Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

Wazazi tuweni macho mchezo mbaya umeibuka Watoto wa rika zoote wanatekwa Tanzania karibu kila siku!! Kwanini Serikali yetu imekaa kimya ? Haitoi tahadhari kwa wananchi wake ? Hawa watekaji...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
1. Mtengenazaji meli ya titanic. Baada ya kutengeneza meli ya TITANIC, mwandishi wa habari alimuuliza ni kiasi gani ilikuwa salama, nae akajibu " Ni salama sana na haiwezi kuzama na hata mungu...
81 Reactions
934 Replies
127K Views
10Honey Badger Mnyama mgomvi. Huyu jamaa kashindikana, yaani ni Kichwa cha Mwendawazimu kabisaa. Honey badger kama Waswahili tumwitavyo “Nyegere mara nyingi hupatikana Afrika na Kusini Magharibi...
11 Reactions
19 Replies
4K Views
Nimesoma humu mijadala mingi ikiwa inahoji kuhusu dhana ya utimilifu katika uumbaji. kila jibu lina swali, nimetafakari kwa muda na mimi pia napata maswali mengi zaidi ya majibu. leo nimeona...
3 Reactions
5 Replies
950 Views
MODS KUWENI NA UVUMILIVU,HII NI MIJADALA MUHIMU KATIKA KUWEKANA SAWA KUHUSU HAYA MAPOKEO KWA MTU MWEUSI KUTOKA UGHAIBUNI.. Kumbukumbu la Torati 28:53 53 Nawe utakula uzao wa tumbo lako mwenyewe...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
"Ili kuwazuia wasiweze kufikiri kwa makini hasa,tutazivutia hisia zao kwenye burudani,michezo,mapumziko,misisimko na makasri ya watu.Vivutio vya aina hiyo vitayaondoa mawazo yao kabisa kutoka...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Kifo kimebaki kuwa siri nzito kati ya yule aliyepata umauti na mola wake kwa sababu moja tu kwenye kifo hakuna uhai unaoweza kumfanya yule aliye mfu kusema yale anayoyaona mara tu baada ya kifo...
7 Reactions
90 Replies
10K Views
Nimekua nikitizama movie series za kimarekani (mathalani ukichukulia mfano movie kama 24 ya Kieffer Sutherland almaarufu Jack Bauer, au Shooter ya Bob Lee Swagger). Unakuta kuna kikundi flani...
5 Reactions
15 Replies
3K Views
Jeff Bezos alifanikiwa kumpiku tajiri namba moja wa muda mrefu Bill Gates baada ya thamani ya utajiri wake kufikia dola bilioni 90.08. Hizi zimekuwa habari mpya na za kushangaza kwa wengi kwa kuwa...
27 Reactions
27 Replies
14K Views
katika nchi yetu kuna mgawanyo wa majeshi yetu. kuna jeshi la anga, la nchi kavu na jeshi la majini. hiki kikosi maalumu cha majini makao makuu yake kipo kigamboni hapa Dar es salaam. hivi kazi...
33 Reactions
82 Replies
11K Views
Tawala za kijamaa zilianguka kote duniani , lakini Castro aliendelea kupeperusha bendera nyekundu karibu na maadui wake wakubwa, Marekani. Kiongozi huyo mwenye utata alisifiwa na wafuasi wake...
9 Reactions
28 Replies
4K Views
Greetings! "..hauna akili..! " well, japokuwa ni tusi, lakini ana maana gani huyu mtu? sidhani kama ana maana hauna ubongo. Lakini akili ni nini haswa? ubongo ni kitu cha kuonekana na...
6 Reactions
54 Replies
8K Views
Salaam kwa wote, Binadamu tumekuwa tukijihusisha na kufanya maombi kwa namna mbalimbali yenye malengo tofauti kutokana na mahitaji ya muhusika. "Kuna kitu mahala hapo" nje ya uwezo wetu na namna...
13 Reactions
39 Replies
7K Views
Hii iña maana ya kuiongoza dunia kama Serikari moja ña kuwa na rais mmoja tu dunia nzima. Hukutanikia Roma Vatican,Kiongozi mmoja mmoja wa kidunia yaani marais hudhulu Roma ikiwemo marais wa...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Heshima zenu wakuu! Kwanza ninapenda kuweka wazi kwamba, nimewiwa kuandika mada hii kwa lengo la kutafakari kwa pamoja. Sijanuia kumuudhi, kumkwanza mtu wala kuibua hisia chungu kwa yeyote awaye...
7 Reactions
26 Replies
4K Views
1.Anna Chapman maarufu kama Anna Kushchenko Umri miaka 31 Alikuwa jasusi wa Russia akitafuta habari mbalimbali dhidi ya Marekani hususani shirika la ujasusi la Marekani (CIA) ambalo ofisa wake...
9 Reactions
55 Replies
13K Views
Kwa muda mrefu nimekuwa nasikia tu hawa viumbe wanaitwa Aliens wanalivyo na uwezo mkubwa wa Akili na inasemekana kuwa mataifa makubwa hasa Marekani na Urusi kuwa wana vituo vikubwa kwa ajili ya...
5 Reactions
162 Replies
32K Views
Habarini Wote, Ninashiriki nanyi tafsiri hii kutoka kwenye kitabu 'The Art of Dying' cha OSHO, sura ya kwanza: Know How to Live (Jua namna ya Kuishi); nikiwa na imani ya kwamba kufanya hivi...
9 Reactions
41 Replies
11K Views
Inavyoeleweka huku angani kuna upepo wenye kasi kubwa (marekebisho kama siko sahihi). Mara nyingi nimeona zile ndege zinazopita juu sana zamani tukiziita 'roketi' zinaacha mstari mweupe wa moshi...
8 Reactions
255 Replies
83K Views
Check out @PressTV's Tweet:
1 Reactions
162 Replies
20K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…