Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

We ve all heard of the US Air Force's high-security, super-secret base in Nevada, known simply as "Area 51?" Late one afternoon, the Air Force folks out at Area 51 were very surprised to see a...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Toka tunapata uhuru 1961 kipaumbele chetu kama taifa ni Kilimo. Kauli mbiu kubwa ilikuwa ni kilimo ni uti wa mgongo, hadi sasa japo ni lugha tu ya mdomoni hila hatuitendei haki kauli hii. Kwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kama wewe ni mmojawapo kati ya watu wanaopenda kwenda kwa waganga kwa ajili ya kutafuta dawa za kuwawezesha kuwaona viumbe wenzetu wachawi wakiwa kwenye harakati zao za kila siku hii...
1 Reactions
32 Replies
15K Views
Maana nilizozitumia Ufahamu - Consciousness Akili - Mind Ninaposema Akili sina maana ya uwezo wa kufikiri au Intelligence. Ninamaanisha uwezo wa kutambua, kuweka kumbukumbu, kutafakari na ufahamu...
12 Reactions
15 Replies
14K Views
Mkutano umeanza leo na waendelea mjini Munich. Kuna mikutano maalum wa masuala ua usalama unaoanza kufanyika mjini Munich nchini Ujerumani ambapo viongozi wapatao 35 kutoka nchi mbalimbali...
2 Reactions
98 Replies
6K Views
Huu ni muendelezo wa Taratibu na Sheria za akili na ufahamu. Akili ya mwanadamu ni sehemu ambayo watafiti wengi wamekuwa wakihamasika kuielewa. Akili ni sehemu pana sana kwa mwanadamu. Ni...
16 Reactions
39 Replies
20K Views
Mara nyingi nimekua nikiona watu wanaoleta mada ambazo wanadhani ni ngumu kueleweka (hasa jukwaa hili) hua wanapenda kutumia misemo kama "Kwa akili ya kawaida huwezi kuelewa" au "mtu wa kawaida...
7 Reactions
45 Replies
7K Views
Kusoma Sheria ya Kwanza BONYEZA HAPA. Sheria Kuu Kumi za Ulimwengu na Akili (10 Laws of the Mind and Universe/Universal Laws Sheria ya Uhuru wa Kufikiria. Ni kutoka katika mada ya...
14 Reactions
53 Replies
11K Views
Tarehe 10 February mwaka 2017 ilikuwa ni siku ya kutimiza miaka 100 tangu kifo cha Geronimo ambaye alikuwa ni shujaa kutoka Jamii ya Apache( hawa ni mashujaa wa wahindi wekundu au wakazi asilia...
52 Reactions
399 Replies
87K Views
Hii ni simulizi ya ulimwengu wetu kabla ya utawala wa kwanza kuanza kuutawala ulimwengu wetu 7000BC. simulizi hii inaelezea jinsi gani ulimwengu wetu ulikuwa before the 1st Egypt civilization...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu wana jamvi? Naomba kuuliza mwenye ufahamu na haya mambo nadhani hili swala watu wa psychology watakua na ufahamu zaidi. Kwanza kabisa mimi binafsi kwa uelewa wangu nilikua najua kuwa...
0 Reactions
53 Replies
9K Views
Around 80 percent of Vatican priests are gay, according to a new book which details alleged secret relationships, male prostitutes and stunning hypocrisy from the most anti-gay members of upper...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Alikuwa ni mwandishi ambaye wengi wetu tulikuwa tukimsoma sana; aliuawa miaka michache tu iliyopita (2006);watuhumiwa kuhusika walikamatwa?
1 Reactions
27 Replies
6K Views
Binadamu wa kwanza kuumbwa Na Mungu ni Adam Na Hawa.Watoto waliowazaa ni Abel Na Kaini.Abeli Na Kaini walioa je Wake zao ni kizazi cha nani?
12 Reactions
301 Replies
64K Views
Usome hapa Tujikumbushe Mfalme Nimrod wa mnara wa Babeli
0 Reactions
7 Replies
4K Views
PROSPERITY CONSCIOUSNESS EXERCISE Asalaam habari za siku hii njema na kubwa na ya mafanikio; Natumai mu wazima. Leo tuangazie namna ya kufanya zoezi la mafanikio katika akili yako. Hii ni kanuni...
11 Reactions
32 Replies
4K Views
Wanasema binadamu alitokana na jamii ya nyani (sokwe). Then evolution ikatake place hatua kwa hatua huku akipitia vipindi tofautitofauti kama vile HOMOSAPIENS,HOMOHABILLIS & ZINJANTHROPUS...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimekua nikisikia kuwa watu waliosoma sana ndio wenye uwezo mkubwa wa kufikiri. Je mimi ambaye nimekomea darasa la saba, nifanyeje ili niboreshe uwezo wangu wa kufikiri ilihali sina uwezo wa...
4 Reactions
92 Replies
30K Views
Robert Schuller katika kitabu chake cha Tough Time never last but tough people do; akimaanisha nyakati ngumu hazidumu lakini lakini watu hodari hudumu ameelezea mambo ambayo huwafanya watu hodari...
13 Reactions
24 Replies
4K Views
Huyu ndie kiongozi mwenye mamlaka makubwa duniani kuliko mtu wa aina yoyote Adolfo Nicholas ni member wa JESUIT GROUP ambalo lipo chini ya Roman catholic, vatican city Jesuit ndio members wakubwa...
40 Reactions
465 Replies
77K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…