MAJI YA BAHARI MBILI KUTO KUCHANGANYIKA.
JE, HII NI MIUJIZA YA ALLAH AU NI UKOSEFU WA ELIMU?
Leo nitajibu hoja dhaifu ya Waislam kuhusu madai ya maji ya Bahari mbili kuto kuchanganyika. Je, hii ni...
BIASHARA YA UTUMWA NA DHAMBI YA MAREKANI, LIBYA
Tangu Machi 19, 2011, mataifa makubwa, Marekani, Ufaransa, Uingereza, Italia na mengineyo, wakitumia Jeshi la Kujihami la Nchi za Magharibi (Nato)...
Watu wengi wanajiuliza kwa nini Idara ya Usalama wa Taifa TISS haitangazi kazi hadharani kama idara za nje?? Tatizo ni kitu gani?
Ukweli ni kuwa muundo na utendaji kazi wa idara za usalama wa...
Tarehe 3 mwezi wa 4 mwaka 2008, Mr Tom Wiles mmiliki wa kampuni iitwayo National Flight Services, inayohusika na kufanya matengenezo ya ndege, kufundisha kurusha ndege, na shughuli zote...
ALBERT Einstein ni mwanasayansi maarufu aliyeleta mapinduzi katika ulimwengu wa sayansi ambapo enzi za utoto wake walimu walimwita kilaza darasani.
Maisha ya awali ya Eistern hayakukubalika kwa...
Neno Hali ya Hewa (climate) linamaanisha mkusanyiko wa mada (elements) mbalimbali kuu kama: mvua (precipitation); joto (temperature); unyevunyevu (humidity); mawingu (clouds-cover), upepo (winds)...
cryonic preservation company wamekuja na wazo la kuhifadhi mwili wa mtu kwa joto la chini sana kwa matumaini kwamba utarejeshwa na teknolojia ya baadaye na utakuwa hai tena. Lakini je, cryonics...
1. Here we witness the birth of a T-1000.
What's Actually Happening: A solar furnace (also sometimes called a Fresnal Mirror) concentrates sun rays into a focal point that can reach up to a...
Madai ya Waisraeli yanaanzia katika misingi ya kidini ambapo katika Biblia (kitabu kitakatifu wa Wakristu na Wayahudi), Kitabu cha Kwanza cha Nabii Musa kiitwacho Mwanzo (sura ya 12), kinaonesha...
Kwa kuzingatia kuwa nchi yetu imeamua kuingia/ kuendeleza uhusiano na ISRAEL nimeshtuka kuona Muandishi huyu wa Daily Nation Kenya alichoandika Kenya: What Kenya's Show At U.S. Jerusalem Embassy...
Katika hali ya kushangaza, Papa Francis amejitokeza hadharani kuunga mkono matumizi ya vichipu vya RFID, yaani Radio Frequency Identification kwa wanadamu. Amesema tekinolojia hii inaleta...
SEHEMU YA KWANZA
Lengo kuu zaidi la Mungu
lilikuwa ni kuwatoa Wamisri toka
katika Utumwa wa Kifkra na Kiimani wa
kuamini miungu mfu
iliyowapotezea muda na mali,vitu ambavyo
wangeweza kuvitumia...
Baada ya Sudan ya Kusini kujitenga kutoka main Sudan na kuongeza idadi za nchi katika bara la Afrika na duniani kwa ujumla, inaonekana inaweza kuwa chachu kwa baadhi ya majimbo ama nchi kumegeka...
Nimekuwa nikisoma mara kwa mara kuhusu migogoro katika klabu ya Yanga ikimhusisha mfadhili wao mkuu Manji.Mara nyingi amekuwa anatishia kujitoa na wanachama wanamuomba arudi.
Wiki iliyopita...
Wakuu habarini za muda,nimekuwa mfuatikiaji sana wa mada za hapa jamii intelligence..
Sijawahi kuona uzi unaoelezea maana au fumbo lililopo katika zile tarakimu 666 kama zinavyoelezewa kwenye...
Habari wakuu nazani nipo jukwaa sahihi kuna maswala machache yananichanganya sikumbuki lini nilisikia hili neno time travel nikawa interested kufuatili lakini nikaambulia kapa sijui ni lugha...
Yafuatayo ni majibu ya chama cha CUF kuhusu sakata zima la muafaka kama walivyotoa jana. CCM na nyinyi kama mnayo majibu yenu penyezeni hapa mwanakijijiatklhnews.com ondoa neno "at" na weka alama ya @
1.Alexander the Great. Huyu jamaa alitawala Macedonia kuanzia mwaka 336-323. Alianza kutawala akiwa na miaka 20 tu. Huyu ndiye aliangusha utawala wa Waajemi ambayo ilikuwa dola kubwa sana...
Kwanza kabisa natanguliza shukhran zangu dhati kumshukuru muumba mbingu na nchi kwa kunipa nafasi hii kuweza kujumuika na wanajukwaa wenzangu katika makala hii ya Black dahlia.Pili natanguliza...
Kati ya mwaka 1500 na 1800 kulitokea biashara ya utumwa ambayo inaitwa barbary slave trade. Hii ilifanywa na watu wa Morocco, Tunisia, Libya na Algeria ambao walikuwa wanafanya wazungu watumwa...