Jamaa wawili walikuwa wanasafiri wakiwa wamepanda ngalawa. Haiyumkini kwa wale wasafiri wa baharini wanafaham Rabsha zitokeazo kunako maji.Wakiwa katikati ya bahari hali ikawa si shwari tena...
Wakuu,
Japo wapo baadhi ya watu ambao hawakuwa Marais wa Marekani lakini wamewekwa kwenye noti za Marekani.
Humu ndani wako wachambuzi wazuri sana wa historia, wanaoweza kutoa ufafanuzi ni mambo...
Salute Comrades...
Wakuu naomba kunfahamu huyu jamaa ni nani?
A-Z.
In short
Ndie anayeabudiwa na wachina,wathailand,wavetenam etc..
Alikua mtu wa watu sana, mwenye huruma hadi akaenda kuishi...
Habari zenu wakuu..
Mimi ni mmoja kati ya watu wanaoamini kuna watu wanatupangia matukio kwenye sekta tofauti(uchumi, siasa, michezo)kila mwaka kwa namna watakavyo hapa duniani kwa faida...
✳UHUSIANO WA JUBILEE YA MIAKA 70 YA ISRAEL NA KURUDI KWA YESU KULINYAKUA KANISA✳
*Na: Shujaa Charles Mwaisemba*
_▶SHEREHE YA MIAKA 70(JUBEILEE) YA TAIFA LA ISRAEL_...
Katika kutekeleza mauaji kwa njia ya sumu zipo njia nyingi sana, lakini kila aina ya sumu ina njia zake na kila jasusi ana njia zake, hili mara nyingi hutawaliwa na muda, mazingira na mlengwa wa...
Utukufu kwa Mungu, wa uzima na wokofu!
Wapendwa wana jamii.
Maisha yana michakato mingi sana. Na ndani ya maisha kuna wapendwa wetu kwa namna moja ama nyingine huwa ni nguzo kuu ya kutusaidia...
Mapenzi ni tendo la hisia ya kupendana linalohusisha watu wawili ambalo hutokea baada ya kuvutiana kati yao. Mvuto hutokana na hisia za uzuri (beauty) wanazokuwa nazo kati yao hata kama wengine...
Mgunduzi halisi ni nani?,ni yule anayetangaza kwanza uguduzi wake kabla ya mwingine?Je haiwezekani kukatokea wagunduzi wawili kwa kitu kimoja kutoka mahali tofauti kwa nyakati tofauti bila...
Habari za jioni wanajukwaa bila kupoteza muda niende kwenye mada kama kichwa cha uzi kinavyosema
Kwa ufupi taifa la marekani lilipata uhuru wake kutoka kwa wakoloni wa kiingereza Julai 4,1776...
KIASI kikubwa cha fedha hutoroshwa na kufichwa nje ya nchi wakati taifa linapokuwa katika uchaguzi, vita na matatizo ya kiuchumi.
Uchunguzi wa Mwananchi Jumapili umebaini kuwa katika mazingira...
Kuna imani ya dini inayosema USINGIZI NI NUSU YA KIFO.
Mtu anapokuwa usingizi anakuwa amekata mawasiliano yake mengi katika ulimwengu wa kawaida.
hali yakuwa usingizi humfanya mtu kuingia...
Habari za wakati huu, wachambuzi makini wa masuala mbalimbali ya kunoanoa bongo; ni yangu matarajio kwamba mko salama! Naliweka swali hili mezani kutokana na kwamba nategemea kupata majibu ya...
Kwanza nianze na hawa watoto wadogo wanaosema ''mimi siamini katika dini bali naamini katika science''
Dini ni nini?
Dini ni njia ya maisha (way of life). Tunaposema njia ya maisha hapa lazima...
Katika moja ya tabia ambazo nimekuwa nikipambana nayo ni hii ya kutaka kujua ulimwenguni kumekuwa na nini kikiendelea. Asubuhi sana napoamka najikuta naangalia CNN,BBC,AL JAZEERA,VOA,SKY NEWS,CBN...
Utafiti huu umefanywa nchini Ujerumani kwa ushirikiano wa Wanasaikolojia, madaktari wa binadamu na chuo kikuu cha Technische Universitat of Berlin. Utafiti huu ulisimamiwa na daktari Berthold...
Wakuu habari za wakati huu
Kichwa kinasema kuwa ujue vita kuu inayondaliwa kuja maarufu kama ''HARMAGEDONI'' inamaanisha ni vita ya watu wote hata mimi na wewe tutaishiriki kivipi twende...
COINTELPRO ni nini?
Ilikuwa program maalumu ya siri na wakati fulani haramu, ndani ya shirika la kijasusi la ndani la Amerika, FBI, kati ya mwaka 1956 hadi 1971. Program hiyo, ililenga kudhibiti...
Leo nimeshangazwa na jambo nililoliona pale ubungo stand ya mkoa. Usafiri wa kutoka kibamba, mbezi, kimara na ubungo kuelekea posta siku zote nyakati za asubuhi na jioni huwa niwa tabu sana...
Kusema kweli watu wengi wanaweza wasimjue lakini huyu mtu alikuwepo na bado yupo na ataendelea kuwepo. Si mwingine ninayemzungumzia hapo zaidi ya Abdulrahman Babu, kipenzi cha watu mwanamapinduzi...