Yani huwa pua linaniwasha siyo kawaida,huambatana na chafya mfululizo yenye mafua.pia mafua ya ghafla hunijia endapo nitakutana na pafyum kali,rangi kali nk. Niliambiwa nina aleg
¤ dawa yake ni nini?
Wana Jamvi,
Naomba kama kuna mtu anamfahamu dakatari wa akina mama ambaye anaweza kumsaidia auntie yangu ambaye ana matatizo ya kushika mimba.
Nitashukuru kama nitapata jina lake, namba zake za...
Habari Jf;mimi nina ndugu yangu ambaye miaka miwili nyuma alikuwa yupo na mwili wake namanisha alikuwa na nyama nyama kidogo ila hakuwa mnene sana lakini tangu aje zanzibar amekuwa akikonda sana...
Habari zenu wanajamvi, nimepata kusikia juu ya uwepo wa kipimo cha HIV ambacho mtu anaweza kutumia kujipima mwenyewe. Naomba mwenye kufahamu juu ya hilo kama ni kweli kipo, kinapopatikana na bei...
wataalamu naombeni mnisaidie ni nini hasa chanzo cha mtu kupoteza sauti? rafiki yangu kanitaarifu kaamka leo sauti haitoki vizuri na anahisi maumivu ya mwili mzima, ni nini tatizo wadau?
kwanza salaaam jaman ninashida sana na Dr.Omary ambaye mara ya mwisho alinitibu 2008 pale St.Francis hosp Ifakara ila kwa sasa sijui yupo wapi maana nimejaribu...
Wakuu tuna baba yetu anatatizo la kuvimba miguu na tumbo kujaa na moyo unamatatizo pia hali kabisa chakula, sasa tumepima hospital wamesema figo zinamatatizo pia tumboni kumejaa maji so inabidi...
Hello Wanajamii! Bila shaka kila mtu anaendelea vizuri na kazi zake za kila siku na hatuna budi kushukuru kwa hilo. Tunapenda kupanga mambo yetu ya kimaisha na yanatakiwa yaende kama...
Jana usiku saa nne nilimeza mathakelfin za kenya tembe mbili na panaldo tembe mbili ili kupambana na maleria,nililala vizuri lkn leo asubihi nikajikuta nakunywa mazawa glasi mbili za moto bila ya...
loh jamani naomba msaada wenu,my son ana miaka 3...ndo ameanza shule january..yaani before i never experience kuandikwa andikwa ndani but nw imekuwa hectic...nimeshamgombeza hadi kumchapa na kwa...
habari za asubuhi wana Jf,wana Jf naomba mnisaidie nina tatizo la kubabuka kwene korodan linatokea muda kisha linapotea wengine wakaniambia labda ni joto au maji maana npo dar na sijawahi kupata...
Hi all,
Kwa mwaka wa tatu sasa nimenote kua I develop a strong insomnia that impacts severely on my ability to focus, to work, to interact socially and just to be useful to myself and people...
Erectile dysfunction (ED) is sexual dysfunction characterized by the inability to develop or maintain an erection of the penis during sexual performance.
Causes:
Depression
The brain is an...