suluhisho la kudumu anijuze.Natumia Net ya mbu vizuri,dawa napiga kila siku ndani lakini bado malaria inanishambulia kila mwezi.
INAUMA SANA: KANSA YA NGOZI YAMHARIBU MTOTO WA MIAKA 7....BABA AMWAGA MACHOZI AKIOMBA MSAADA
MTOTO Ashura Mustapha (7) mkazi wa Mwandege, wilayani Mkuranga, Pwani anasumbuliwa na ugonjwa wa...
Mbu ni Aduwı mkubwa wa bınadamu.
KWA UFUPI
Wasema nchini kwao, ugonjwa huo sasa umekuwa historia.
Dar es Salaam. Serikali ya China imetoa msaada wa dawa za malaria zenye thamani...
JAMANI NAOMBEN TUSAIDIANE KUWATOA SHAKA HAWA WENZETU WANAO JIHISI KUWA NA UUME MFUPI KWA IMEKUWA KAWAIDA HUMU JAMVINI WATU KUTAKA DAWA ZA KUONGEZA UUME INGAWA MIMI NAHISI KINACHO WATOA KUJIAMINI...
Habari,
Natumai wazima uku. nina tatizo sasa sijui ni ugonjwa au vipi na kama si ugonjwa ningependa ushauri kutoka kwenu.
Nahitaji msaada wenu kwani nimekua mtu wa hasira/ short tempered na...
Jamani nimeachana na binti mmoja hivi wa kiarabu baada ya kutofautiana mambo fulani hivi, saizi ni mwezi wa pili, korodani zangu hazipo na hazionekani kabisa, kupo flaaaat ila mzee anasimama kama...
Habari wana jamvi na pia poleni na majukumu ya kila siku. Nimekuwa nikijiuliza swali hili mara nyingi na nikashindwa kupata majibu ya kujiridhisha kutoka kwa baadhi ya watu kutokana na majibu...
Naomba mwenye kujua izi mashine zinazo tibu magonjwa mengi ambayo sio ya kuambukiza kwa kupitia uti wa mgongo.
Eti zina effect gani mwenye kujua atujuze?
Habari ndugu zangu.jamani naomba msaada.ni hivi nina mtoto wa miaka 12, tatizo lake ni kupatwa na kizunguzungu mara kwa mara .damu anayo yakutosha tu.
Wajuzi wa mambo naomboni mnitajie japo dawa...
Dar es Salaam. Serikali imesema suala la matumizi ya mafuta ya ubuyu sasa inawaachiwa wananchi wenyewe kutumia ama kuacha.
Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, alisema hayo jana alipotoa...
top ten reasons to drink argi.
acts to release anti aging
hormones.
affects insulin sensitivity so it is particularly useful in maintaining blood glucose control.
reduce blood cholesterol...