Hbr za mida Wakuu,
Hivi kuna sababu zipi zilizopelekea kushindwa kwa India katika vita ya 1962.Kwa sababu ya Mpaka kati ya China na India, Japo mgogoro bado Upo chini chini, mwenye sababu...
Iodine ni madini yanayozalishwa baharini na kumwagwa nchi kavu ambako yanaingia chini kwenye miamba, hivyo upatikanaji wake unategemea zaidi aina ya udongo na vyakula vya baharini. Kutokana na...
Asubuhi moja ya Januari 15, 1947, mama mmoja akiwa na mwanae katika misele ya hapa na pale jijini Los Angeles alikutana uso kwa uso na mwili wa binadamu ambao ulikua umetenganishwa katika sehemu...
Salaam Wakuu!
Naleta kwenu hii hoja, yamkini wapo wengi wanajiuliza swali kama hili. Kiukweli sina jibu, ila nimeleta huku kuna watu watasaidia kulifumbua hili.
Jambo la kujiuliza je Kuna watu...
Niseme ukweli nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa mada mbalimbali katika jukwaa hili na
nikatamani nami kuleta bandiko moja ila kutokana na ratiba kuingiliana muda ukawa
hautoshi.
Kuna maneno nimekosa...
JUZI TAREHE 14/06/2011ASKARI WA ESALAMA BARABARANI "Traffik" wakiwa hawakuvaa sare zaowaliingia kijiji cha Murunyinya (Nyakiziba) wilayani Ngara "eti kukamata pikipiki zisizohalali nyumba kwa...
Ni aghalabu sana kiongoz wa kiimani kuruhusu waumini na wasio waumini kuuliza maswali baada ya mada. Pengine utamaduni wa kuuliza maswali magumu ungekuwa ni Lazima, tusingeshuhudia utitiri wa...
Musa, Yesu, Paulo wote Ni watu mashuhuri katika Dunia ya leo, hata Muhamadi aliwatambua Musa na Yesu, Biblia na Kurani Ni vitabu mashuhuri pengine kuliko vyote dunia hii ya leo, viini vyake ni...
Wadau niko njiandaa kuandika historia ya komandoo wa kitanzania aliye kuwa akitwa Tarimo, kijana huyu alipata mafunzo yake kule Cuba, na baadae kurejea nyumbani Tanzania.
Je kuna mtu awaye yeyote...
(mode hii ni ya ki intelijensia zaidi, usiihamishe plse)
Usiku Yesu alipokamatwa alifikishwa mbele ya wafuatao kwa mashtaka, Caiaphas - Kuhani mkuu (na aliye agiza yesu akamatwe na pia ndiye...
1. Linguistic intelligence reflects the ability to read, write, tell stories, and learn languages, grammar, and syntax. Strengthen this ability by studying a new language, improving vocabulary...
Wakuu natumai mko wazima wa afya!
Leo nimeleta mada hii ili tuweze kujua historia ya hii jamii ya maninja.
Maninja ni moja ya jamii zilizokuwa hatari sana miaka hiyo...
Sasa wakuu aka GREAT...
TURUDI MOJA KWA MOJA KWENYE MADA ILIYONIRUDIA TENA HAPA JUKWAANI
Baada ya kuona watu wengi sana waJF wakiwa interested na masuala ya kijeshi nimeamua kuvutika kwa wote katika mada hii nzuri...
Generation au Kizazi inawezekana haujui lakini kisayansi, kisiasa, kijamii, kidini, kibiashara na kiutafiti kina maana kubwa sana kwani ndio huamua kwenye kizazi husika nini wanataka kwa kuangalia...
12 Apr 2018On this night, we pay tribute to the founding fathers of the Somali Studies Dr. Hussein Adam 'Tanzania' and Said Sheikh Samatar. Kayd is proud to bring together some of the leading...
Inakadiriwa kuwa mnyama huyo huishi kwa kipindi cha miaka 20 akiwa katika pori. Lakini hiyo ilikuwa inafahamika zamani kipindi ambacho mnyama huyo alikuwa anaonekana tofauti na sasa.
1:KUNA...
Pope Francis does it again! Huyu Papa huyu...hahahaaa.
Kiranga make your way here. Pay attention to the bolded text at the bottom.
A tearful little boy grappling with big existential questions...
Todate in the circle of powers and Zambaa intelligence , its is believed that’s Michael Sata demise was an inside job to cover up intelligence failure to stop him from ascending to power ...
jamani naomba kupata mawazo yenu
kwa pamoja tukae tufikiri kitu ambacho ni cha kawaida sana lakini hatukifahamu undani wake,wakati ni kitu gani? what is time? tujaribu kutoa michango ya hisia...