Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

P2
habari ndugu
0 Reactions
0 Replies
767 Views
Wanajamvi, kwanza kabisa nawatakia wiki njema yenye baraka kwa wale watakaopokea baraka mpya jumapili. Wenye uzoefu na waganga wa jadi wale wanaotibu magonjwa kwa kupaka dawa za kienyeji mwilini...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
We understand that health should be the number one priority to everybody and we are taking this matter very serious. Western medicines have provided a significant revolution in the medical world...
6 Reactions
62 Replies
18K Views
Huu ugonjwa wa ngozi umenisumbua sana umenipata mgongoni,nimetumia dawa za kila aina kwanzia fluconazole za kumeza hadi gentrisone za kupaka hauishii na bado unanirudia,je nautibuje wadau? au...
0 Reactions
14 Replies
8K Views
ndugu zangu wana JF nimepita kona frani nikakuta jamaa wanajadiliana juu ya mafuta ya ubuyu kuwa yanatibu magonjwa mengi.sasa kwa wale wanaofahamu zaidi juu ya hili, naomba kujuzwa zaidi.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ni ramli ya kizungu au ni nini? sometimes nikiwa katika kipindi cha ovulation kiuno/nyonga huwa inaniuma sio sana lakini.especial kama ni ovary ya upande wa kushoto sasa juzi ikanitokea...
8 Reactions
46 Replies
6K Views
Kila nimalizapo tendo la ndoa na mwenzi hujikuta nimepata mpasuko fulani chini kwenye mlango wa K.... na pia pembeni kwenye kuta za ndani ni kama kuna vimichubuko vidogo vidogo vingi ambapo hali...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Picture of the anatomy of the sinuses Picture of the detail of the sinuses Sinus Infection Overview Sinus infection, or sinusitis, is an inflammation of the sinuses and nasal passages. A sinus...
1 Reactions
0 Replies
6K Views
Hi all Mie ni mwanamke, ninawezaje kupunguza kitambi (tumbo kubwa) bila kufanya mazoezi? Labda kwa kula vyakula n.k Asanteni
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Salute wana Jf wote: Baada ya kuwa nimefuatilia kwa muda mrefu namna ya hii mitandao ya kuuza bidhaa za tiba lishe/food supplements/food dietary, nimegundua kuwa tiba lishe kama ilivyo haina...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
UTAFITI: ETI KUANGALIA TV KWA SAA MOJA KUNAPUNGUZA DAKIKA 22 ZA MAISHA YAKO !!! Ukifuata kila linalosemwa na wanasayansi utashindwa kuishi. Leo watasema kunywa kahawa kunapunguza msongo wa...
5 Reactions
18 Replies
5K Views
Saturday, May 29, 2010 1:40 AM Utafiti uliofanyika nchini India umeonyesha kuwa wanaume wengi nchini India hawafurahishwi na ukubwa wa kondomu unaotambulika duniani...
0 Reactions
34 Replies
12K Views
Wiki nilimpeleka binti yangu hospitali! Nilipata kitu kipya ambacho nawaomba niwashirikishe! Binti yangu ana miaka 3.4 Hivi ! Ni mtoto mwongeaji sana na mwepesi wa kukamata chochote anachosikia...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Kati Ya Mwanaume Na Mwanamke Ni Yupi Anaweza Kukaa Mdarefu Bila Kufanya Ngono? Na Kwa Mwanaume Ukikaa Mwaka Bila Kufanya Ngono Kunamadhara Unaweza Kupata?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
naomben msaada jamani,eti ni kweli staili ya kusex ni kigezo cha mwanamke kupata mimba? na kama ndio je ni ipi?kwan kuna comment niliiona ikisema staili ni kigezo,msaada wajameni
0 Reactions
17 Replies
16K Views
How Our Brain Tricks Us The human brain is an amazing thing, and the more we learn, the more awesome it gets. It’s so awesome, in fact, that it tricks you every single day - these tiny little...
2 Reactions
10 Replies
6K Views
wana jfnaomba kuuliza, nimesoma madharA YA PULI LAKINI SIJAPATA kusikia tiba ya mwathirika wa hii kitu anawezaje kupona na kurudi hali ya kawaida zaidi ya kuacha kupiga puli
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Naomba msaada wenu jamani hivi ni kwanini mtu/binadam anazaliwa na jinsia mbili!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nisaidieni wadau, mtoto wangu analia sana hasa wakati au baada ya kunyonya. Anamwezi mmoja na wk 2. Nilishampa dawa nyingi kama daktari alivyo elekeza lakini bado anateseka. Naomba msaada wenu.
0 Reactions
11 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…