Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Finally, its the start of spring weather. But, for some, it also means the start of allergy season. With sneezing, coughing, stuffy nose and itchy, watery eyes, theyre simply miserable this time...
0 Reactions
0 Replies
849 Views
Jamani nina mimba 40 weeks sasa lakini cna dalili ya kujifungua na nimechoka hata kutembea sasa tabu, nauliza hakuna natural methods za kustart labour pains? Naogopa za hospital nisaidien...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wanajamvini, Kuna rafiki yangu ananyama sehemu ya aja kubwa, je huu ni ugonjwa gani na unatibika maana yeye anasema ni ugonjwa wa kurithi maana baba yake anao, dada na kaka yake, majuzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina rafiki yangu wa kike nyumba yao ilipata shoti ya umeme nayeye akiwa ndani, alimeza moshi mwingi na kupelekea kulazwa ametumia madawa lakini kifua bado kina mbana anadai kinamsumbua sana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wiki iliyopita nilizungumzia kuhusu Paracetamol, ambayo ni maarufu kwa jina la Panadol, tuliona kwamba dawa hiyo inapotumiwa kiholela, inaweza kusababisha madhara kwa viungo vya mwili kama vile...
1 Reactions
2 Replies
6K Views
Rafik habar zenu.mm nna tatizo moja ambalo linaniumiza kichwa,jambo ambalo niliuliza kwenye facebook hawakunipa jawab sahihi. Jamn mm nna mdogo wang wa kiume ambae tulizaliwa tumbo moja na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana JF Naombeni msaada wa jibu la swali hili ni kwanini mbu hawezi kueneza virusi vya ukimwi kwa njia ya damu?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huwa napata tabu wakati wa kukojoa nimetumia dawa nyingi lakini wapi, km azuma ,cipro na metronidazole nisaidieni jamani nafwa. Kwani nimetumia dawa nyingi kwakweli
0 Reactions
4 Replies
23K Views
Habari zenu wana JF! Nianze ktk mada, mim ni kijana wa kiume ambaye nipo ktk ndoa kwa muda wa mwaka sasa ila cjabahatika mtoto.mpaka sasa huwa nahic labda nakosea timing ya kutupia madude,plz kwa...
0 Reactions
37 Replies
6K Views
Madaktari wa JF, nisaidieni mtoto wangu anaumwa minyoo ya kutambaa kwenye ngozi.
0 Reactions
3 Replies
5K Views
News Got a story? Email: talkback@the-sun.co.uk Disease causes tragic toddler’s head to swell up like a balloon Tragic ... Abdul cradles his daughter Roona By IAN GARLAND Published: 2 hrs...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Salamu nyingi zikufikie hapo ulipo. Dhumuni langu na shida yangu kuu ni kuomba msahada wa mawazo na kitaalamu. Kunatatizo limemtokea mke wangu, kwani linapelekea kunichanganya mimi na yeye pia...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
kila nikiwa na nyoa nywele sehemu za siri baada ya siku kama mbili natokewa na vipele ila kina kuwa kimoja kimoja vinaweza kutoka vipele kama vitatu baadaye kama baada ya wiki kama moja vinaisha...
0 Reactions
0 Replies
40K Views
Meno yanakuwa kama yanavutana napata sana maumivu msaada jama nifanyaje?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwanangu ana miezi 11.Anachemka na kuharisha tumepima malaria hakuna.Atakuwa ana tatizo gani?
0 Reactions
9 Replies
19K Views
Wakuu,mara nyingi nawashwa sana makalio hadi najisikia kero.Hili linasababishwa na nini?I request to submit.
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Binafsi nimekuwa nikijiuliza ni kwa nini wachangiaji katika jukwaa hili ni wachache? lakini kwa uchunguzi wangu nimekuja kugundua kuwa watu wenye uwezo wa kuchangia jukwaa hili ni wengi...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Ndugu wadau naomba mnisaidie kwa hili, baadhi yetu tunamtindo wa kumwaga nje ili kujiepusha kuumpa huyo mwenzi wangu mimba ambayo hatukuitarajia, sasa wakati nakaribia kupiz huwa ninatoa mashine...
0 Reactions
42 Replies
10K Views
Nimepatwa na mafua nina week mbili sasa haya poni,nimetumia dawa aina ya colder,na priton,lakini wapi,nitumie dawa gani ndugu zangu
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Researchers report a breakthrough in generating powerful antibodies that can neutralize HIV. An HIV infection is really an intensive molecular arms race launched from the minute the virus infects...
0 Reactions
0 Replies
831 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…