Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

wadau, habarini za jumapili, naomba msaada wa anayejua dawa ya kutibu meno bila kung'oa, kwani linauma sana , pls nishurini nifanyeje
0 Reactions
15 Replies
20K Views
Wakuu kwa muda wa miezi minne sasa nimeacha kwa makusudi kabisa kusex sababu ikiwa kumkosa patner wa ukweli(mwaminifu).sasa mekuwa na tatizo la kuota kisha namaliza karibu kila cku je itaniletea...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Dctr mi huwa nikilala naota nangoneka na msichana nisiemjua than nikistuka najikuta nimechafuka kweli tatzi ili huwa linanitokea mwezi baada ya mwezi si jui kwann!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwamuda mrefu kumekuwepo maelezo mengi dhidi ya tiba ya mtoto kikojozi,sasa naleta kwenu tiba asilia ya kuacha kukpojoa mkitandani ni ipi?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani wataalam nipeni majibu ya utata huu hivi ni kweli kwamba mbu hawezi kueneza virusi vya ukimwi kupitia damu anayo nyonya kwa mwathirika?na kama ndiyo ni kwa sababu zipi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Male Menopause Women may not be the only ones who suffer the effects of changing hormones. Some doctors are noticing that men are reporting some of the same symptoms that women experience in...
4 Reactions
2 Replies
2K Views
When a heart attack strikes, it doesn't always feel the same in women as it does in men. Women don't always get the same classic heart attack symptoms as men, such as crushing chest pain that...
2 Reactions
0 Replies
3K Views
Wataalam nimemeza Dawa za mmmaleria na nimetapika baada
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jaman hivi ni fanyeje ili niachane na master? Nina kama miaka sasa yapata 7 toka nimeanza kupiga master na bado naendelea kupiga tuu, jaman naomba mnisaidie.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
NINATIBU MAGONJWA YA TABIA Habari wanajamii Napenda kutangaza huduma yangu kwa wale wenye matatizo yafuatayo: 1. Watu wazima waliopalalaizi, nawafanyia mazoezi (masaji) na kupewa dawa...
0 Reactions
0 Replies
856 Views
Sijawai kuugua maleria kwa miaka kumi na moja sasa je kuna hatari yeyote? niksikia kuumwa uwa nakula alafu najipa moyo kuwa ni njaa pia uwa naogopa sana dawa zozote ziwe za kienyeji au za...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari,Naomba ushauri juu dawa nzuri ya malaria kwa mtoto wa miaka mitatu,imekua ikimrudia mara kwa mara,asanteni
0 Reactions
0 Replies
885 Views
Heshima kwenu brothers and sisters Msaada kwa anaefaham sehemu nzuri yenye proffessional stress counselor Dar es salaam... Kama mnavyojua kwenye maisha tunakutana na changamoto nyingi sana...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wana jamvi habar za kaz mie nauliza kuna dawa yoyote kwa mtu ambae ndio kwanza kaconcive kujaa mate mdomon,msaada plzzz shemej yangu hali yake mbaya mpaka kazin haendi kwa ajil hyo
0 Reactions
1 Replies
11K Views
Habari wana forum hii! Ningependa kuuliza (hasa kwa wale wenye utaalamu katika maswala haya)! Je kuna uhusiano kati ya kuharisha na kuwa period? Maana mimi kila nikiingia period lazima niendeshe pia!
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Mkurugenzi Mkuu wa hospitali ya Kairuki, Dk. Asser Mchomvu Hospitali ya Kairuki imeasema inajiandaa kujenga kituo cha kisasa kwa ajili ya kutoa huduma kwa kina mama zikiwamo za wanawake...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Maradhi ya Alzheimer Tatizo la kukosa usingizi huenda likawa ishara ya kutambua mapema maradhi ya kusahau au ''Alzheimer'' kwa mujibu wa utafiti uliofanywa kwa kutumia panya ambaye ana maumbile...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
KWA UFUPI * Ni Diclopar, Diclofenac, Ibuprofen Dawa maarufu za maumivu zilizozagaa katika maduka ya dawa nchini zinatajwa kuchangia ugonjwa wa kiharusi, moyo, vidonda vya tumbo na vifo vya...
2 Reactions
14 Replies
23K Views
Nimemaliza dawa za typhod juzi ucku sasa nimemisi sana pombe je nikinywa kuna tatizo naombeni ushauri wadau
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Doctors in the West Bank have been using IVF techniques to help dozens of Palestinian prisoners to have families, even though they are serving long sentences in Israeli jails. They are using...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…