WANA JF,
Hii ni fursa ya pekee kwa ajili ya kupata suluhu ya matatizo ya afya. ARGI Plus ni natural supplement ambayo hutibu matatizo ya nguvu za kiume na matatizo mengine mengi ikiwemo shinikizo...
1. "Usile mpaka uwe na njaa na unapokuwa na njaa, usile mpaka ukashiba sana"
2. " Ligawe tumbo sehemu tatu, unaptaka kula sehemu ya kwanza iwe ya chakula, sehemu ya pili iwe ya maji na sehemu ya...
simu yangu tecno t605
ilikuwa poa ila niliirestore na pia nikaclear cache sina ujuz nayo kuwa inafanya kaz gan kubwa zaid yakuongeza spid tatzo baada ya hapo opera min inazingua balaa kuingia jf...
kusafisha mfumo Wa damu
mfumo usagaji chakula
asthma
kisukari
presha
maumivu ya tumbo
maumivu ya moyo
kupunguza uzito
kukosa hamu ya Kula na tendo la ndoa
kungaarisha ngozi
uchovu wa mwili na...
Poleni na majukumu wakuu! Naomba msaada wa kitabibu! Ni siku nyingi sasa nashindwa kula chakula vizuri nikashiba na kuridhika. Mara nyingi nakunywa chai asubuhi mlo wa mchana sipati maana nikila...
hakikisha hujipi mashaka kabisa juu ya afya yako. huna haja ya kuhangaika tena kwani una uwezo wa kuhakikisha afya ni salama kabisa. hii ni hasa kwa upande wa.
magonjwa ya presha
magonjwa ya...
Si tu kujua siku za Ovulation ni lini basi sio kigezo cha mimba kuweza kutungwa ila pia kuna mambo kadhaa ya kufanya na kufatwa ili lengo la mimba liweze kutimia.
Kuna sababu mbalimbali...
Kwa miaka mingi wanawake wamefunzwa kuvaa sidiria ili waweze kunyanyua maziwa yao au kuyaweka katika umbile la kupendeza.
Hata hivyo, sidiria imetajwa kuwa chanzo cha maradhi ya mgongo, misuli ya...
KWA UFUPI
Kwa sababu, hawataweza kula chakulacha cha kutosha na kupata virutubisho hasa wanga kwa kiasi kinachohitajika na mwili. Kinachotakiwa ni kuwaelimisha njia mbadala ya kuziba pengo la...
Mbinu za kibaolojia zimegundua uumbaji mpya wa binadamu baada ya kuchukua sehemu ya muunganiko wa mbegu ya kiume na yai la mwanamke kiinitete hatimaye kuumba mtoto aliyekulia katika maabara...
KWA UFUPI
Taasisi ya Taifa ya Afya ya nchini Marekani (NIH) inaeleza kwamba sababu za jumla za ugumba ni umri na asilimia nne ya wanaume wenye umri wa miaka 50 na kuendelea wanaweza kuwa na...
KWA UFUPI
Akizungumnza katika kikao cha Baraza la Madiwani wilayani Rorya, Diwani wa Kata ya Mirare, Peter Ayoyi
(CCM), alisema uzagaaji wa dawa hizo ulibainika baada ya halmashauri kufanya...
Ndugu zangu wanajamvi mimi nina umri wa miaka 31 nimeoa na nina watoto 3 ninatatizo ambalo limenikuta ukubwani la kuanguka kifafa huwa linanitokea sana usiku wakati nimelala na mara nyingine hata...