Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari wakuu..Ninaomba kuuliza hivi ni Kweli hakuna tiba kabisa ya huu Ugonjwa wa MATENDE?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
JF dk habari za majukumu ,swali langu dk leo ningependa kujua hawa ndugu zetu kina mama wanapo jifungua wanakaa muda gani(miezi mingapi ndipo awe tayari kwa kufanya mpenz)na mwenzie, hilo tu.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wapendwa kwa muda wa mwaka mmoja sasa nasumbuliwa na aina flani ya vipele kama vile vya baridi katika mikono yangu ,ktk jua na baridi vipoo. Nimejaribu kutumia medicated soaps and jelly mara...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zetu wadau. habari za siku nyingi, Nimeleta kwenu maada inayonitesa na kunihangaisha kwa muda mrefu sasa. Nimekuwa nikiugua typhody + malaria kila mara pasipo kupona kabisa na ninafuata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kila ninapowagusa watu wanasema nawapiga shoti kama ya umeme.....tatizo ni nini madaktari?mpaka naandika hii habari watu wengi wananilalamikia nawapiga shoti!tatizo ni nini?
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Utapia mlo ni tatizo ambalo linakumba sehemu nyingi duniani Utapia mlo husababisha asilimia 45 ya vifo vya watoto walio chini ya umri wa miaka mitano kote duniani. Hii ni kwa mujibu wa utafiti...
0 Reactions
0 Replies
877 Views
Jamani nina tatizo la tumbo ambapo maumivu ni mithili ya njaa lakini nimepima hosipitalini US inaonesha sinatatizo.msada
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Salaam, Najitoke kwa awamu nyingine katika jukwaa kuuliza vitu vifuatavyo:- 1. MAFUTA: JF Doctors, tafadha naomba kufahamiswa kuwa nimafuta ya aina gani ni sahihi kutumika kwaajili ya kumtomasia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
JITIBU KWA KUTUMIA MAJI MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUANZA TIBA KWA KUTUMIA MAJI: Kanuni ya kimakisio kwa mahitaji ya maji ni; kunywa nusu ya uzito wako katika aunsi (ounces) ugawe mara...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
100% MONEY BACK GUARANTEE ON HEALTH CHALLENGES KISUKARI: Aina ya 1 and 2 UZITO ULIOZIDI/VITAMBI DOZI: MWENZI MMOJA. Njia ya 1; EDMARK P4. 1. OMEGA 48. DOZI. WIKI 3 MPAKA 4 . 1...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tafadhalini naomba kwa anayejua dawa ya kuongeza anijuze,iwe ni hebal or clinical kwangu sawa,please kama huna la kuchangia naomba upite tu kuliko kuweka utani na vitu kama hivyo,hii ni serious...
0 Reactions
21 Replies
18K Views
Natumain waungwana mpo poa, jamani embu nipeni ufumbuzi wa hili tatizo nini? Wife ana mimba ya miezi 6sasa, cha kushangaza amekuwa ana vimba sehemu zake za siri, cyo kila cku imekuwa inatokea...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Samahani wanajukwaa, naomba kujuzwa kwa kina zaidi juu ya vyakula hivi: 1. Oysters. 2. Arugula na Asparagus. Naomba kujua aina tajwa hapo juu ya vyakula kuwa ni vyakula vya aina gani kwa hapa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika mimea ambayo ina aphrodisiac properties (mikuyati), kunde za ----- ndio ambazo zinaweza kupatikana kirahisi sana maeneo ya Tanzania. Unaweza kuzikaanga kama unavyokaanga karanga, kisha...
1 Reactions
6 Replies
11K Views
Jamani mi nahisi upaa unaninyemelea na sipendi sana kuwa na upaa. sasa je ni njia au dawa ipi itanisaidia? Tafadhali
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau kuna uwezekano wa kupata mimba katika mazingira ambayo ni miez 2 tangu kujifungua ila mtoto haikuwa riziki,tangu hapo huoni cku kabisa.Je ni kawaida hilo kutokea?Na baada ya hiloni kipind...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau wa Jukwa hili, Kuna kitu naanda!! Pamoja na hayo, nigependa kama kuna ugonjwa wowote ambao mwathirika akiupata anaweza kufa after specific period of time.....but let it be(say) after two...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Eti ndugu zangu mwanamke anaweza kupata mimba siku tatu baada ya kutoka bleed? Menstrutian day yake ni 28days msaaada plz
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Natumai mko poa waugwana binafisi nashidwa kujua nimuda gani mama mjamzto anashauliwa kuacha kushiliki tendo la ndoa na kama ataendelea nimadhala gani yanaweza kutokea kwa mama au kwa mtoto.
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu mimi n mama mtoto mtarajiwa, nina takriban miez 5 sasa. Naombeni kujuzwa faida na hasara za kufanya/kutokufanya tendo la ndoa, na pia katika kipind hiki cha ujauzito mwisho wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…