Nimetafakari sana kwa uchungu baada ya kuona picha kwenye mtandao kuhusu mtoto aliyefukiwa mara baada ya kuzaliwa ikiwa ni lengo la kumuua kama ilivyokawaida kwa wajawazito kuua watoto wao...
The UK could become the
first country to allow
babies to be created from
three parents. Tiny amounts of DNA from
a third parent would be
used to prevent children
from being born with...
Wakuu eti ni yapi madhara ya punyeto na nini tiba yake,nimejaribu kusearch sehemu mbalimbali ila mawazo yanakinzana wapo wanaodai inamadhara wengine wanadai haina madhara,upi ukweli wanajamvi?
Naombeni ufumbuzi wa tatizo langu la kutoa vitu kama manii au usaha sina uhakika, lakini ni kama uji mwepesi mweupe kabla au baada ya kukojoa au haja kubwa. M.oo haina maumivu yeyote.
​
Wanaotazama runinga sana hupoteza nguvu za kiume - Utafiti
Kwa Mukhtasari
Utafiti unaonyesha wanaume wanaotumia muda wa saa tatu na zaidi kwa siku kutazama runinga wanapoteza...
Na Issakwisa Mponi
MWANAMKE mmoja, Asia Ally Abeid (35 ) (pichani), mkazi wa mtaa wa Msikitini, Buguruni kwa Mnyamani Dar, amefika katika Ofisi za Global Publishers Ltd na kulia kwa uchungu...
Nimeona nilete hii mada hapa JF ijadiliwa na pengine itapatiwa ufumbuzi maana naamini kuwa wahusika au Owners wa Tumaini Hospital ni wadau pia wa JF. Hivi mnaweza kuamini kuwa hospitali kubwa kama...
naomba jamani wataalam wa tiba na wana jamii forum mnifahamishe, hivi tunavyoambiwa na madaktari pale tunapoenda kupima ugonjwa wa malaria, utakuta unaambiwa una malaria2 au 3 au 1 inamaana gani...
Wadau habari zenu,nakuja tena hapa jukwaani kuomba msaada wenu kwa masahibu yanikutayo!nina mwanangu ana umri wa miaka miwili sasa,cha ajabu kila ifikapo usiku,hasa kuanzia saa tatu,uwa analia...
habari wakuu mimi n kijana wa miaka 22 kwa sasa ,nmefanya sex nikiwa na miaka 21 kwa mara ya kwanza but hyo siku nilisex kwa dk kama 5 hiv then uume ukasinyaa sasa nashindwa kuelewa ni nin hii...
Ninapokua nafanya mapenz na baadh ya wacchana nashindwa kuenda zaid ya mbil lakini kuna hao wawili nikiwa nao on bed naenda mpaka 6 xometimes nakuwa na hamu yakuendlea ila wanakataa wanadai...
Wandugu,kwanza ahsanteni sana kwa ushauri na tiba mbadala,kwa kweli jamii forum iko juu sana,sasa jamani kuna tatizo,kuna shemeji yetu mmoja anahitaji msaada wa hali na mali,tatizo ni kwamba ana...
Nimeiona hii Neema blog ila sijui niche:becky: haya kwa wale wenye mgogoro jaribuni!
SULUHISHO LA UPUNGUFU/ UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME.
Zipo dawa za asili za aina mbalimbali...
Wakuu hapa kijana mwenzenu naumia,,,huwa nina kawaida ya kufanya mazoezi asubuhi na mapema so huwa nawahi kuamka,,
Basi juzi nilikua nimedamka mapema kwa ajili ya kupasha mwili, cha ajabu...
Heri ya mwaka mpya!!! Wakuu hasa wenye ufahamu wa kuhusu tatizo la maiti kutokwa na damu puani na masikioni mpaka watu kuziba kwa pamba sehemu zote za mwili zinatoka damu.Naomba msaada au ushauri...
Chuo chaTiba (TIHEST), Reg No: REG/HAS/117P
Kina Tangazanafasi kwa mwaka wa masomo 2013/2014.
· Tabibu (ClinicalOfficer)
· Mtunza kumbukumbu za Afya (Health Record Technicians)...